Jaman si wapeleke hizo abram tanks mbona zinasifiwa sanaMarekani wameogopa kutuma Vifaru Ukraine badala yake wanapeleka Fighting vihecle View attachment 2488303
WASHINGTON (AP) — The U.S. will send 90 Stryker combat vehicles and an additional 59 Bradley fighting vehicles to Ukraine, in addition to hundreds of thousands of rounds of ammunition, the Pentagon announced on Thursday. It is the latest aid package timed to help Ukraine push back against Russia’s entrenched forward lines.
The package, valued at $2.5 billion, does not include tanks, which…
Continue Reading
News Source: $2.5 billion aid sends Strykers, but no tanks, to Ukraine
Hii kampuni hatari sana[emoji3544][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
[emoji635]PMC Wagner/Russian forces are advancing in the direction of Chasov Jar and #Ivanovskoye/#Krasnoye.
[#Bakhmut/#Artemovsk encircelment] https://t.co/BfpdQYSHTGView attachment 2488400
Ungepembana uoteshwe namna nini ufanye ili uondokane na huo unasikini wako.Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.
Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.
Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.
Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.
Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Huu mji hauna hata wiki 2 utakuwa ushanguka maana wanakaribia kufungiwa njia zote.mkishafungiwa njia zote mnakuwa hamna ujanja zaidi ya kupigana mpaka kifo au kujisalimisha tu. No msaada wala silaha haziwezi kuingia.Hii kampuni hatari sana
Dikteta PUTIN ni mnyama kuzidi Hitler, ashindwe na kulegeaWaafrika wote wanaopigana huko walitolewa magerezani kwa ulazima na kupelekwa battle front..,hii inafanywa kama sehemu ya adhabu ya kifo!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nikikuambiaga una matatizo ya kuelewa unaweza ukadhani nakutusi lkn sikutisu hata.Baada ya kuharibu miji ya Ukraine ameona na yeye yanaweza kumkuta hivyo kaanza kujihami mapema.
Izo nilizoziwekea mstari ndo barabara 2 za mwisho Ukraine walizokuwa wanazitegemea.kama Warusi wamezifikia basi ni muda sahihi wa Sara ya toba kukumbukwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hii kampuni hatari sana
Kazi kaziWarusi siku ya jana walianshisha mashambulizi makali sana kwenye maeneo ya jimbo la la Zaphorozhye na kuchukua baadhi ya vijiji.
Sasa inaonekana Warusi wameamua kufanya kazi.
Kiongozi wa Ukraine ni mmoja waliolambishwa mchanga kwenye mashambulizi makali ya ZaphorozhyeView attachment 2488440View attachment 2488442
[emoji848][emoji848][emoji848] ngoja tuvute SubraKiev metro sehemu ambayo watu wa Ukraine wanatumia kujifichia kipindi cha mashambulizi ya Warusi, leo kunawaka moto.bado haijajulikana ni bomu au moto wa kawaida.tuweni wapole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2488460
Mlisema artillery sio lolote mbele ya drones . Kama ni artillery Russia kashashinda maana amazo za miaka kumi ya vita.Artillery production yabidi kuongezwa kwa kasi mno.
South Korea, Japan, Taiwan waanze production kubwa maana vita ishaonesha kuwa artillery ndo baba wa vita.
Angalau kila mtu awe nazo kuanzia 10mil pieces
US yeye awe nazo hata 100mil
Kornet habari nyingine kabisa - Israel na vifaru vyao vilivyo kuwa vinapewa sifa lukuki hasa kwenye media za west siku hizi hawana hamu tena baada ya kushuhudia vifaru vya Markava vikitiwa viberiti na Kornet ATGM huko Lebanon - wajuzi wa mambo wanasema toleo jipya la Kornet ndio balaa zaidi - yetu macho.Hiyo kitu ni hatari sana markava za israel ni mashuhuda wa matendo makuu ya konet
Marekani haijawahi kupigana na Ujerumani. Urusi ya Stalin ndo iliyoikomboa Ulaya na Wayahudi dhidi ya Hitla wa Ujerumani.Ujerumani ya Hitler, Japan ya mwaka 1941-1945.
Bajeti ya tanzania miaka 20[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2488504
Kremlin: $250 billion trade turnover with China to be reached soon
[emoji187]"China is our major ally and trade and economic partner, and we are set to develop this cooperation. The aforesaid horizon of $250 billion is absolutely realistic. Hopefully, it will be achieved and surpassed shortly," Presidential Press Secretary Dmitry Peskov said (Plans of increasing Russian-Chinese trade turnover to $250 bln absolutely realistic - Kremlin).
The Kremlin spokesman also noted that the trade turnover between the two countries is growing very dynamically.
[emoji187]"The coverage is growing, the number of areas of interaction and cooperation is also constantly multiplying," the official stated.