Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama hivyo vifaru havina impact mbona urusi anaonekana kuvigwaya [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tusiandikie mate wakati wino upo.kwani vimevikia sehemu gani mpaka sasa, au kama kusafirisha ni tatizo basi niongee na Putin awasaidie treni za kubebea maana naona kama mnachelewesha uwondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusiandikie mate wakati wino upo.kwani vimevikia sehemu gani mpaka sasa, au kama kusafirisha ni tatizo basi niongee na Putin awasaidie treni za kubebea maana naona kama mnachelewesha uwondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa kwa kutulia kijana huu mchezo hauitaji mihemko Wala hasira [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vipi siku hizi umekua muangalizi wake mpaka ukajua halali au ana lala pale hata mlete nini ni kazi bure

Zelensky kasha maliza wanaume ote kawapeleka vitan sasa anapeleka wanawake na wazee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
West wapo vizuri sana kwenye kupika data imagine walipika data na kuuaminisha ulimwengu kuwa iraq ina silaha za maangamizi
 
Kwa
Kwann ukweli ufichwe ...Kama nyie mmezoea uongo na kujidanganya Ni nyie Ila wanaume husema kwel sio kujiliawaza kwa uwongo ...
 
Ila hapa Sweden [emoji1236] wameingia chakike aisee, Kuchoma Quran ndo kumezidi kuchochea nchi nyingi asa za kiarabu kuiona NATO ni anti-islamic organization, na sijui Kama Turkey [emoji1250] wataidhisha membership ya Sweden kujiunga na NATO.
Mbona huwa hatulalamiki kuhusu biblia?
 
Hiyo taarifa kuwa Putin halali umeitoa wapi?Au ni kutoka kiwanda chako cha kupika habari?Mambo mengine kama haya ndio yanafanya hata mkiandika mambo ya ukweli mnakosa kuaminika!
 
Kwa shinikizo lililopo hizi mashine lazima tu zitapelekwa front line kuwashikisha adabu warusi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ngoja tuwashtue wa syria maana viligeuzwa popcorn na mlivo na vichwa vigumu mnataka kuvipeleka ukraine vikakutane na might russia. It will be execution out there
 
Multiple top Ukrainian officials resigned or were dismissed on Tuesday, following Volodymyr Zelensky’s promise on Monday that “personnel changes” were imminent amid ongoing corruption scandals.

Deputy Defense Minister Vyacheslav Shapovalov, who was accused of overseeing food purchases for troops at inflated prices; Deputy Prosecutor General Oleksiy Symonenko, who reportedly borrowed a Kyiv businessman’s car to take a vacation in December; and President’s Office Deputy Head Kyrylo Tymoshenko, who was accused of using an SUV donated for humanitarian use as his personal vehicle, all…

Continue Reading

News Source: meduza.io
 
Ujui vita wewe mrussi alipo vamia hakuwa kakusudia vita kubwa ya yeye kuigeuza vumbi na magofu ukrain hivyo alivamii ndani moja kwa moja ..ila nato ndiyo wakabadili upepo wa ukrain na kusababisha vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…