australia iko side gani kwa huu mgogoro?
New survey shows 32% of Australian youth identify as LGBTQIA+.
Video si zipo.kama upo Soledar video za leo zipo[emoji23][emoji23].mengine ni mambo ya Asha zungu unayoyafanyaKwa hiyo ushaidi unaouongelea hapa ni kuleta hizo ramani za mchongo kwa wingi.,sio??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mliambiwa mlete ushaidi wa chombo chochote Cha habari hambacho ni popular known kilichoripoti kwamba soledar imeangukia mikononi mwa urusi mmebaki kupuyanga tu[emoji28][emoji28]Usiongee ovyo weka ushahidi wakuonyesha bado ipo kwenye mikono yenu.kama hauna basi sioni tofauti kati yako na Ashura wa Buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona mliambiwa mlete ushaidi wa chombo Cha habari kilichoripoti hiyo soledar kutwaliwa na urusi mnakimbia mbio[emoji28]Video si zipo.kama upo Soledar video za leo zipo[emoji23][emoji23].mengine ni mambo ya Asha zungu unayoyafanya
Russia Kwa Sasa kila taifa linamtenga kama ukoma..,alijua atamaliza shughuli mapema na kuendelea na mambo mengine lakini imekuwa tofauti [emoji28]Wapo upande wa western ( EU na NATO) kwasababu wame freeze Russian assets na kuingiza sanctions kwenye bidhaa za Urusi.
Sasa chombo cha nini wakati ushahidi wa video upo.kwa iyo wakkitangaza wao ndo inakuwa kweli.kwani wao wapo uwanja wa Vita.waliokuwa uwanja wa vita wamechukua video.wewe upo huku unataka kubishana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kusubiri kutangaziwaMliambiwa mlete ushaidi wa chombo chochote Cha habari hambacho ni popular known kilichoripoti kwamba soledar imeangukia mikononi mwa urusi mmebaki kupuyanga tu[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yani sisi hata hatuelewi ni kukung'uta hadi nato waombe poooRussia Kwa Sasa kila taifa linamtenga kama ukoma..,alijua atamaliza shughuli mapema na kuendelea na mambo mengine lakini imekuwa tofauti [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo kibongobongo ni kama katibu mwenezi wa chama tawala , hivyo lazima atoe statement za kuwafurahisha wakubwaMZEE WA KAZI KANENA
Prigozhin on the objectives of the actions of PMC "Wagner" in the Artemovsk region.
“The task of taking Bakhmut is to destroy the Ukrainian army in the vicinity of the city and prevent any offensive actions in any direction of the front. All of their combat-ready units of the Armed Forces of Ukraine are sent to Bakhmut. And PMC "Wagner" destroys them, opening up operational opportunities in other areas "(c) Prigozhin
Kwa taharifa yako tu ni kwamba warusi 700 kasoro 10 walichinjwa ndani ya saa 24 zilizopita,Sasa hapo sijui nani anamkunguta mwenzie[emoji28]Yani sisi hata hatuelewi ni kukung'uta hadi nato waombe pooo
Mtaalamu ya ku edit [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Kwa taharifa yako tu ni kwamba warusi 700 kasoro 10 walichinjwa ndani ya saa 24 zilizopita,Sasa hapo sijui nani anamkunguta mwenzie[emoji28]View attachment 2494285
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
HIMARS, artillery,na lisasi zinazokula vichwa vya warusi kila siku ndio zinafanya kazi ya ku-edit hizo takwimu [emoji28]Mtaalamu ya ku edit [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23] mi nilijua kashafikisha milioni 2.mbona anazidisha kidogo kidogo sanaMtaalamu ya ku edit [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Siku izi hakuna picha wala video mpya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au simu zenu siku izi hazipigi picha.HIMARS, artillery,na lisasi zinazokula vichwa vya warusi kila siku ndio zinafanya kazi ya ku-edit hizo takwimu [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app