LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yanatokea Msumbiji, Congo Dr, Afrika ya Kati, Somalia, Ethiopia, na nchi nyingne hapa afrika ni dua za nani dada mfia dini?
 
Huyo Allah wako si akawapiganie watu wake huko Syria, Yemen, Afghanistan, Libya, Somalia, Mali, Lebanon maana ni wafusi wake, mbona wanakufa, kuteketea na kunyonywa na wamagharibi tu.

Unaomba kwa Allah wakati mwenzio ana Tomahawk au Iskander.

Hizo ni imaginary being hazina athari yoyote kwenye maisha ya mwanadamu
 
Hatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
Means anataka kushusha vitu vizito?!!
 
Haya maswali waga wanaulizana watu wanaoshonda kwenye vijiwe vya kahawa ama kwenye vijiwe vya draft na sio maswali ya kuulizwa na great tjinker kama wewe broo!!
 
Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!
 
What a joke kuachana na wananchi ? Serikali ngapi zimeangushwa na wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…