Mkuu jisomee historia kidogo. Hitler alishambulia Urusi kwenye mwezi wa Juni 1941. Hali ya vita kati ya Ujerumani na MArekani ilianza Desemba 1941.Ugerumani ilishindwa na mrusi kabla ya nchi yoyote kumshinda urusi kasome historia ya vita hivyo marekani aliingia kipindi mjerumani kesha poteza nguvu...tena hadi Hitler mwenyewe alikili kuwa jeshi lake limepata pigo kubwa urussi
| Mwaka | Kiasi (tani) | Asilimia ya yote kwa mwaka % |
|---|---|---|
1941 | 360,778 | 2,1 |
1942 | 2,453,097 | 14 |
1943 | 4,794,545 | 27,4 |
1944 | 6,217,622 | 35,5 |
1945 | 3,673,819 | 21 |
Jumla | 17,499,861 | 100 |
Unataka utupige kamba hapa kuwa Urusi alipewa msaada wa kijeshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:
Mbali na kutisha mataifa madogo jeshi la Kirusi lilijaribu vita ya Afghanistan - ambako lilishindwa. Dhidi ya taifa ndogo ya Chechniya walipigwa mara ya mwaknza na mara ya pili walisaidia kwa msaada wa sehemu ya Wachechen wenyewe....
- 400,000 jeeps & trucks
- 14,000 airplanes
- 8,000 tractors
- 13,000 tanks
- 1.5 million blankets
- 15 million pairs of army boots
- 107,000 tons of cotton
- 2.7 million tons of petrol products
- 4.5 million tons of food
Na sasa Ukraine wanonyeshe uwezo mdogo.
Unaamini kweli jeshi la kisasa linatishiwa na hao Warusi??
(wote wanawaangalia kwa tahadhari kwa sababu bado wana silaha za nyuklia, si sababu nyingine. Urusi si China, mkuu)
Sahihi kabisa.....bila msaada wa Marekani Ussr isingewashinda wanazi wa Hitler na bila Marekani hata China isingewashinda Wajapani..Mkuu tafadhali jaribu kuumia mantiki kidogo pamoja na elimu! Bila shaka kila mwanajeshi mwenye akili anaogopa kuingia vitani maana ni hali mbaya. Ila ukidokeza Vita Kuu - Marekani inajua vema urusi isingeshinda Ujerumani pekee yake bali kwa ushirikiano na Marekani na Uingereza. Urusi ilipokea wakati ule kutoka Marekani:
Mbali na kutisha mataifa madogo jeshi la Kirusi lilijaribu vita ya Afghanistan - ambako lilishindwa. Dhidi ya taifa ndogo ya Chechniya walipigwa mara ya mwaknza na mara ya pili walisaidia kwa msaada wa sehemu ya Wachechen wenyewe....
- 400,000 jeeps & trucks
- 14,000 airplanes
- 8,000 tractors
- 13,000 tanks
- 1.5 million blankets
- 15 million pairs of army boots
- 107,000 tons of cotton
- 2.7 million tons of petrol products
- 4.5 million tons of food
Na sasa Ukraine wanonyeshe uwezo mdogo.
Unaamini kweli jeshi la kisasa linatishiwa na hao Warusi??
(wote wanawaangalia kwa tahadhari kwa sababu bado wana silaha za nyuklia, si sababu nyingine. Urusi si China, mkuu)
Mi nakuliza tena izo silaha zilikuwa ni invisible kwenye uwanja wa vita.tutajie izo silaha halizosaidiwa na zilitumika sehemu gani na tuwekee hata picha ya ushahidi maana naona unaongea maneno matupu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu jisomee historia kidogo. Hitler alishambulia Urusi kwenye mwezi wa Juni 1941. Hali ya vita kati ya Ujerumani na MArekani ilianza Desemba 1941.
Lakini mara baada ya mashumbulio ya Ujerumani dhidi Urusi, Marekani ilikubali tayari kutuma misaada Urusi. Ona hapa tani zilizotumwa kutoka Marekani kwenye Urusi:
Mwaka Kiasi
(tani)Asilimia ya yote kwa mwaka % 1941 360,778 2,1 1942 2,453,097 14 1943 4,794,545 27,4 1944 6,217,622 35,5 1945 3,673,819 21 Jumla 17,499,861 100
Bila msaada huu Urusi ingeanguka.
Wewe akili hauna kumbe nimesha jua ...usimwamini mmarekani kwenye history ya hivyo vita ...kwanini marekani isingetuma huo msaada france ili wamshinde mjerumani...urusi ilitumia silaha zake mwenyewe labda msaada wa kiraia ...sijui hata kama unajua askari wa ngapi wa jeshi la ujerumani walijisalimisha urussiMkuu jisomee historia kidogo. Hitler alishambulia Urusi kwenye mwezi wa Juni 1941. Hali ya vita kati ya Ujerumani na MArekani ilianza Desemba 1941.
Lakini mara baada ya mashumbulio ya Ujerumani dhidi Urusi, Marekani ilikubali tayari kutuma misaada Urusi. Ona hapa tani zilizotumwa kutoka Marekani kwenye Urusi:
Mwaka Kiasi
(tani)Asilimia ya yote kwa mwaka % 1941 360,778 2,1 1942 2,453,097 14 1943 4,794,545 27,4 1944 6,217,622 35,5 1945 3,673,819 21 Jumla 17,499,861 100
Bila msaada huu Urusi ingeanguka.
Uyo mpumbavu ajui kuwa marekani na urusi walikuwa ni maadui hata kabla ya vita hivyoMi nakuliza tena izo silaha zilikuwa ni invisible kwenye uwanja wa vita.tutajie izo silaha halizosaidiwa na zilitumika sehemu gani na tuwekee hata picha ya ushahidi maana naona unaongea maneno matupu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ona njia za misaada wakati wa Vita Kuu ya Pili kutoka marekani kwnda urusiLeta hata picha moja ya Warusi wakiwa na ivyo vitu vya msaada ulivyoviweka hapo au havikuwa na jina
Wewe akili hauna ujui kuwa serikali hii ya china siyo ile ya kupigwa na mjapani hii china ya sasa ni mkono wa urussi .....ile serikali ya china ya marekani na uingereza ilipigwa vita na wachina wakisovieti chini ya mrussi wakakimbilia taiwani ndiyo maana una ona marekani mpaka leo ipo taiwaniSahihi kabisa.....bila msaada wa Marekani Ussr isingewashinda wanazi wa Hitler na bila Marekani hata China isingewashinda Wajapani..
Na bila msaada wa Marekani, Ukraine ingeshatekwa na dikteta Putin.
Propaganda za kitoto hizoOna njia za misaada wakati wa Vita Kuu ya Pili kutoka marekani kwnda urusi
Ona Kifaru cha "Churchill Mk IV Tank" (iliyotengenezwa Uingereza) ikiendeshwa na askari wa Kirusi kwenye mapigano ya Kursk mwaka 1943
View attachment 2497284
Hata Waingereza walituma
Mkuu samahani hii inasaidia nini swali letu? Urui ilitegemea sana msaada wa silaha na chakula kutoka Marekani kati Vita kuu. Tuko pamoja? Au una msingi kupima takwimu?Wewe akili hauna kumbe nimesha jua ...usimwamini mmarekani kwenye history ya hivyo vita ...kwanini marekani isingetuma huo msaada france ili wamshinde mjerumani...ujerumani ilitumia silaha zake mwenyewe labda msaada wa kiraia ...sijui hata kama unajua askari wa ngapi wa jeshi la ujerumani walijisalimisha urussi
Mkuu kweli, kama hujui unasema propaganda??Propaganda za kitoto hizo
Ivyo vifaru unavyosema wewe vikitumwa Urusi mwaka 1942 kwa mkataba wa urafiki wa kusaidiana.Vifaru vilikuwa ni 300 na sio kama unavyosema wewe.na Warusi walitumia ila awakuvipenda kwa sababu ya uzito. Warusi walikuwa na vifaru zaidi ya laki moja.vifaru 300 kwenye vifaru 100, 000 utasema umesaidia vita kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Ona njia za misaada wakati wa Vita Kuu ya Pili kutoka marekani kwnda urusi
Ona Kifaru cha "Churchill Mk IV Tank" (iliyotengenezwa Uingereza) ikiendeshwa na askari wa Kirusi kwenye mapigano ya Kursk mwaka 1943
View attachment 2497284
Hata Waingereza walituma
Kumbe unakubali Russia ni superpower, Embu angalia hayo mataifa yanayopambana na Russia nakuuliza angekua US angeweza himili hiyo mikiki?
.iliwahi kulizwa/kupigwa na WavietCong mpaka akatoa kamasi sembuse Warusi? Hapo hatuja zungumzia vita ya kati ya N.Korea (1950-53) na USA - USA army ilivurumishwa vikali na jeshi la N.Korea wakishirikiana na jeshi la Uchina - US Army wakaonfolewa kutoka mji wa Pyongyang na kurudishwa nyuma fasta, General MacCathy hakuamini macho yake mapema wanafikia hatua ya kuomba matumizi ya nuclear bomb dhidi ya Taifa la Uchina, Rais Truman alimpomkatalia wakapishana kiswahili na General McCathy mpaka rais akamtimua kazi - kama si umoja wa Mataifa kijuigekuwake
Ona hapaMi nakuliza tena izo silaha zilikuwa ni invisible kwenye uwanja wa vita.tutajie izo silaha halizosaidiwa na zilitumika sehemu gani na tuwekee hata picha ya ushahidi maana naona unaongea maneno matupu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umelewa nilichokwambia hapo juu.Urusi alipokea vifaru 300 kutoka kwa muingereza mwaka 1942 kama urafiki wa kusaidiana kwenye majanga. Urusi yeye alikuwa na vifaru alivyotengeneza zaidi ya laki 1.Vifaru 300 kwenye uwanja wa vita utasema umesaidia Urusi kushinda ww2.Ona hapa
View attachment 2497299
Советские танкисты и «Тетрарх» Mk VII в Закавказье, 1942 год.
Usiposoma kirusi nitafsiri: Askari wa vifaru vya Kisovyeti pamoja "Tetrarch" Mk VII kwenye eneo upande wa kusini wa milima ya Kaukazi
Chanzo: Mk.VII Тетрарх (tovuti ya Kirusi)
Mkuu ushauri kwa jumla ni: ujielimishe kidogo kabla ya kusema . O si tacuisses fuisses philosophus (kama ungenyamaza ungeheshimiwa kama mwanafalsafa!).Unataka utupige kamba hapa kuwa Urusi alipewa msaada wa kijeshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Katika watu ambao awapendi kutumia vifaa vya nchi nyingine kwenye jeshi, ni Warusi.hii taarifa umeipata wapi ya Warusi kusaidiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mavi umeyasikia wakati nimekushindilia mtarimbo, sio?[emoji28]Unanuka mavi, fanya haraka kasafishe huo mtaro
Kwa hiyo nyie mkiitwa wapumbavu pia muwe mnakubaliana na Hali si kuanza kung'aka!!Uyo mpumbavu ajui kuwa marekani na urusi walikuwa ni maadui hata kabla ya vita hivyo