ππ,Updates ambazo zimethibika ni za mchongo hazibadili chochote uwanja wa vita!Sisi tunaendelea kuwapa updates tu jinsi warusi wanavyochinjwa. ,Ikiwauma chomoeni tu hakuna namna [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu dikiteta anapataje uhalali wa kuzungumzia sovereignty [emoji848][emoji848]The time will come - sovereignty will be returned to Europe - Putin
Alafu anatokea mrusi wa kwa mpalange anakwambia urusi anapigana na NATO [emoji16]The issue of a no-fly zone over Ukraine is irrelevant - Scholz
Anakaa Uhuru ParkMb anatoa wap na kibera hakuna Wi-Fi
[emoji298]οΈThe Minister of Defense of Spain, Margarita Robles, confirmed the intention to send Leopard 2 tanks to Ukraine, β Reuters reports.
Margarita Robles told the EFE news agency that Madrid would act in coordination with its Western allies to help Ukraine defend against the russian invasion.
View attachment 2495397
Kabaki huyo tu ndio matumaini yaoSahivi hoja zenu ni Tank tu, kweli mna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto wa kike wa Putin kasoma Europe na mpaka sasa anaishi Europe wewe una compare wester countries na Russia kenge weweHahahaaa,tulia dawa ikuingie!Usipanic,no hard feelings!
Kama una stress zako peleka nyumbani kwako sio kutuletea humu JF!
Niliyemjibu kashaelewa,wewe umevamia tu na kutokwa povu!
Habari ya Soledar ngumu sana. Wacha tubakie na tanks.Sahivi hoja zenu ni Tank tu, kweli mna hali ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Propaganda za kikomunist tupu. Mwambie aende Frontline akiongozana na mwenzake Medvedev.Msemaji wa Urusi Dmitry Peskov ametoa maoni yake juu ya uwezekano wa kupelekwa wa vifaru vya Abrams vya Marekani kwenda Ukraine, akisema kwamba vitateketezwa kama vifaru vingine vyovyote.
"Ni kwamba tu kwa upande wa kiteknolojia, huu ni mpango ulioshindwa, na muhimu zaidi ni kukadiria wazi uwezo ambao itaongeza kwa vikosi vya kijeshi vya Ukraine. Huu ni udanganyifu mwingine mbaya sana," aliwaambia waandishi wa habari siku ya Jumatano.
Kulingana na yeye, maoni ya mamlaka ya Urusi yanashirikishwa wataalam, lakini hawakufafanua ni nani hasa.
Awali, Peskov alizungumza hivyo hivyo juu ya kupelekwa kwa vifaru "Leopards" vya Ujerumani huko Kyiv.
"Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine," alisema wiki iliyopita.
Wataalamu wa nchi za Magharibi, wakati huo huo, wanaamini kwamba vifaru vizito vya Ujerumani na Marekani, pamoja na Challenger-2 ya Uingereza, uhamisho ambao London ilithibitisha katikati ya Januari, itaruhusu Vikosi vya Wanajeshi kuachana na kudhibiti wanajeshi wa Urusi hadi kuanza kuwafukuza nje ya Ukraine.
Nataka kumuuliza kipanya 44 et ni kweli jamaa washakubali kua mji wa soledar umechukuliwa.Habari ya Soledar ngumu sana. Wacha tubakie na tanks.
Kuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.Nataka kumuuliza kipanya 44 et ni kweli jamaa washakubali kua mji wa soledar umechukuliwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakuelewa sasa, kwamba ww hukubaliani na swala la Biblia kuchomwa ila huwezi kukemea kwasababu unamuachia Mungu.Ukitaka we choma tu wala hutaona kelele sababu Mungu wetu mkubwa.
Hicho kikaratasi chenu kikichomwa mnateseka sana
Anasema kuna akina Leopard wajaribu bahati yao kwanzaKuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.
Wakati nyie mnalinga na hiyo soledar, Ukraine tunalinga naKuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.
Weka na soledar hapo mkuu umesahauWakati nyie mnalinga na hiyo soledar, Ukraine tunalinga na
Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]
Khakivu[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kheson city [emoji56][emoji56][emoji56]
Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Snake island [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]
Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Hamuoni kwamba mnatia aibu wakuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama ukraine inapata shida huku ikiendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo..,Wacha tu hiyo shida iendelee mkuu [emoji23][emoji23]Kuna yule mwingine alisema tusubiri Jmosi wiki iliyopita. Kp Kipanyaa hapa bora wakae mezani wayamalize la sivyo Ukraine [emoji1255] itapata shida sana.
Kwa hiyo bado wanayo Ile ndoto yaSoon the Kiev regime will have no sea at all"
-Dmitry Medvedev