Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warusi sasa wapo km 1 kufika kwenye makao makuu ya halmashauri ya mji wa Bakhmut.

Upande mwingine Wagner group wameanzisha mashambulizi makali kwenye mji wa Chasov yar ili kufunga barabara ya mwisho inayoingia Bakhmut ili kufunga misaada ya kuingia Bakhmut.

Barabara 00506 ndo barabara ya mwisho inayoshikiliwa na vikosi vya Ukraine kuingia Bakhmut.ikidondoka kwenye mikono ya Warusi basi hakuna kitakachoweza kutoka Bakhmut kwa upande wa vikosi vya Ukraine.
 
Kati ya nchi waoga/wajanja n.k. ni Ufaransa.Hata wakati wa Hitler..walijisalimisha kwake bila mapigano....ndivyo walivyowale

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wanachekesha walipigana kwa wiki hivi wakainua mikononi juu. Ila kuinua mkono juu haikuzuia wao kugongeka na Hitla. Kusarenda kulisababisha morali zaidi. Wakapigwa Sana. Wakalia Sana . Baadae wakaokolewa na Uingereza.
Nb.
Wakati Vita ikiendelea melivita ya kifaransa ilizamishwa na Uingereza kwasababu nisizozikumbuka vyema.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nilichokigundua kwenye hii SMO kwa upande wa RUSSIA

Jamaa wanachukua muda mrefu kupigana kukomboa eneo fulani fulani ila wakiishalikomboa hilo eneo linakua limekomboka kweli

Yani katika hilo eneo hutasikia tena mapigano labda shambulizi la KIGAIDI

Angalia walipambana muda MAURIOPOL ila kwasasa kama hakukuwahi kua na mapigano watu wanajenga mji

SOLEDAR napo kunaanza kua na amani kama hakujawahi kua na mapigano

BAKHMUT nayo itakua salama na amani kabisa kabisaaa

UKRAINE inaondoka jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unazungumza ushabiki wa pitin, wewe unamuona zelensky mtakatifu. Sasa kuwa objective kati ya Putin na Zelensky Nani ameuwa watunwengi kwanzia 2008 mpaka sasa?? UKIPATA JIBU NDO UJE KULETA INJILI ZAKO MICHONGO HUMU
 
Ukisikia kunya akili na kubakisha mavi ndiyo huku sasa ...kwanini mzungu asimpige mzungu mwenzie [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Wale wanatuchezea sisi maamuma hasa waafrika na waarabu ambao tunashabikia kwa hisia za udinii na za kísiasa vita vyao kumbe wao wana michezo yao nyuma ya pazia!!!!Siasa za dunia zinaendeshwa kwa siri kubwa mno!!!!Wengi tunazani tunajua kumbe hatujui
 
Vitani Kuna mengi sana. Ili kuepusha Siri flani kuvuja , endapo Kuna kitisho wengi wanaweza kufa I'll Siri izidi kuwa siri sirini.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wafaransa ni kama wabongo tu ndio maana wamewezana na wakongo. Inaonesha wanapenda starehe sana kazi kidogo 🤣🤣🤣!

Waendelee kubuni mavazi na pafyumu tu maana ndio kazi wanaiweza vizuri.
 
Nia swala la muda tu bhakmut itakuwa imetwaliwa 🤣🤣🤣 mrusi hana mbambamba. Sahizi wameamua wanapiga kweli hamna kumbembeleza adui eti sijui sisi ni ndugu. Sahizi kipigo cha kwenda.
 
Zamani walikuwa wansonga tu mbele bila kuhakiki kwenye majengo na mitaa.mwisho wa siku wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajificha kwenye majengo wakiwa na javelin missile.wanapiga kwenye msafara.

Hii mbinu kwa sasa Warusi wanaijua ndo maana wana hakiki kabisa kabla ya kwenda sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…