Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Mkuu kumbuka hata Putin mwenyewe amekiri siku chache zilizopita kwamba maeneo waliyojinyakulia huko Ukraine wanapitia Hali ngumu.., hivyo Sion kipya kwenye hayo matamshi ya rais zelensiky..,mbali na Hilo,hiyo inaweza kuwa lugha ya kuwashawishi west wafanye haraka kutuma silaha huko Ukraine,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa vitu vinashuka Kama mvua ya mawe.
 
Akili zao matope ndio hoja zao hizo wakati nyumbani mwao labda kina babazao huko wanachezea mifagio ya mimb. ..oo
 
Labda kama una jahannam yako MKUU ila jahannam ya Mungu hatutaenda

Wapenda amani tunasimama na RUSSIA mpaka kieleweke kama alivyosimama shujaa wetu Nemes Tarimo

RUSSIA hajawahi kuua mtu asiokua na hatia huko UKRAINE nakama aliua basi ni colateral damage hua inatokea kwenye ukombozi

Wapenda haki amani na usawa wa DUNIA tutaendelea kusimama na RUSSIA hatakama mtachukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…