Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Sasa Himars imepiga AD ngapi huko Ukraine?Unajua kwanini Israel hata Urusi ampe Iran S300 achilia mbali S400?
Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Mmeshaambiwa duniania hakuna [emoji817]% AD lakini Russia has got the best!
Makombora mangapi ya himars yamekuwa intercepted na AD za Russia?Huu mjadala wa AD hatutafika popote,muda ni utajibu!
NATO ndio inayompa huyo uturuki umaharufu kwa kura yake ya tulufu anayoitumia kutishia kuzuia nchi nyingine zisijiunge NATO.., hivyo utasubiri sana kuona uturuki ikijitoa katika umoja wa NATO maana hiyo ndio inamuweka mjini [emoji28]Suggestions coming out of Turkey that they may leave NATO in around 6 months time.
Utumie hypersonic missile kukaanga tank,kuwa seriously mkuu [emoji28][emoji28]Hizo leopard na Abrams zinapigwa hypesonic zinakaangwa chap[emoji4]
Ndio maana nasema unaanzisha mjadala halafu Mwishowe hutaki kujadili facts badala yake unaweka mipasho na maneno ya kanga!
Ukitaka twende hivyo mbona tunaenda tu!Sasa hivi Russia,sio Soviet tena anapambana Ukraine inayosaidiwa na mataifa zaidi 30 akiwemo huyo US!
Tena anakutana na vita vya kiuchumi lakini Mwanaume hajatetereka na anakwambia victory is inevitable!
Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!
Huyo ndio kidume Russia!
Kumbe zilikuwa zinakuuma eeh!! [emoji28]More explosion to Russia imeishia wap?
Endelea kujizima data,eti unataka ushahidi wa interceptions dhidi ya himars,sana sana nitakuletea taarifa ya Russia inayosema hivyo!Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself😀!Leta evidence ya kombora za Himars kutunguliwa na AD za Russia.
"Russia has got the best!" - halafu Kati ya Makombora 6 wanafanikiwa kutunguliwa mawili?! [emoji23]
Mnachoshindwa kuelewa au mmeamua tu kukaza fuvu ni kwamba AD ambazo Ukraine imepewa mpaka sasa ni short-medium range AD ambazo mara nyingi ni dhidi ya Cruise missiles,drones, aircraft,nk. Kwasasa Ukraine haina AD ya kuweza kutungua heavy missiles kama Kh-22 na Ballistic Missiles ndio maana ikaomba ipewe Patriot na SAMP-T.
Kama AD za west hazifanyi kazi kwanini warusi hawaingizi bombers zao ndani ya Ukraine wakafanye carpet bombing kama walivyofanya kule Syria?!
Hiyo imepenya,ndio muepuke kuleta vijihabari mfu ambavyo sooner or later mnaumbuka😀😀😀Umelizwa ni lini islaer amekuwa mchambuzi rasmi wa vita ya urusi na Ukraine unaishia kubwabwaja tu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona unahangaika,hayo maswali kawaulize jeshi la Ukraine waliosema bomu lilioangusha ghorofa hawana AD za kulitungua!Vipi hizo AD zote za west bazo Ukraine wamekiri kuwa hazina uwezo wa kutungua makombora ya Russia?
Video ikionyesha IRIS-T ikitungua Kalibr cruise missile ya Russia
Spectacular footage: Two Russian Kalibr cruise missiles shot down within seconds over Kyiv Oblast on Nov. 15. First is audible explosion and glow on horizon, second a clear view of interception by German Iris-T air defense system.
Video 2:
Video 3:
Endelea kujizima data,eti unataka ushahidi wa interceptions dhidi ya himars,sana sana nitakuletea taarifa ya Russia inayosema hivyo!Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself[emoji3]!
Tunasubiri hizo AD ambazo mnasema hazifika!Ila msichelewe sana maana mnaweza peleka wakati Ukraine inafanana na mwezini!
Aisee,wewe kweli umeamua kujizima data!"Hakuna taifa lilishakutana na vita ambayo anapambana Russia tokea dunia ianze!"
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota.
Yani Russia anapigana na Ukraine Peke yake lakini mpaka Leo anahenya maana Marekani na NATO hawana majeshi huko, utafananisha na Ujerumani ambayo ilichangiwa na mataifa yenye nguvu yakiwa na majeshi Yao?!
Hii Russia ilikua ikiogopwa kabla lakini baada ya vita hii imeonyesha ni Simba wa karatasi.
"Victory is inevitable!" - halafu akakimbia Kherson ambayo alipiga Kura na kusema ni sehemu halali ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]
Look for real knowledge,utaipata.Huwezi kuangalia BBC,Aljazeera,SkyNews,CNN,CGTN News,CBS, Bloomberg utegemee kuyapata haya,hawatakupa kwa kuwa inaumbua the backbone of their faith.Where have you got this?
Nilikuwa nakuchallange wewe ambaye unasema AD za Russia haziwezi kuintercept himars wakati Huo Huo unasema ziliintercept mawili kati ya sita!Kama hamkuweza kuifanya mwezini February 24 ndo muweze Leo?!
"Halafu unaomba ushahidi wakati Huo Huo unasema AD za Russia ziliintercept mawili kati ya sita,what a contradiction u bring upon urself[emoji3]!"
Kwahiyo AD bora ndo zina ufanisi wa 30% [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 2495395View attachment 2495396
Napata wasiwasi hii kitu inaweza kwenda kwenye WWIII kwasababu hakuna anaekubali kushindwa na kwa sasa inaonekana kama matokeo yoyote ya hii vita iwe ni collective West/ Ukraine kushindwa ama Urusi kushindwa yote kama yatasababisha vita ya tatu.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kituko wewe ambae unasema Russia ana AD Bora wakati huohuo zinadaka vikombora viwili Kati ya 6Nilikuwa nakuchallange wewe ambaye unasema AD za Russia haziwezi kuintercept himars wakati Huo Huo unasema ziliintercept mawili kati ya sita!
Hapo nani kituko Sasa[emoji3]