Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Game changer sio au tusubiri mwingineUtake usitake, kinu kipo njiani kuelekea Ukraine - ni Leopard 2; baba wa vita.
Ungeanza kwanza na Putin aliyeutangazia uma kwamba anafanya mobilization ya askari laki tatu baada ya wale elite soldiers aliotuma mwanzoni mwa uvamizi wake kufyekwa wote na wengine kutiwa vilema..bila aibu anataka awaswage Tena vijana wengine kuwapeleka machinjioni baada ya wale laki tatu kuchinjwaVipi siku hizi umekua muangalizi wake mpaka ukajua halali au ana lala pale hata mlete nini ni kazi bure
Zelensky kasha maliza wanaume ote kawapeleka vitan sasa anapeleka wanawake na wazee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nyie watu mbona mnajikanyaga kila mara?? NATO wanaingiliaje Tena Ukraine wakat tulishawachimba mkwara mzito wakaufyata??[emoji28]Ujui vita wewe mrussi alipo vamia hakuwa kakusudia vita kubwa ya yeye kuigeuza vumbi na magofu ukrain hivyo alivamii ndani moja kwa moja ..ila nato ndiyo wakabadili upepo wa ukrain na kusababisha vita
Huko Syria urusi aliviweza hivi vifaru kwa sababu alikuwa na air superiority huko..., hivyo alikuwa na uwezo wa kuharibu chochote kilichopo chini,kwa Ukraine mambo ni tofauti Mzee..,kama mna matumaini hayo basi mnasubiria embe chini ya mnaziNgoja tuwashtue wa syria maana viligeuzwa popcorn na mlivo na vichwa vigumu mnataka kuvipeleka ukraine vikakutane na might russia. It will be execution out there
Endelea kujipa matumaini huku danadana zikiendelea [emoji28]Atajikuta amebaki mwenyewe.
View attachment 2493913
Kwahiyo Russia amepoteza askari laki ngapi kwa maelezo haya?Ungeanza kwanza na Putin aliyeutangazia uma kwamba anafanya mobilization ya askari laki tatu baada ya wale elite soldiers aliotuma mwanzoni mwa uvamizi wake kufyekwa wote na wengine kutiwa vilema..bila aibu anataka awaswage Tena vijana wengine kuwapeleka machinjioni baada ya wale laki tatu kuchinjwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujawasikia wapambe wa Putin wakilialia kuhusu upelekwaji wa hivyo vifaru?? Basi utakuwa sio mfuatiliaji wa habari.. wapambe wote wa Putin Kwa Sasa ni matumbo joto [emoji28] wamebaki kuilaum tu marekani kwamba ina-triger vita ya tatu ya dunia [emoji16]Hiyo taarifa kuwa Putin halali umeitoa wapi?Au ni kutoka kiwanda chako cha kupika habari?Mambo mengine kama haya ndio yanafanya hata mkiandika mambo ya ukweli mnakosa kuaminika!
Hayo maelezo yanajitosheleza kijana, jaribu kuchekacheka akili yako utapata idadi kamili ya warusi waliochinjwa huko Ukraine. ,Vitu vingine sio mpaka utafuniwe kwa kukusaidia tu jumlisha wale asikari laki Moja na elf sabini na Tano walioingizwa mwanzoni mwa uvamizi,, kisha ongezea wale mobilized soldiers laki tatu...,alafu jiulize hao laki Tano hambao wako mbioni kuingizwa front line ,..ukifanya hivyo utapata idadi kamili,Kwahiyo Russia amepoteza askari laki ngapi kwa maelezo haya?
Sasa hayo uliyoandika yanahusiana vipi na Putin kukosa usingizi?Hujawasikia wapambe wa Putin wakilialia kuhusu upelekwaji wa hivyo vifaru?? Basi utakuwa sio mfuatiliaji wa habari.. wapambe wote wa Putin Kwa Sasa ni matumbo joto [emoji28] wamebaki kuilaum tu marekani kwamba ina-triger vita ya tatu ya dunia [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo zaidi ya askari laki 4 wa Russia wameuwawa😆😆😆😆😆!Hayo maelezo yanajitosheleza kijana, jaribu kuchekacheka akili yako utapata idadi kamili ya warusi waliochinjwa huko Ukraine. ,Vitu vingine sio mpaka utafuniwe kwa kukusaidia tu jumlisha wale asikari laki Moja na elf sabini na Tano walioingizwa mwanzoni mwa uvamizi,, kisha ongezea wale mobilized soldiers laki tatu...,alafu jiulize hao laki Tano hambao wako mbioni kuingizwa front line ,..ukifanya hivyo utapata idadi kamili,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama urusi ni muumini wa kusema ukweli mbona hataki kuweka wazi kwamba askari wake zaidi ya laki tatu wamechinjwa au kutiwa vilema kama vyanzo mbalimbali vya kuaminika vinavyoripot??Kwa
Kwann ukweli ufichwe ...Kama nyie mmezoea uongo na kujidanganya Ni nyie Ila wanaume husema kwel sio kujiliawaza kwa uwongo ...
Unachoandika hapa ni kujaribu kujipa matumaini mkuu..., huoni waziri wa mambo ya nje wa huko urusi akijaribu kuzunguka kwenye vyombo vya habari akijaribu kuhihamasisha Dunia iilaumu NATO na marekani kwa upelekwaji wa hivyo vifaru?? Umsikii lavlov akidai kwamba hatua hiyo inachochea vita ya tatu ya dunia?? Nashangaa warusi wa buza ndio mnajitia vichwa ngumu kudai kwamba hivyo vifaru hivyo havina lolote wakati viongozi wa urusi wanarukaruka na kukanyagana wakisikia ujio wa hivyo vifaru [emoji16]Sasa hayo uliyoandika yanahusiana vipi na Putin kukosa usingizi?
Silaha inaenda battle field,Bado haijafika basi ni kelele kila mahala!Hii ni dalili kuwa Kwa muda mrefu,west wamekosa good news kwenye uwanja wa vita mpaka kupeleka tuvifaru nayo imekuwa habari kubwa![emoji38][emoji38][emoji38]
Nimekwambia kwamba hao ni waliouwawa au kutiwa vilema.., mbona unakuwa mgumu kuelewa kijana,Kwahiyo zaidi ya askari laki 4 wa Russia wameuwawa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!
Only a fool can buy this crap!
Hata wangekuwa wanakufa zaidi ya 1000 Kwa siku tokea OP inaanza wasingefika hiyo idadi!
Tumia ubongo wako vyema!
KP katika stress anatamani huu uzi aufuteNimekwambia kwamba hao ni waliouwawa au kutiwa vilema.., mbona unakuwa mgumu kuelewa kijana,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
haya ni mambo ya kawaida, mbona uwa ujerumani katoka hamjasema - na yeye ni nini ?Atajikuta amebaki mwenyewe.
View attachment 2493913
Usiwe mbishi kijana..,kila siku tunaleta takwimu hapa jinsi warusi wanavyochinjwa..,na idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga mara nyingi Huwa haipungui 700 kwa siku .,Jana tu idadi hiyo ndio imeonekana kupungua kidogo maana wamechinjwa 700 kasoro 10Kwahiyo zaidi ya askari laki 4 wa Russia wameuwawa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!
Only a fool can buy this crap!
Hata wangekuwa wanakufa zaidi ya 1000 Kwa siku tokea OP inaanza wasingefika hiyo idadi!
Tumia ubongo wako vyema!
Hayo mambo ya stress ndo kwanza nayasikia kwenu mkuu,..Mimi nipo hapa kuwaumbua na uozo wenu mnaotulisha hapa..,hayo mambo ya stress unaongeza mwenyewe [emoji28]KP katika stress anatamani huu uzi aufute
Mmeshaambiwa na Warusi kuwa vitateketezwa kama kama vingine tu!Unachoandika hapa ni kujaribu kujipa matumaini mkuu..., huoni waziri wa mambo ya nje wa huko urusi akijaribu kuzunguka kwenye vyombo vya habari akijaribu kuhihamasisha Dunia iilaumu NATO na marekani kwa upelekwaji wa hivyo vifaru?? Umsikii lavlov akidai kwamba hatua hiyo inachochea vita ya tatu ya dunia?? Nashangaa warusi wa buza ndio mnajitia vichwa ngumu kudai kwamba hivyo vifaru hivyo havina lolote wakati viongozi wa urusi wanarukaruka na kukanyagana wakisikia ujio wa hivyo vifaru [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app