mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Mkuu, hisabati tena??? Jeshi la Ujerumani lilikuwa na akari zaidi ya milioni 9 kwenye mwaka 1943. Takriban lakhi 4 walikufa Stalingrad.
Ushauri: acha habari za asilimia![/QUOTE
Du! kwa iyo milioni 9 wote walikufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wewe kweli hatari.
Tuambie ndani ya ardhi ya Urusi walikufa wangapi?
Wanajeshi zaidi ya milioni 3 wa ujerumani walichukuliwa kama mateka na majeshi ya Urusi.kwa iyo kwenye 9 imebaki 6. Sasa chukua battle zote zilizopigwa Urusi, alafu chukua na battle zilizopigwa ujerumani na warusi walipokuwa wanaenda kuchukua mji mkuu berlin.Mkuu, hisabati tena??? Jeshi la Ujerumani lilikuwa na akari zaidi ya milioni 9 kwenye mwaka 1943. Takriban lakhi 4 walikufa Stalingrad.
Ushauri: acha habari za asilimia!
Inavuja kama Kila mahala kama tenga...Naona kila leo maeneo yanakombolewe inaonesha difens ya UKRAINE inavuja kweli kweli kwasasa
Pengine vifaru vinaweza leta upinzani ngoja tuone vikifika
Ila sijui SMO itadumu muda gani ila kama mnategemea RUSSIA kuondoka kwenye maeneo ya UKRAINE kwakushindwa poleni sanaa
UKRAINE mkizembea NATO inapotea ile jamani oohoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza uzalendo mahaba, sasa ulitegemea asemaje? Amesema kama Urusi itavamia nchi mwanachama wa NATO wapo tayari kuingia kwenye vita.Eti NATO wapo tayari kwa vita na Russia sijui huyu Mgambo amekula maharage ya wapi NATO wanatolewa na kinyesi na Wagner Group ijekua Red Army
NATO Ready for War with Russia - NATO Military Official
If [emoji635] invades a NATO member state, Chair of the NATO Military Committee Rob Bauer said they're ready to fight.
Mkuu unaona tayari wengine wanaanza kuchoka majadiliano marefu ya kihistoria ambako wewe ulianza na data zisizo sahihi; na sasa unataka kuendelea na data zisizo kamili; basi wafungwa wa vita Wajerumani walikuwa takriban milioni 3 Urusi, milioni 3 Uingereza, milioni 3 Marekani.Wanajeshi zaidi ya milioni 3 wa ujerumani walichukuliwa kama mateka na majeshi ya Urusi.kwa iyo kwenye 9 imebaki 6. Sasa chukua battle zote zilizopigwa Urusi, alafu chukua na battle zilizopigwa ujerumani na warusi walipokuwa wanaenda kuchukua mji mkuu berlin.
Alafu tupe majibu
Israel haina tatizo na Iran kuwa na silaha maelfu kwa maelfu ilimradi zisiwe nukes. Israel inakataa shipments za Iranian weapons kwenda kwa magaidi na ndio inazipiga hasa zikienda Syria maana zikitoka hapo zinaingia Lebanon na Palestina.Hapana sijasema kama wamejishambulia wenyewe MKUU nisome vyema
Pia hio picha yako na kilichotokea IRAN nivitu vieili tofauti
Kushambuliwa wanazodai eti kambi za IRAN na ISRAEL katika nchi ya tatu kama kwenye picha yako hio kawaida kwa pande zote
Ila shambulio kama hilo kuliona direct ndani ya ISRAEL ama IRAN usahau ama ikitokea basi DUNIA nzima itajua
Nasema kama hilo shambulizi halijatokea nje ya IRAN pia wafanyaji wamekosea sana maana hakuna walichokipata cha maana zaidi ya kuharibu majengo labda kama ndio yalikua malengo yao hapo wamefanikiwa kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sikuelewi unachokisema zaidi uweleweki unasimamia wapi.mpaka warusi kuchukua mji mkuu (berlin) walipigana battle sio chini ya tatu(Battle for seelow height, battle for halbe na battle foe berlin)Mkuu unaona tayari wengiue wanaanza kuchoka majadiliano marefu ya kihistoria ambako wewe ulinaza na data zisizo sahihi; na sasa unataka kuendelea na data zisizo kamili; basi wafungwa wa vita Wajerumani walikuwa takriban milioni 3 Urusi, milioni 3 Uingereza, milioni 3 Marekani.
Warusi walifika Berlin kutokana na mpangilio waliowahi kufanya pamoja na Marekani na Uingereza ambako walipatana kugawa Ujerumani baada ya ushindi. Kulikuwa na mapatano ya London ya Septemba 1944 (wakati ule jeshi la Urusi lilikuwa bado nje ya Ujerumani) lililothibitishwa mwezi wa Februari 1945 kwenye mkutano wa Yalta ( Krimea).
Ona ramani iliyokubaliwa huko London 1944. Sijui unataka kuonyesha nini??
Sina.Mkuu ukiwa na habari ya kifaa cha kirusi kwa madhumuni hayo, tafadhali lete jina la kifaa na kampuni ilyokibuni na kutengeneza!
Hii vita itaisha na mapinduzi makubwa ya namna ambavyo dunia itakuwa inaendeshwa.Naona kila leo maeneo yanakombolewe inaonesha difens ya UKRAINE inavuja kweli kweli kwasasa
Pengine vifaru vinaweza leta upinzani ngoja tuone vikifika
Ila sijui SMO itadumu muda gani ila kama mnategemea RUSSIA kuondoka kwenye maeneo ya UKRAINE kwakushindwa poleni sanaa
UKRAINE mkizembea NATO inapotea ile jamani oohoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Walisema vilianzia Crimea vitaishia Crimea ila naona majimbo yote wameyakimbia. Wacha terminator iingie kazini ili tuendelee kufurahia show ya jinsi 🐆 zinavyowashwa moto.Lasmi kwa sasa vikosi vya Ukraine kwenye jimbo la Luhansk awamiliki hata kijiji kimoja.Luhansk imerudi kuwa free.
Wale jamaa zangu kina Kipanya44 walikuwa na operation yao ya kufika Kremina, sijui wamekwama wapi maana siwapati ewani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2499697
Mkuu unaendelea kusisitiza habari za historia ambazo umesikia nusunusu tu au hujaelewa. Unaangalia takwimu kidogo unazochota wikipedia upande wa mapigano na Urusi lakini huna picha ya vita hiyo kwa ujumla. Naona basi tuache maana wengine wamechoka tayari . . .Hata sikuelewi unachokisema zaidi uweleweki unasimamia wapi.mpaka warusi kuchukua mji mkuu (berlin) walipigana battle sio chini ya tatu(Battle for seelow height, battle for halbe na battle foe berlin)
Battle zote izo zimeondoka na wajerumani sio chini ya wanajeshi laki 3.
Rudi sasa kwenye battle zilizopiganwa Urusi.inasemekana Urusi pekee wajerumani sio chini ya milioni 4 walienda kuzimu.na wengine zaidi ya milioni awajulikani mpaka leo walipo.
Hakuna mchambuzi anayekataa kuwa jeshi la ujerumani liliteketezwa na Warusi
Mkuu, bado unaendelea na habari ambazo umetafuno kidogo na kumeza bado?? Basi mwisho wa vita askari wote Wajerumani waliambiwa wajisalimishe katika maeneo walipokaa. Kufuatana na mapatano ya 1944 Urusi ilivamia sehemu za mashariki (pamoja na Berlin), Waingereza na Wamarekani sehemu nyingine, Hivyo wafungwa Wajerumani walikuwa milioni 3 Marekani, milioni 3 Waingereza, milioni 3 Warusi.Wanajeshi zaidi ya milioni 3 wa ujerumani walichukuliwa kama mateka na majeshi ya Urusi.kwa iyo kwenye 9 imebaki 6. Sasa chukua battle zote zilizopigwa Urusi, alafu chukua na battle zilizopigwa ujerumani na warusi walipokuwa wanaenda kuchukua mji mkuu berlin.
Alafu tupe majibu
Nani alimsaidia Gadafi kujitetea?? Ni nani ataisadia DRC kujitetea yaani reasoning nyingine hovyo sana...kujitetea au kuuza silaha??Mkuu nikielewa vema MArekani inasaidia Ukaine kujitetea. Je unaona hii ni kosa?
Au nilisahau kama Ukraine ilishambiulia Urusi?
Unaonaje kama Urusi inasema Samahani, tulikosa kuanzisha vita, tunajiondoa na polepole tutalipa mchango kwa uharibifu tuliosababisha?
Mkuu, Gaddhafi alianza kuua raia wake hovyo (waliochoka naye) hadi Baraza la Usalama la UM (UN Security Council) liliamua kuweka vizuizi vya kijeshi juu ya serikali yake - kwa kibali cha Urusi na China maana unavyojua hakuna maazimio ya Baraza la Usalama kama mmoja kati ya Urusi, Marekani, China, uingereza na Ufaransa anapiga veto. Alipuuza azimio hili, hivyo jeshi lake lilipigwa, na hatimaye raia walimwua.Nani alimsaidia Gadafi kujitetea?? Ni nani ataisadia DRC kujitetea yaani reasoning nyingine hovyo sana...kujitetea au kuuza silaha??
Anaye ogopwa na NATO yenye mataifa zaidi ya 30.