kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kampuni hatari hambayo inapigana bakhumut kwa miezi 7 Sasa, [emoji848]Hii kampuni hatari sana
Hakika!Dikteta PUTIN ni mnyama kuzidi Hitler, ashindwe na kulegea
Dogo naona unajitia dole kalioni na kunusa mwenyewe
Marekani wamerudhisha mahusiano na venuzuela ni hivi karibu tuu KWANI uchumi wa venuzuela ilikuwa kwa sababu ya nini, na pesa YAO kuanguka si vikwazo vile vya USA. Hayo mahusiano wanarudi sasa hivi kaka.Nimekutolea mfano wa jinsi wenzake wamavyocheza karata zao kwa akili na sio kutumia miguvu. Nimekuuliza wapi Marekani ilisema inataka kuivamia Venezuela umekimbia hujaleta evidence yoyote.
Hivi kuna haja gani ya kuivamia Venezuela wakati Rais wao mwenyewe Kwasasa ameshatepeta anataka mahusiano mazuri na Marekani bila kusahau karuhusu kampuni ya Marekani ianze tena kuchimba tena mafuta hapohapo Venezuela!
WEWE UNAONEKANA HIVI VITU SIO MFUATILIAJI MKUU.Marekani anacheza kete zake kwa akili sio kutumia nguvu juzi hapa tumemskia Maduro mwenyewe anataka uhusiano wa Marekani na Venezuela urudi kama zamani.
Na Kwa taarifa yako kampuni ya Marekani Chevron imepewa kibali kuanza kuchimba tena mafuta hapo Venezuela Kwa bwana Maduro.
U.S. prepared to authorize Chevron to boost Venezuela's oil output
Mkuu Poland WANATAKA kupeleka leopard bila hizini ya German wenyewe.Pamoja na siraha za kisasa wanazopewa Ukraine lakini bado jeshi LA Ukraine linapewa kichapo kikali.
Ujerumani na marekani wanaogopa kupeleka vifaru vyao vya kisasa huko Ukraine sababu wanajua vitaangukia kwenye mikono ya urusi kisha zipelekwe pale Iran
Wapeleke tu kwani nato wanaogopa nini kupeleka hizo silaha si wanataka ukrain ashinde vita au wanaogopa aibu ya silaha zao kuchomwa vitani kama bisiMkuu Poland WANATAKA kupeleka leopard bila hizini ya German wenyewe.
NATO NA USA NI WAOGA TUU HAWANA KITU KUNA MTU ANAWASIFIA KINOMA HUMU NDANI.Wapeleke tu kwani nato wanaogopa nini kupeleka hizo silaha si wanataka ukrain ashinde vita au wanaogopa aibu ya silaha zao kuchomwa vitani kama bisi
Nazile zilizo ekwa pale WH wanajihami na nnBaada ya kuharibu miji ya Ukraine ameona na yeye yanaweza kumkuta hivyo kaanza kujihami mapema.
Mihadarati Ni janga la Taifa.Jamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.
Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.
Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.
Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.
Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Wapeleke tu hizo leopard alipigwa Nazi mturuki huko Syria kiufupi tunazipa kichwa ila hazina kituMkuu Poland WANATAKA kupeleka leopard bila hizini ya German wenyewe.
Duh halafu huyo jamaa hapo kushoto naona analia kabisa kimoyo moyo anatamani kukimbia hapo ila ndio hivyo bwana mkubwa kasha wapeleka machinjioniWatu wanaendelea kugoma huku
Naona kabisa dude Hilo limelenga UKE rein huko hatariView attachment 2488583
View attachment 2488585
Dude limeonekana sehemu. Haijulikani linaelekea wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23] msaada wa chumvi wa nini wakati bado Soledar haijanguka kwa mujibu wa kipanya44.[emoji599]BREAKING[emoji599] Belgium is to send 3000 tonnes of salt to Ukraine after PMC Wagner's head honcho Prigozhin took over the salt mines business in Ukraine.
Sent using Jamii Forums mobile app