Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ebu lete iyo taarifa kutoka NATO inayosema kuwa kama Warusi watashambulia Ukraine kwa Nuclear basi nao wataishambulia Urusi kwa Nuclear.

Nipo nasubiri iyo taarifa
 
"Tumji" ni kama Nairobi 😅😅😅
 
Pia tunaomba iyo taarifa kutoka kwa Boris kuwa UK watasogeza Nuclear karibu na mataifa ya URUSI.

Nipo nasubiri iyo taarifa
 
Kwetu pia zipo lakini hazitumiki vitani hizo.
Kwa africa mashariki nijuavyo polisi wanatakiwa kutumia silaha zenye risasi ya kipenyo cha 7.62 mm kushuka chini.
Asa hizo G3 risasi zake sikumbuki kipenyo ngapi lakini zimezidi hapo
Nafikiri ni sawa ila ujazo wa baruti ni mwingi zaidi
 
Ona taarifa juu ya changamoto kwa Warusi wakichukua vifaru vya kale kutoka sehemu za kuegesha (maana vile 10,000 vinayosemekana walikuwa navyo vilikaa miaka mingi kwenye maegesho; ambako vingi vilianza kuoza tayari). NA sasa kuna dalili za uhaba wa vipuli hasa kwa ajili ya 2sights" yaani vifaa vinavyoruhusu kuona wakati wa usiku na kulenga mzinga kwa umakini . . . maana Warusi hawana vifaa vya kwao wanakopi kifaa kutoka Ufaransa.
 
Kwetu pia zipo lakini hazitumiki vitani hizo.
Kwa africa mashariki nijuavyo polisi wanatakiwa kutumia silaha zenye risasi ya kipenyo cha 7.62 mm kushuka chini.
Asa hizo G3 risasi zake sikumbuki kipenyo ngapi lakini zimezidi ha

Why Kenya Police Prefer Using the G3 Rifle​


It has been decades since the Kenya Police service adopted the use of the famous heckler and Koch G3 rifle which was first made in 1957 and has been in service globally since 1959. The security organ has also not shown any signs of using a different weapon.
Most police forces around the world Kenya included have a number of key reasons for the use of the 7.62 by 51 mm NATO rifle.
One of the reasons why it it is preferred is because of its light weight which makes the gun easily portable as compared to other models. It weighs between 4.1 kg and 4.7 kg with a length of 102.5 cm.

It is also a very effective weapon during times of assault in war environment since it has a remarkable firing range of 500 m. With sight adjustments, its range can vary between 100 and 500 m.
In terms of firing rate, the G3 gun is just amazing as it can fire between 500 and 600 rounds per minute which is quite impressive although it is dependent on the accuracy of the user.


The rifle also has a unique trigger mechanism with a 3-position fire selector switch which also serves as the manual safety toggle that secures the weapon from accidentally discharging.

The gun has its origin in Germany (formerly West Germany) where it was developed in the 1950s by a German domiciled armament manufacturer named heckler and Koch in collaboration with a Spanish state-owned design and development agency CETME.
 
Ili tukio kuna nchi itabeba lawama za mtu uruzii irani hacheki na kima kama akijua tukio limetoka sehemu ambayo ni nje ya nchi yake ngoja tuone yajayo

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli walishapiga hesabu siku nyingi hao NATO.
Lakini ukumbuke sio Kila ukipiga hesabu unapatia,Kuna kukosea mahesabu na mambo yakaenda shagalabagala.
Wenyewe ikiwa hivyo huita miscalculated.
Nadhani Sasa hivi hii inawatokea NATO.
Maana wameweka vikwazo weeee,vinawaumiza wao.
Wamepeleka silha weee Zina chomwa TU na majmbo yanazidi kuchukuliwa.

Wao ndio wamekua wa kwanza kulalamika kua silaha zimepungua kwenye maghala Yao.
Silaha zilizobakia ni chache mno kulinda mataifa Yao.
Viwanda vyao ndivyo vilovyofungwa,
Wafanyakazi wao ndiowaliopoteza ajira,
Mafuta yamepanda bei kwako,

Gesi imeadimika kwao,
Wao ndio wanaookota Kuni badala ya gesi.
Mambo ni mengi yamewaendwa kombo.

Miscalliculation hiyo.
 
Sasa hawa vibaraka wanaomshabikia Zele hawaelewi wana vichwa vigumu sana kuona reality.
 
Anhaa kumbe nayo ni 7.62 mm ila kwenye light weight ni uongo hizi website sometime wanaandika tu ila kiuhalisia mtu yeyote anayezijua silaha atakwambia ni bora AK kuliko G3 hizo ni nzito sana japo kuwa pia faida yake ni kuwa haiyumbi sana.

Ak zinayumba lakini ni nyepesi hata kubebeka kuliko G3. Halafu G3 inabeba risasi chache kuliko AK.. Kingne kwenye kufungua G3 ipo complicated sana.

Kingne ukipata nafasi ya kuishika angalia sight yake ilivyo yenyewe ina vitobo tofauti na hizi za nyingine asa mvua ikiwa inanyesha utaoanishaje pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…