kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ngoja HIMARS ziendelee kuwakaanga zaidi Kwa wingi na kupeleka vilio Moscow tuone nani atanyoosha mikono,Hata wachinjwe sisi ni kuminya vitufe vya mabomu tu hadi nato isujudu
Umewahi fika kramorsk?
Achana nae huyo anapata tabu sana kwa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umewahi fika kramorsk?
Mkuu kwa kutaja "hao" je anamaanisha pia mamluki wa Wagner wanaoendelea leo hii kuua raia wa Lybia wakikodiwa na yule jenerali muasi Haftar?
Wanajeshi wenu wameanza kukimbia bakhmut baada ya kampuni ya wagner kuingia hukoKwa taharifa yako tu ni kwamba warusi 700 kasoro 10 walichinjwa ndani ya saa 24 zilizopita,Sasa hapo sijui nani anamkunguta mwenzie[emoji28]View attachment 2494285
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walianza kukimbia tangu mwezi June mwaka uliopita mkuu.., nashangaa wewe umejua hili Leo[emoji28]Wanajeshi wenu wameanza kukimnia bakhmut baada ya kampuni ya wagner kuingia huko
Wamepararaiz acha ubishiImeshapalyse wakati inaendelea kuwachinja warusi?[emoji848] Masihara haya..,huyo unayesema kapalalyse kamfanya super pawer mpaka anaokoteza mpaka wafungwa magerezani na kuwapeleka front line [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona sukhoi SU-25 ya DRC leo imeingia kwny anga za jirani yake tolu akaona ngoja nae atesti mitambo yake kidogo.View attachment 2494387
Aise vita ni mbaya. Sio kitu cha kushabiki hii video daaVideo nyingine hii hapa lile group lililokaangwa hili hapa tazama uone jamaa wanatazamwa bila wao kujua hi technology mrusi hana unapigwa huku unarekofiwa ukikata roho na kuwa mshikaki
Sahihi kabisa nilitegemea ingelipuka kabisa lkn naona imetua airport Goma na ikazimwa na fire extinguisher ikawa poa,ingawa nimeona picha iliyopigwa kwa karibu na hio ndege ikiwa imepark naona imepata damage kiasi kwny mabawa Yake nadhani.View attachment 2494394
Evidence of the reliability of Russian military equipment - the Su-25 of the Congo Air Force managed to continue flying after a direct hit by a MANPADS missile over Goma. Shooting allegedly Rwandans
Ameshapalalyse wakati anendelea kulihenyesha na kulitoa kamasi taifa lililojinasibu kama super pawer??.., masihara haya [emoji848][emoji16]Wamepararaiz acha ubishi
Ni hatari sana mkuu.., ukiangalia unaweza usipate usingizi kwa kuona jinsi warusi wanavyochinjwa π₯±π₯±π₯±Aise vita ni mbaya. Sio kitu cha kushabiki hii video daa
Hasa mtutsi wa rwanda a.ka mama ivan( kagame wife) naona unendelea na chuki zako na CongoNaona sukhoi SU-25 ya DRC leo imeingia kwny anga za jirani yake tolu akaona ngoja nae atesti mitambo yake kidogo.View attachment 2494387
Manpad ITAKUWA feki hio yani ndege inaruka karibu hivyo imeshidwa kuangusha ndege.View attachment 2494394
Evidence of the reliability of Russian military equipment - the Su-25 of the Congo Air Force managed to continue flying after a direct hit by a MANPADS missile over Goma. Shooting allegedly Rwandans