Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
UKRAINEKwani kati ya urusi na ukraine nani kavamia eneo la mwenzake?
Afghanistan alimtoa jasho USA kwa miaka 20. Na mwisho USA akakubali yaishe akaondoa jeshi lake.Ukraine tu imemtoa jasho mwaka mzima......ingekuwa anapigana na NATO huyu Supa-pawa wa mchongo tungeshamsahau kitambo.
Ukraine haijawahi kuvamia Urusi ila wanakomboa ardhi yao iliyoporwa na majeshi vamizi.Sasa kwanini wanavamia maeneo ya Urusi?
Na ndio maana mpaka leo bado vita inaendelea kwa sababu unajua hii ni kama vita ya russia vs nato kwenye ardhi ya ukraine kwaiyo kila mmoja anamsoma mwenzake ingekua ni russia vs ukraine tu ngoma ingeshaisha kitambo sanaHawezi kupewa na hata Urusi sio rahisi watumie zao labda Putin kichaa kimpande.
Ukraine ndio kavamia eneo la Urusi. Mfano ukrane anafwata ni kwenye majimbo ya donesk, karkive nk nk?Kwani kati ya urusi na ukraine nani kavamia eneo la mwenzake?
Naona unaugulia maumivu kutoka chato.Hivi lugha mmeielewa?
Vita inapiganwa kwenye ardhi ya ukraine kwaiyo ni russia ndie kapelekea jeshi lake kwenye nchi ya mwenzake anachokifanya ukraine ni kupigania ardhi yake.. akija mtu kujimilikisha baadhi ya vyumba kwenye nyumba yako utamwachia?Ukraine ndio kavamia eneo la Urusi. Mfano ukrane anafwata ni kwenye majimbo ya donesk, karkive nk nk?
Mkuu pata limao na maji ntakuja kulipiaHivi mbona mnakuwa wapumbavu sana nyie humu ndani. βYawazunguka majeshiβ ndo kiswahili cha wapi mburura wewe?
Hiyo valnedar si imeshatekwa na urusi mkuu?? mohamedidrisa789 hebu njoo huku utoe ufafanuzi [emoji28]Na mimi nimepata hii leo , Russia anaendelea kuwabana majesh ya ukrain na kuyafyekelea mbali , kama usipoamia hii source bas tena
Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
All the updates from January 28, as they happened.www.aljazeera.com
Hayo ni maamuzi mkuu, huwezi pinga maana watu walisha amua!Na ndio maana mpaka leo bado vita inaendelea kwa sababu unajua hii ni kama vita ya russia vs nato kwenye ardhi ya ukraine kwaiyo kila mmoja anamsoma mwenzake ingekua ni russia vs ukraine tu ngoma ingeshaisha kitambo sana
Sawa mkuuHayo ni maamuzi mkuu, huwezi pinga maana watu walisha amua!
Ukraine anavamia ardhi ya Urusi!
Unaandika kujifurahisha au unaelewa unachoandika? Toka lini referendum ikaendeshwa na nchi vamizi ikawa Halali.Ukraine ndio kavamia eneo la Urusi. Mfano ukrane anafwata ni kwenye majimbo ya donesk, karkive nk nk?
Russia hasaidiwi?Kila upande unapoteza askari.. changamoto iliyopo US na West Countries wanachochea moto... kumbuka bila misaada ya silaha Ukraine hana lolote mbele ya Russia..
Kama sio halali UN wapeleke jeshi lao UKRAINE ama waiekee vikwazo RUSSIAUnaandika kujifutahisha au unaelewa unachoandika? Toka lini referendum ikaendeshwa na nchi vamizi ikawa Halali.
Kama Ukraine wanaakili timamu basi kauli kama hizi ziwaamsheView attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
Nilikuwa nasuburi habari tamutamu kama hii niinjoi weekend yangu. Safiii sanaaaBaada ya kukamata majimbo kadhaa mapya majeshi ya Urusi yameendelea kutoa kichapo heavy kwa wanajeshi wa Ukraine!!
Sasa wanataka kukamata mji mwingine!!
Urusi bado anaendelea kutoa kichapo kwa NATO na mataifa viherehere!!
Source: Russia, Ukraine troops locked in fierce battle in Vuhledar
Wanapoteza 900 in one day π€ͺπ€ͺπ€ͺKwani Urusi hapotezi askari wake ?
Kwa hiyo ulitaka iendeshwe na nchi gani ili iwe halali? USA?Unaandika kujifurahisha au unaelewa unachoandika? Toka lini referendum ikaendeshwa na nchi vamizi ikawa Halali.