Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwa natamani atokee pro upinde hata mmoja aandike bandiko lenye akili kama hili ambavyo pro Russia wanavyoandika na kueleweka na kuzoa makumi ya likes.......pro upinde hata mara moja sijawahi kuona alieandika akaeleweka na kupata hata like nane tuu haijawahi kutokea



Hii ni dalili,taarifa na funzo kwao timu upinde kuwa watanzania tulio wengi tupo pamoja na mwamba Putin
 
Kusapoti jambo lililopinda ni ngumu sana mkuu, huwezi kuwa na points zenye mashiko. Kuna ushabiki mahaba kwa US, au hujajua kuwa hawa pro rainbow wa humu wengi wanaishi US, wabeba box. Wote wanajua US anatupelekesha kwa maslahi yake, lakin ndo ivo mahaba kama yote.

Then kuna ushabiki wa uhalisia. Huu ndo wa hawa pro Russia sasa. Points kama zote
 
 
Hata pale nchini Msumbiji,,,wameonesha jinsi wanavyopinga.
 
Miaka kama 10 iliyopita nilikuwa pro upinde sana tena kindakindaki ila nilivokuja kufatilia na kutambua agenda zao nawachukia sana hawa upinde. Nimegundua ni waovu kupindukia labda hata shetani anaweza kujifunza mambo mawili matatu toka kwa hawa wanaupinde. Ni mjinga pekee narudia ni mjinga pekee na asiyejua uovu wa hawa jamaa ndie anayewashabikia
 
Ha ha haa.
Ukisimamia ukweli hakuna mtu atakupinga.
Wengi pro Russia humu wanasimamia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…