Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa jamaa mbona wanapunguza idadi sana jana wanajeshi wa wakirusi 1500 wamekufa huku wakiendelea kusonga mbele!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siwezi kubisha mkuu, huenda ikawa ni kweli warusi 1500 walichinjwa Jana maana Kuna bahadhi ya taharifa hazilipotiwi kwenye vyombo vikubwa vya habari..,kwa mfano..siku ya tarehe 24 mwezi huu Kuna warusi zaidi ya 200 walichinjwa katika mji wa maliupol na hii idadi haikujumuhishwa kwenye takwimu inayotolewa kila siku kuhusu warusi wanaochinjwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bora yeye .... Hata ukoo wako Kiti hupewi ...
 
BMTP terminator ikiwa kazini.hakika hii mashine ni hatari.Mrusi ni balaa kwenye ground[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]






Ikisindikizwa na kamelod katamu ka kumwaga Damu.....😂😂😂😂😂 kmamake Urusi

Uraaaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Ohooooo...... Medvedev alisema... Ukraine inaweza isiwepo ... Kama Yugoslavia ilifutika ....hii nayo wakizembea kukaa chini kuongea itafutika ..na hawana la kumfanya....
Sawasawa mkuu, bila shaka kuna mambo yanayowezekana. Labda hata Urusi inaweza isiwepo siku moja?
 
Kama Ni kweli mbona Ni wapumbavu wa mwisho .wakae kwao bhc au waende marekani
 
Sawasawa mkuu, bila shaka kuna mambo yanayowezekana. Labda hata Urusi inaweza isiwepo siku moja?
Usitumie choo hicho Cha usingizini.... Endeleeni kudanganywa na mamovie ... We were Soldiers... WarBus... Commando John, deadly prey ... Angalieni kujifurahisha msidamganywe ndio NGUVU za Marekani... Waleteni field hao Navy seals tuwashone... Tuwakaange....
 
Labda wanamgambo wa Ukraine. Hao 800 mara 900 kila siku si wangeisha sasa huko vitani[emoji3]
Mkuu,hebu piga hesabu,kama ukiweza kuua askari 800 kila siku askari laki tatu unaweza kuwaua ndani ya muda gani. ,Hiyo idadi tunaweza kusema ni ndogo kulingana na juhudi zinazofanywa na urusi za kuwapeleka wafungwa na kila aina ya takataka huko front line...,labda tukiongezea wale waliojeruhiwa tunaweza kupata uhalisia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tayari chuma kimelambishwa mchanga. Rest in peace kamanda.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Sawa., jitaihid ulete na wengine waliolambishwa mchanga angalau wafike hata 10 maana ukraine kawapeleka jongomelo zaidi ya warusi 800 wa saa 24 tu🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…