Br.kwa hiyo ya Moscow ndiyo inafika Washington? furahi bac vita umeimaliza.
Allied forces za Russia zinasonga mbele. .Toeni updates za vita .Mambo ya Hitler kafanyeni Necta f6
Mkuu umejitahidi kuelewa habari za vifaru ila hisabati na mpira wa miguu bado !!Br.
Sipo Hapa kupaisha silaha za Moscow hasa tanks Kwamba range ya kupiga Ni mamia ya km lakini najaribu tu kuonesha Kwamba Hakuna kifaru chochote duniani chenye uwezo wa kupiga kwa km 500-1000 Bali max range Ni uwezo wa tank kutembea baada ya kujazwa full tank .
Uwezo wa juu kabisa wa kifaru kupiga lengo sahihi precisely Ni mita 2500 hivi kiasi Cha urefu was viwanja vinne hivi vya mpira wa miguu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kilometa 2.5 nadhaniMkuu umejitahidi kuelewa habari za vifaru ila hisabati na mpira wa miguu bado !!
Urefu wa kiwanja cha soka ni mita 125. Viwanja vinne hivyo ni 125 * 4 = mita 500. Si mita 2500. Mita 2500 ni viwanja vya soka 2500 : 125 = 20.
(Ila Leopard inapiga vizuri kwa umbali wa mita 4,000; ikitumia grenedi-kombora ni mita 8,000)
Ndiyo, mita 1,000 ni kilomita 1, hivyo mita 2500 ni kilomita 2.5Kilometa 2.5 nadhani
ni kweli sana na Ak 47 range inaenda mpaka 2.6km lkn uwezo mzuri wa kuleta madhara na kuua ni 1.5Ndiyo, mita 1,000 ni kilomita 1, hivyo mita 2500 ni kilomita 2.5
Kijana we mbishi kwa vutu ambavyo vipo wazi unapoambiwa mita 2400 probably ni km 2.4Mkuu umejitahidi kuelewa habari za vifaru ila hisabati na mpira wa miguu bado !!
Urefu wa kiwanja cha soka ni hadi mita 125, kimataifa kawaida 105. Viwanja vinne hivyo ni 105 * 4 = mita 420. Si mita 2500. Mita 2500 ni viwanja vya soka 2500 : 105 = takriban 24.
(Ila Leopard inapiga vizuri kwa umbali wa mita 4,000; ikitumia grenedi-kombora ni mita 8,000)
Usitusemee sisi ...Kama unapenda dollar wewe na mabeberu usidhani wote wanapenda hivyo...
Nyie watu wa ajabu Sana...hakuna taifa ovu duniani Kama USA...dollar inatumika kuikandamuza na kuinyonya dunia...Saddam Hussein na Ghadafi waliuawa siyo kwasababu ya kinachoitwa udikteta Bali kwa kuwa viongozi Hao walikuwa wanataka dhahabu itumike baadala ya dollar..
Yaani Marekani?!?! Hovyo kabisa...Hakuna taifa ambalo limeua mamilioni ya watu duniani kwa nyakati hizi Kama Marekani...USA imeua maelfu kwa maelfu ya watu huko Irak, Vietnam, Libya, Grenada, Panama, Serbia/Yugoslavia, Afghanistan na kadhalika...
Marekani ni taifa la wauaji...wanatumia kile kinachoitwa demokrasia lakini huko USA Hakuna demokrasia yoyote ile..demokrasia ni zaidi ya uchaguzi...weusi huko Marekani bado wanabaguliwa...
USA ndiyo iliyofanya genocide ya jutisha kwa kuwaua wahindi wekundu kwa mamilioni ambao ndio watu wa asili wa Marekani..stupid America..
Rafiki,Mambo Ni mazuri sana,hao matajiri wanachangishana vifaru.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi Putin bado hajamalizana tu na jirani yake ambaye alionekana ni dhaifu? maana tangu niwaone raia wa Ukraine wakijiandaa na vita nikaweka picha ya huyo bibi aliyenivutia profile kufikia sasa ilitakiwa awe keshachukua mji mkuu.
Bado uko nyuma sana mzee wangu fanha utafit alafu urudi apaBr.
Sipo Hapa kupaisha silaha za Moscow hasa tanks Kwamba range ya kupiga Ni mamia ya km lakini najaribu tu kuonesha Kwamba Hakuna kifaru chochote duniani chenye uwezo wa kupiga kwa km 500-1000 Bali max range Ni uwezo wa tank kutembea baada ya kujazwa full tank .
Uwezo wa juu kabisa wa kifaru kupiga lengo sahihi precisely Ni mita 2500 hivi kiasi Cha urefu was viwanja vinne hivi vya mpira wa miguu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli machizi mpo wengiHuenda hata Leo hii tunapoambiwa majeshi ya urusi kwenye vita ya pili ya dunia yalifika mpaka mjini Berlin ujerumani ni uzushi tu wa watu wachache!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mtu kauliza wewe unamtukana??Acha ujinga ...huo ni upuuzi mtupu
Sasa anasubiri nini kuyalenga hayo mataifa wakati Kila mmoja ameshatangaza idadi itakayotumwa huko Ukraine.., kweli jamaa ameshalewa mikwara [emoji28]Tulia, acha kulia lia uliyataka mwenyewe !! mikwara bubu tushakuzoea Putin... huna lolote.
Russia says the delivery of NATO battle tanks to Ukraine is evidence of “direct and growing” US and European involvement in the war, with one analyst suggesting supplying nations could become potential targets.
HahahaaRafiki,Mambo Ni mazuri sana,hao matajiri wanachangishana vifaru.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuangalii muda wa vita,,,tunashuhulika na Mambo mengine,,,tunaachana na petroldolla.