Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Hivi we unaifahamu Moscow?Vifaru haviendi kimkakati. Kuna habari vile vifaru vyao kwenye snow vinateleza na kubiringita kama funza. So wanabuy time ili ikiwezekana baada ya msimu wa baridi wapeleke silaha za kufika Hadi Moscow. Ndio maana warusi wanajaza airdrfence kwenye magorofa.
Namtetea bana,maana anapingwa Kila Kona.Mna chuki sana na jamaa, nadhani sababu anafahamu mengi kuwazidi na hayupo upande wenu.
Jifunze kuvumilia hoja pinzani.
Ha ha haa,sawa rafiki yangu.Wewe pia mwehu tu ndio maana unamshangilia huyo mwehu mwenzako.
Hata wangekua mungiki wangemnyoosha TU.Alifikiri anaenda kupigana na mungiki pole yake
Huyu Jamaa ana roho ngumu Sana,Jeshi la mtu mmoja kp kipanya44 huwa sina shaka na wewe hata nikipotea kwenye uzi kwa muda mrefu bado nakuta una hold position na mashambulizi yanaendelea dhidi ya Pro russia. Haa safi sana mkuu.
Watasema sio askari wa USA Kwa sababu alikua AWOLEx-Navy Seal Killed in Ukraine
The US Navy confirmed Friday that a member of the elite SEAL force was killed in eastern Ukraine but said that Naval Special Warfare Operator Daniel Swift was in “active deserter status”.
Swift died on Jan 18 from injuries sustained in combat with Russian forces, an unnamed US Navy official told reporters in a background briefing.
His service record shows that the Oregon resident enlisted in 2005 and received medals for taking part in campaigns in both Afghanistan and Iraq. He was listed as going absent without leave (AWOL) in March 2019. (TIME)
Follow @RT_India_officialView attachment 2491801
Watasema sio askari wa USA Kwa sababu alikua AWOL.Ex-[emoji631]Navy Seal Killed in Ukraine
The US Navy confirmed Friday that a member of the elite SEAL force was killed in eastern Ukraine but said that Naval Special Warfare Operator Daniel Swift was in “active deserter status”.
Swift died on Jan 18 from injuries sustained in combat with Russian forces, an unnamed US Navy official told reporters in a background briefing.
His service record shows that the Oregon resident enlisted in 2005 and received medals for taking part in campaigns in both Afghanistan and Iraq. He was listed as going absent without leave (AWOL) in March 2019. (TIME)
Follow @RT_India_officialView attachment 2491801
Saaafiiiii..... Safi sanaaa...Jan. 22 update on Russian losses in war: +600 Russian troops killed in action🤔
....
View attachment 2491285
Ukiona hivi ujue mambo sio Shwari ndani ya Kiev, magenerali washaanza kuparuanaSijui hii kitaalamu inaitwaje?
Two servicemen of Ukrainian army elite unit defect to Russia in Zaporozhye region
Vladimir Rogov, leader of the We Are Together with Russia movement, told that at least several dozens of soldiers of the Ukrainian army’s territorial defense units had deserted to Russia in the Zaporozhye region since mid-December
Two servicemen of Ukraine’s elite army unit have defected to Russia, a source in the law enforcement agencies in the Zaporozhye region told TASS on Sunday.
"Two Ukrainian servicemen today came over to our side in the Zaporozhye direction. These are servicemen of an elite unit. They have already begun to share important data with our side," the source said.
Vladimir Rogov, leader of the We Are Together with Russia movement, told TASS earlier that at least several dozens of soldiers of the Ukrainian army’s territorial defense units had deserted to Russia in the Zaporozhye region since mid-December, when the number of such cases increased dramatically.
Wee mwamba uliadimika aisee,Leo hii tazama video maghala ya silaha za super power wa mchongo zikikaangwa
Video game zimerudi kaa utulieWee mwamba uliadimika aisee,
Hivi ule Uzi wako wa video game uliishia wapi?
Aseeee.... Ugonjwa wa akili ni tatizo ...Wanamlia timing Putin, wanataka kumpindua kama Ghadaf, ndio maana kaweka mitambo vita ikulu moscow na nyumbani kwake na wizara ya ulinzi imeseti mitambo kote kuzuia mabom ya NATO