Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siku hizi himmars siyo game changer tena
Baada ya hapo wakasonga mbele sentimita ngapi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawakusonga mbele...walibaki hapo hapo na kuwapiga kwa mbali...watasonga mbele siku zijazo....au unasemaje, mwenzetu ulitaka wasonge sentimita ngapi?!
 
Hahahahaaaaa!
 
Hahahahaaaaa,Naona imepenya hiyo!Umeugulia maumivu mpaka ikabidi uje ujitutumue na vijikashfa kupooza hali machungu Yako!Pole,nikuongeze mwingine?
 
Yaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.



Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.

Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....

Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
Hakuna kifaru chenye uwezo huo labda vifaru vya bibi yako mchawi kijijini. Tofautisha uwezo wa kusafiri bila kuongezewa mafuta na uwezo wa kurusha makombora
 
Siku hizi himmars siyo game changer tena

Hawakusonga mbele...walibaki hapo hapo na kuwapiga kwa mbali...watasonga mbele siku zijazo....au unasemaje, mwenzetu ulitaka wasonge sentimita ngapi?!
Usitegemee urusi kusonga mbele kuelekea Kiev Tena..,walishasema wazi kwamba Kile kichapo walichotembezewa siku za mwanzo za uvamizi kinatosha[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…