Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ukichungulia Leopard utaona mzinga wake unasemekana unaweza kupiga kifaru kingine (kwa uwezekano mkubwa wa kukimaliza) kwa umbali hadi mita 4,000 kwa grenedi zake za kawaida. Halafu kuna grenedi-kombora zinazorushwa pia kupitia kasiba yake, aina ya LAHAT (imebuniwa na Waisraeli) zinafikia hadi mita 8,000 (chanzo kingine kinasema "zaidi ya mita 6,000")
 
Kijana we mbishi kwa vutu ambavyo vipo wazi unapoambiwa mita 2400 probably ni km 2.4
Samahani nikipinga kidogo. Hali halisi si kweli kwamba "mita 2400 probably ni km 2.4" unavyoandika.
Mita 2400 HAKIKA ni kilomita 2.4 maana hivyo ndivyo ufafanuzi wake.
Samahani lakini.
 
Turudi Mashariki mwa Ukraine tupate updates za offensive ya Ukraine na washirika wake dhidi ya Taifa lenye Utu la Russia.
 
amechagua njia ya umwagaji damu alishupaza shingo tu kutokana na kiburi chake.. ngoja aipatepate
Tafsiri ya maneno yaliyoandikwa juu ya Takwimu ulizoweka kwenye picha hii yanasomeka hivi kwa kiingereza

"
GENERAL STAFF OF THE ARMED FORCES OF UKRAINE INFORMS DURING 24.02.22-28.01.2023, APPROXIMATE LOSSES OF THE adversary were:.... "
===
Sasa kama unauhakika na kazi yako ya kushambulia na kudhibiti uwezo wa adui kwenye front lines unaletaje taarifa za kubahati(approximate)! Au Ukraine anapigana kwa 'gorilla war style"! ? Ambayo mara nyingi mtumia mbinu hii anakuwa ameelemewa kiasi hawezi kujihakikishia uhalisia wa maeneo anayoshambulia wala kudhibiti.

UPo, Mkuu? Au nimekuacha?
 
[emoji779]️No Tanks for "THE Spring Offensive" - Washington Reveals Ukraine's Plan for Western Weapons?

America's Deputy State Sec. Victoria Nuland has admitted Kiev's forces won't see any US tanks on the battle field before spring, as they would require in-depth training to use them.

The [emoji631] official added Washington will ease sanctions against Russia in return for negotiations and the withdrawal of troops.

Have they given the game away?

Follow @RT_India_official
 
🤣🤣🤣😂😂😂🇷🇺💪👏👏👏👏🇷🇺🤝🤝
Hali tete upande wa bow,kocha keshasoma mchezo,wakati wowote atarusha taulo kwa mchezaji.
 
Wakimbizi wa Ukraine waliopo UK wanalalamika kuchanganywa na wakimbizi wa kiislam

‘Too Many Muslims’: Ukrainian Refugees Complain of UK Diversity

A new Channel 4 documentary into Ukrainian refugees attempting to integrate into UK society has shown many of them uncomfortable with the racially diverse surroundings.

One host said her guest complained “there were too many Muslims in the area” and that her son “couldn’t be safe because there weren’t enough white kids”, before agreeing to end their placement.

Another moved “from the best area of Kiev to the worst area of Birmingham”, which she feared was a center of Islamic terrorism after reading internet accounts and crime statistics.

Subscribe to RT
 
Kipanya, Hii ni Urusi hii hii tunayoifahamu au ipo nyingine? Duu
Ndio mkuu, lakini hata Putin hakutegemea kwamba operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo itakuwa janga namna hii..,yeye aliwekeza kila nyenzo aliyokuwa nayo akiamini siku tatu tu kazi itakuwa imemalizika[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…