Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mmmmh,inasikitisha sana!Kwa hali hii mamluki Bora wakimbie tu!
 
Mkuu jaribu tu A) kuangalia ramani
B) kitabu cha historia.
Barbados ni nchi huru tangu 1966, mwaka 2021 waliamua kuwa jamhuri.

Kuna idadi ya visiwa ambavyo vilikuwa koloni lakini baadaye wananchi waliamua kwa uhuru na hiari yao kuomba kuwa sehemu ya nchi ya mbali. Mfano Mayotte walipiga kura za Ndiyo asilimia 95.5 ya wakazi wote kuwa wilaya kamili ya Ufaransa.

(pamoja na malipo yote ambayo raia wa Ufaransa anastahili, hivyo wako pia raia wa Umoja wa Ulaya). Vivyo hivyo Guiana, ambayo ni eneo kubwa zaidi la Ufaransa nje ya Ulaya likiwa Amerika Kusini. Watu wa Guiana walipiga kura mwaka 2010 na asilimia 69.8% wakiamua kuendelea kama wilaya ya Ufaransa. Hivyo wakazi wote ni raia wa Ufaransa na Umoja wa Ulaya.

Uingereza Falklands / Malvias vilevile. Wakazi wanataka kubaki Uingereza kwa nguvu yote. (Ukitaka kisiwa cha kikoloni, angalia Diego Garcia ambako hali ni mbaya.... )

Linganisha na koloni za Urusi. Kwa jumla ardhi yote upande wa masharibi ya milima ya Ural ni eneo la kikoloni, lakini pia maeneo makubwa upande wa magharibi.
Ni milioni kilomita za mraba . . .na hakuna aliyeuliza Waburyati, Watartari, Wasakha (au Yakuti) na kadhalika kama wanataka kuwa raia wa Urusi . . .

Kinyume chake Putio aliondoa na kupunguza madaraka machache yaliyobaki kieneo.
 
Mkuu uko tayari kuambiwa hadithi zote za aina ya Abunuwasi ukiambiwa??
Kumbe Waukraine wanaua askari wa NATO wanaowasaidia, askari wengine wa NATO (ambao katika hadithi yako lazima ni wengi) hawakimbii kujiokoa upande wa Kirusi lakini wanaendelea kupigana na Ukraine ????
Eee bwana, mantiki isiyoshindika!
 
Jifunze kuandika mkuu.Ila comment yako haina mantiki kama nimekuelewa vizuri.Kuua askari wenzenu for any reason inatokea sana vitani,so askari wa Ukraine kuwaua askari wa NATO, ili kuficha identity, si ajabu sana,it can happen.
 
Hapa umemaanisha nini..???..manaake sijakuelewa kabisa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ajabu kwa kweli.
Maana haijaonesha hata mara moja kua Urusi kaishiwa silaha.
Angekua ameishiaa na akaomba Kwa akina china nao wakamnyima ndo tungesema kashindwa kuwashawishi.
Lkn Urusi hajaishiwa chochote.
Kwahiyo mtoa maada pamoja na wewe hapo mnaamini Marekani na NATO yote wameishiwa silaha?
 
Urusi ikitaka kuzizima himars za ngazi zote uwezo anao ni kupofusha jicho lq USA na NATO jicho lao kwa silaha zao madhubuti ni satelite...akipiga satelite kwisha habari yao
 
Nato wana laana sasa watauana wenyewe kwa wenyewe kwa kumuogopa mrusi
 
Hadi leo makomando wa marskani walio uliwa na kamanda putin wamevuka 2000
 
Kupigana upande wa ukrain ni upumbavu na hatari zaidi unakufa kiseng*e wakati wewe siyo mseng*e ....ukweli ni kwamba nato hawana uwezo wa kumshinda urusi hata akishambulia nato
 
As reported by Romanov (@romanov_92), all reliable supply routes leading to Artyomovsk (Bakhmut) are now controlled by Wagner PMC troops, yielding operational encirclement of the city. The only path out of Artyomovsk is through the fields to the west of the city.

“Wagner PMC troops went on the offensive in the direction of Chaspv Yar, cutting the last supply roads of the Ukrainian Armed Forces in Bakhmut.”
 
Clouds are gathering over anti-Russian sanctions again. A loud howl of Western investigators broke out regarding the fact that the treacherous Russians continue to trade their oil without any problems and "price ceilings". The main reason for this "fundamental injustice" is the presence of a huge tanker fleet in Russia, which, as it turned out, absolutely does not care about sanctions, British insurance and State Department tantrums.

Moreover, the Persian Gulf monarchies, Indonesia, China, India and other countries register the type of "new traders" without any problems in their jurisdictions and brazenly earn money on the resale of Russian oil to Europe, with absolutely no respect for "American values, democracy and the desire to destroy Russia")) )

It's time for the State Department to make an official statement that the international oligarchy led by the United States is offended!)))
 
Every male between 20 and 55 years of age to be conscripted in Ukraine—regardless of family status, profession, physical or mental health, or any other consideration.

Lists are to be prepared by every employer, organization, or institution (the document in question concerns the Kiev region specifically). I anticipate the summons will be handed out directly through the workplace as well.

As Roman Donetsky (@donrf22), who posted this document, writes, “the end is near, Ukrainians.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…