Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
RUSSIA sio ZIMBABWEThe US admitted to difficulties with the introduction of price ceilings for Russian oil products.
Treasury Secretary Janet Yellen said things were more complicated than originally thought.
According to her, there is a possibility that “things will not go according to plan.”
Eleza vizuri sijakuelewaSi tulikubaliana data za Magharibi ni propaganda,halafu Leo tena Mrusi wa Tandale kwa tumbo unaleta data hizohizo za Magharibi. Lakini magharibi wakitoa data kwamba Urusi imepoteza wanajeshi laki moja mnawaka kama Moto wa kifuu sasa kama sio UPOPOMA NI NINI?!
Kwa habari yako kutumia vifaru kuipiga urussi ni kichekesho cha mwaka urussi ni hatari kwenye kulipua vifaru ndiyo maana ukrain iliteketezewa vifaru vyake karibu vyote ndani ya siku 30 tu ...hivyo vifaru havifikii uwezo wa himars hata kwa asilimia 10 tuTulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
The Devil is on assault,and will not rest until Russia is destroyed.Russia’s Chief Of General Staff Details Security Threats
General Valery Gerasimov has said that Moscow intends to set up new military districts and put together fresh units to counter the most pressing security threats it faces, including hybrid war in Ukraine, as well as Finland and Sweden potentially joining NATO.
According to Gerasimov, the Russian military’s response to those challenges will, among other things, include the creation of the Moscow and Leningrad military districts and the formation of three motorized rifle divisions in Kherson and Zaporozhye regions.
Gerasimov also pointed out that the Russian military hasn’t seen hostilities of such scale and intensity in the country’s modern history and that Moscow is “opposed by almost the entire collective West.”
Subscribe to RTView attachment 2495117
Uzuri nilikupa angalizo la kuepuka kuokoteza data kutoka sources ambazo sio reliable!Naona zinakupa faraja ndio maana unaendelea kufanya hivyo!Ila data hizo kama ni za kubumba hazibadili chochote ground!Ni lini huyo islaer amekuwa mchambuzi wa vita ya urusi na Ukraine [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tena tunataka hivyo vifaru vije na wanajeshi wa hizo nchi wasije wakasingizia kuwa ukrain hawajui kuvitumia [emoji1787][emoji1787]Tulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kujifariji sio kosa kisheriaTulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.
Akiweza kuchoma kifaru cha Leopard 2 na kile cha Abrams cha US made - nipo paleee....
Kuna msemo una sema kujikaza kisabuni[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Germany Years Away From Replacing Russian Gas — Official
Germany is a long way from fully substituting Russian pipeline gas supplies with liquefied natural gas (LNG), estimates by the country’s Economy Ministry show.
According to a document published on the Bundestag website, Germany imported 55 billion cubic meters (bcm) of Russian natural gas in 2021. The document also shows that Germany’s new Floating Storage and Regasification Units (FSRUs), which are currently being installed in a number of ports to allow the import of LNG, may reach a similar capacity no sooner than in 2026.
By 2030, those capacities are projected to increase to 76.5 bcm, or about 80% of total German gas consumption in 2021. However, the ministry notes that even once the terminals go online, the global LNG market may not have enough capacity to cover additional demand, which could push these dates further.
Subscribe to RTView attachment 2495145