Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimesoma hii post word to word dhidi ya kupongeza Russia pia naomba nikupongeze we mwenyewe pia Mungu awabariki wote wanaopinga ukandamizaji ,ukoloni na tabia za hila za marekani na ulaya wametutesa Sana hao mbwa nao mda wao wa kuona Nini maana ya kipigo walichotupatia enzi za ukoroni kilikuwa hakifai ni huu Putin Mungu akubariki.
 
Yaani marekani wapumbavu Sana 😂😂😂😂😂😂
 
[emoji1258][emoji1255][emoji298]US advises Ukraine to withdraw troops from Bakhmut, - AFP publication, citing a senior US official

Kiev's heightened focus on holding the city is reportedly hindering preparations for the expected spring offensive. According to the official, Kiev may not have enough resources to both conduct military operations in the city and prepare for an offensive in the south of the country.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea, matukio baada ya Urusi kuichukua Crimea yalitoa tahadhari kubwa kwa Urusi..Baada ya sakata la Crimea 2014, west walianza kuweka vikwazo na kuongelea vikwazo vikubwa sana ambavyo Urusi hawakutarajia kama vingeongelewa mfano kuwadisconnect kwenye SWIFT.
Hii kitu Urusi angepigwa 2014 angekoma aisee..transaction za ndani zingekwama kabisa, walipoanza kunusa hii hatari wakaona watengeneze mfumo wao..2015 na ukaanza fanyia majaribio, VISA CARD & MASTERCARD zikawa localized, MIR ikaanza kuwa promoted sana.. .mfano malipo ya pension na other government payments zikaanza kutumia MIR, watu wakaanza kutafuta MIR cards..
West wamekuja kupiga vikwazo 2022 wakifikiri wataleta matatizo kwenye mzunguko wa fedha..kumbe hamna lolote...VISA na MASTERCARD ndani ya URUSI zinapiga kazi kama..nje ya nchi ndo shida, transactions ndani ya nchi pia zinaendelea bila shida yoyote..

N.K..
Kama Urusi ingepigwa sanctions kabla ya 2014 au 2014 yenyewe..hali ingekuwa mbaya mno..wangepata tabu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
huyu jamaa sometimes huelezea vizuri sana update hour after hour
 
Hata marekani na Europe wangefungiwa bomba la mafuta na kuto uziwa nafaka na madini ya Urusi iyo 2014 wangekuwa na hali mbaya zaidi kuliko sasa. Hao west unao wasifia hawana potential ya kumthibit Urusi kiuchumi kwa maana Urusi ilishajiondoa kwenye myororo na utumwa wa kiuchumi. Ndo kati ya nchi ambazo monetary system yao haiko attached na ya wazungu Kama sisi wabongo mzungu akipiga chafya ya corona Benki kule huku mambo Yana yumba. Urusi inajitosheleza hata bila west au America na dunia inamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyo hitaji dunia. Urusi hajawai kushidwa vita na kwa haraka haraka sanctions zimedunda ina maana anashinda vita ya kiuchumi, sasa ngoja iyo Benki mpya ya Dunia ifunguliwe ambapo dollar haitakuwa ikitumika kwenye kila transactions Kama sasa kila nchi itakuwa na haki ya kutumia sarafu yake katika manunuzi. Tuna elekea kwenye balanced world order aka multipolar world.

Bila kusahau Kuna vuguvuga la Texas kujichomoa USA tena kama nyakati zile.Na pia Kuna vuguvugu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe marekani Kama ile revolutionary war. Hizi ni za chini chini.
 
msaada wa chumvi wa nini wakati bado Soledar haijanguka kwa mujibu wa kipanya44.



Kipanya 44 kasema mji wa Soledar bado haujanguka
Huyo 'ki-rata
Marekani imezuia Ukraine isifanye Offensive hadi wakipewa silaha mpya. Hold your positions
Msipende kupindisha habari....sisi wote tunafuatilia habari hizi. HaKuna offensive iliyopangwa na Ukraine na mabwana zake kwamba itafanyika sasa. Ukraine na mabwana zake wa NATO na West nchi zipatazo 50 jumla yake wamepanga offensive hiyo ianze spring. Kwa hiyo Marekani na mabwana wengine wa Ukraine wanataka Ukraine ising'ang'anie Bakhmut kwani itaathiri mipango ya offensive hiyo ya spring. Kwanini? Kwa kuwa huko Bakhmut askari wengi wa Ukraine wanapukutika na resources nyingi kama silaha na kadhalika zinatumika huko ambazo zingeweza kutumika kwenye offensive ya spring.
 
msaada wa chumvi wa nini wakati bado Soledar haijanguka kwa mujibu wa kipanya44.



Kipanya 44 kasema mji wa Soledar bado haujanguka
Huyo 'ki-rata
Marekani imezuia Ukraine isifanye Offensive hadi wakipewa silaha mpya. Hold your positions
Msipende kupindisha habari....sisi wote tunafuatilia habari hizi. HaKuna offensive iliyopangwa na Ukraine na mabwana zake kwamba itafanyika sasa. Ukraine na mabwana zake wa NATO na West nchi zipatazo 50 jumla yake wamepanga offensive hiyo ianze spring. Kwa hiyo Marekani na mabwana wengine wa Ukraine wanataka Ukraine ising'ang'anie Bakhmut kwani itaathiri mipango ya offensive hiyo ya spring. Kwanini? Kwa kuwa huko Bakhmut askari wengi wa Ukraine wanapukutika na resources nyingi kama silaha na kadhalika zinatumika huko ambazo zingeweza kutumika kwenye offensive ya spring.
 
Hakuna mtu kawasifia West....mimi ni-Pro-Russia.Kuwa Pro-russia hakunifungi na chochote.Na usijidanganye kwamba Russia yuko front kwa West kwa kila kitu. Actions nyingi za Russia ni baada ya kutendewa analipiza- Russia asingekuwa na sababu ya kufunga bomba la mafuta bila ya kuwaprovoked na EU..

Pia West vikwazo vya mafuta na gas wamejiwekea wenyewe indirectly au directly. Wao ndo wanajiwekea vikwazo, kuzuia makampuni yao yasifanyekazi na Urusi, hivyo hiyo inflation yao ni matatizo yao binafsi. Russia yuko tayari na anaendekea kutrade oil directly na baadhi ya nchi za Ulaya kama Hungary vile...

Pia hiyo notion yako ya kusema Russia hazihitaji nchi nyingine..hasa za West kisa anajitosheleza..ni UONGO....Nchi zote ulimwenguni zinategemeana, tena kumbuka hao ni majirani zake kabisa, vyovyote vile kufanya biashara na jirani pamoja na kuwekeana mazingira bora ya kuingiliana ni kitu kila nchi inapenda na inatamani. Hata Putin hakuna mahali kasema hawahitaji west...ndo maana hata anavyowaaddress mara zote anawaita PARTNERS....

Hivi vita vitapita na hizo nchi zote za Ulaya zitaanza kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya biashara tena..ni suala la muda tu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…