Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ukiwa unatoa maoni angalia na CV zake.
mfano mpaka leo F35 si rahisi kwa nchi za kijinga kuangusha na kama unataka kuangusha hiyo ndege pesa unayo vifaa
 
Msaada unatakawa kuleta matokeo chanya kama hakuna mabadiliko nini maana ya msaada
 
Asante kwa Kumbukizi, saivi ziko wapi hizo ulizozitaja?
Taswira ya Vita inabadilika bro. Kipindi Cha Nyuma,Urusi ilikuwa inarundika wanajeshi zaidi ya 200 kwenye msafara mmoja. Kwahiyo HIMARS Ni Silaha nzuri kupiga kundi kubwa la wanajeshi. Badala yake,Urusi imebadilisha mbinu,Hairundiki Tena wanajeshi wake sehemu moja Kama zamani ndio maana HIMARS haiwezi kuwa SUITABLE kupiga wanajeshi 10 au 20. Pia HIMARS Ni nzuri kupiga maghala ya Silaha. Kwasasa Urusi Hairundiki Silaha nyingi sehemu moja. Pia Urusi imeongeza Usiri (Intelligence) ya kuficha maghala yake makubwa ya Silaha yasijulikane kwa Ukraine.

Pia,Mbinu mojawapo Urusi inaweka Maghala ya Silaha mbali na Uwanja wa mapambano kwasababu Ukraine imepewa Makombora ya HIMARS yenye kupiga 80km pekee. Kwahiyo Urusi inaweka Maghala ya Silaha angalau 100km kutoka Uwanja wa mapambano. Ndio maana Kila siku Ukraine inaomba ipewe Makombora ya ATACMS yenye kupiga umbali wa 300km. Hapo ndio utasikia Tena Moto wa HIMARS Upya.
 
Sema vita hizi zinavituko
Eti ukitaka kupigana unamjulisha adui kwanza hili ni panga limetengenezwa marekan halivunjiki hovyo [emoji23][emoji23]
Vitani nenda na silaha yako FUMUA MTU UBONGO [emoji3512]
🤣🤣🤣🤣🤣 haya mavitisho tu ili na Russia atoe mzigo ghalani
 
Kila.mmoja apange safu yake ya ushambuliaji na kujilinda sisi mashabiki tunaangalia mtanange
 
Kaka unaongea kama mtaalamu wa kijeshi au unaongea kisiasa!!!!Kamandi gani ya urusi au ukraine imekupa hizi information,s????Au na wewe umeadithiwa kaka through social network,s????
 
Kila.mmoja apange safu yake ya ushambuliaji na kujilinda sisi mashabiki tunaangalia mtanange
Hakika.Lakini usimcheke Ukraine anapoomba Silaha. Ukraine haitengenezi Silaha Kama ilivyo kwa Urusi. Kwahiyo Ni halali kwa Ukraine Kuomba Silaha ili iendelee na Vita.

Mimi nitaumia Sana Kama Ukraine itashindwa Vita sababu ya kukosa Silaha(Hiyo Ni sawa na kuipatia Urusi ushindi wa Mezani). Ukraine ipewe Silaha na Kama Ni kushindwa Vita Basi ishindwe yenyewe.
 
Kaka unaongea kama mtaalamu wa kijeshi au unaongea kisiasa!!!!Kamandi gani ya urusi au ukraine imekupa hizi information,s????Au na wewe umeadithiwa kaka through social network,s????
Unamaanisha Sina haki ya kuzungumzia hicho nilichokizungumza au Vipi?
 
ukiwa unatoa maoni angalia na CV zake.
mfano mpaka leo F35 si rahisi kwa nchi za kijinga kuangusha na kama unataka kuangusha hiyo ndege pesa unayo vifaa
Hayo madude yapo grounded yanafanyiwa ukarabati yameonesha udhaifu wa malfunction hata kabla hayajaingia vitani.😂😂😂

Moreover, in February 2022 36 F-35As were grounded simply due to lack of operable engines, a number that has increased year over year since 2020 according to the General Accounting Office which concluded that the extended time it takes to repair the complex F135 means the Pentagon lacks enough spare engines.28 Dec 2022
 

Attachments

  • Screenshot_20230125-214629_Chrome.jpg
    309.8 KB · Views: 17
Huyo suapapawa halisi hapo kwa gadafi kaenda na NATO nzima, Iraq alipigana miaka nenda rudi akisaidiwa na Fance na German na UK🤣🤣🤣 hapo Afghanistan Taliban wamemfurusha kakimbia kama mwizi au tukuwekee video
Kaka super power iran na urusi🤣🤣🤣🤣🤣Hawajui hao
 
Supa-pawa wa mchongo kalikoroga hivyo ajiandae kulinywa...

Mwanzo alitoa mkwara mzito kwa atakayeisaidia Ukraine, Cha ajabu misaada kila siku inaenda ila hakuna alichowafanya watoaji mpaka sasa.
Madikteta kwa mikwara au kwa vile wafuasi wao nao ni empty kichwani?!
 
Wampe hadi wanajeshi kabisa. Maana tushaona waliofia Ukraine wakirudishwa makwao wakiwemo wanandoa wawili askari wa US.

Kesho nikumbushe nikuchimbulie
 
Himars Toka ziende na mikoa minne imekwenda mikononi mwa Putin[emoji2960]

Hivyo vifaru ndo karata yenu ya mwisho ninavyohisi,haiwezekani mkavishangilia hivyo.

Nimeviona sehemu vinapiga jalamba vinakanyaga mabox,,,eti weka mbali na watoto[emoji1787]
Hivyo vifaru hakuna kitu vitafanya...inaonekana ni expensive sana kwa sababu wamevipeleka Ukraine lakini wanasema vitachukua miezi kuingia kwenye battle field. Hizo leopard Germany kapeleka 14, kuna nchi inapeleka 2, Abrams Marekani anapeleka 31, watu wanavingojea wavichakaze ...

Unajua huyu Zelensky ni kichaa tu anatumika na watu ila sijui kama anajua.

Ukitazama vizuri Ile nchi imeumia....kamwe haitakaa itoke kwa Marekani kutokana na madeni waliyolimbikiza kutokana na mikopo ya silaha... sehemu alizochukua Putin ndio kwa heri.... yaani jamaa kaiharibu nchi kwa kifupi.

Pro-Ukraine endeleeni kumfariji mwenzenu.
 
Ni uzembe tu wa kukubali kukaririshwa chuki.
 
Hivyo vifaru kutwa vinapigiwa kelele kila mtu anaongea lake hebu kasomeni taarifa zake muone performance yake ikiwa kwenye battlefield
 
Katika haya maeleezo mareeefu umesahau drones za Uturuki, au.zile.zilikuwa ni.defensive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…