Hapa aneumia ni hao matajiri na familia zao wanaovaa na kubeba designer bags,itabidi wakanunue kwa ndugu yao China 😕KWEUPE, HII DUNIA YA SASA UKITAKA UWE MBABE SANA TAFUTA NAMNA YA KUWA TEGEMEZI KWA NCHI NYINGI.
This is how luxury boutiques in the Moscow Central Department Store look now after the announcement of a number of brands about the suspension of activities in Russia.
View attachment 2144583
Na wewe ukalibeba kama lilivyo? Ukisoma kitu basi tumia akili kabla ya kupost!SkyNews wanadai wanajeshi wa Russia waliofariki wanaweza kufika elfu 10:
Ukraine war: Lost equipment, casualties and communication failures: How the Russian military is faring in Ukraine
Security and defence analyst Michael Clarke tells Sky News why the Russian military appears to be struggling in Ukraine - and what Russian President Vladimir Putin's next moves could be.news.sky.com
Nipe sababu Moja kwa nini?Haya maswali waga wanaulizana watu wanaoshonda kwenye vijiwe vya kahawa ama kwenye vijiwe vya draft na sio maswali ya kuulizwa na great tjinker kama wewe broo!!
Rules of engagement, haitakiwi kutumia raia kama mateka, Wacha watoke ili wachapane tumjue kidume nani?Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!
Hatari na nusu,underdog Ukraine siyo wa mchezo mchezo.Hivi yale maagizo ya Putin kwa Wanajeshi wa UKraine kabla ya vita bado yapo au ndiyo anatafuta exit point ki utu uzima kupitia vikao.Siku zote maguvu mengi bila busara ni bure tu,Kwa huu mfululizo wa vikao ni dhahiri Vita vimeshaisha hivi. Kama tayari kuna kikao kijacho kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Ukraine basi kila mmoja kashalainika hasa Russia.
Kwaiyo wewe ulitaka Ukraine asiwe na nguvu hili iweje ujue wewe ni great thinker acha kuargue kitoto bhana kwaiyo ni sahihi kwa urusi kuwa na nguvu kijeshi, USA kuwa na nguvu kijeshi na nchi nyingine lakini ni kosa kwa UKRAIN kuwa na nguvu kijeshi wmeti si ndio mantiki ya hoja na maswali yako nikkikuuliza ok sasa nani anatoa ivyo vibali kwamba nchi ni sawa kuwa na nguvu kijeshi na nchi hii si sawa kuwa na nguvu kijeshi ni nani anatoa icho kibali?Nipe sababu Moja kwa nini?
Maana Kuna mantiki kwenye kila swali nililouliza?
Tufahamu kuwa ujasusi una nguvu kubwa kabisa?
Na ndio Leo tunaiona nguvu yake Ukraine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bado hujaelewa logic ya Hilo swali, wengine watakusaidia ila nakubali uchambuzi wako.Kwaiyo wewe ulitaka Ukraine asiwe na nguvu hili iweje ujue wewe ni great thinker acha kuargue kitoto bhana kwaiyo ni sahihi kwa urusi kuwa na nguvu kijeshi, USA kuwa na nguvu kijeshi na nchi nyingine lakini ni kosa kwa UKRAIN kuwa na nguvu kijeshi wmeti si ndio mantiki ya hoja na maswali yako nikkikuuliza ok sasa nani anatoa ivyo vibali kwamba nchi ni sawa kuwa na nguvu kijeshi na nchi hii si sawa kuwa na nguvu kijeshi ni nani anatoa icho kibali?
Vile vitoto vinavyoshikwa mateka vingine sidhani hata vina 20 yrs,Nimeshikwa na huruma sana kuna kimoja kidogo,Wazazi wake kama wana access ya kumuona mtoto wao akiwa mateka wanaweza kufa kwa kihoro😞Russia’s defence ministry has acknowledged that some conscripts have participated in the war in Ukraine days after President Vladimir Putin denied that was the case.
The ministry said that some of the conscripts had been taken prisoner by Ukrainian forces. But it claimed that “practically all” such individuals deployed to neighbouring Ukraine had now been pulled back to Russia.
Mkiambiwa Russia Hana jeshi zuri kama anazosema, hamuamini
Sasa unapelekaje mtu vitani hata miezi 6 jeshini hana.
Putin ameua sana vijana wa Russia
Kwani wanajeshi wa RUSSIA wao ni raia wa nchi gani yaani wao uraia wao ni wa nchi gani mzeeRules of engagement, haitakiwi kutumia raia kama mateka, Wacha watoke ili wachapane tumjue kidume nani?
Hamna logic yoyote apo mzee wa kisiju bali ni hoja za kitoto sNa zisizo na mantiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bado hujaelewa logic ya Hilo swali, wengine watakusaidia ila nakubali uchambuzi wako.
Frustration pelekeni chakula kwa askari wenu,aibu gani hii sasa 😂View attachment 2144767
Askari wa Russia wakiiba Kuku 😂😂😂😂
Hawa mwezi wa nne wataanza kufa kwa njaae
Ukiwa na nyuklia Basi umemaliza kazi ?Mfano mbaya. Idi Amini hakuwa na mabomu ya nyuklia, Putin anayo. Mwenye bomu la nyuklia hawezi kushindwa vita.