Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio sita mkuu. Zaidi ya 10.
Fuatilia tena

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Himars zilizo kwenda ukrain ni zaidi ya 200 ila wamedanganya kwa sababu kuu 2 ya kwanza ni ili kulivunja nguvu jeshi la mrusi kisaikolojia ya pili ni sababu za kibiashara..nchi nyingi zikisikia himars 8 tu zimefanya kazi wataona hizo silaha ni muhimu na zenye ufanisi mkubwa na kuzinunua kwa wingi .....

Ila walicho kosea ni kusema Urusi ajazilipua hata moja maana kwa wakati ule mrusi ana rudi nyuma ilikuwa sawa kusema hivyo kungezipa soko hizo silaha, ila kwa sasa mrusi anasonga mbele tena kwa kuangamiza vibaya jeshi la nato na ukrain sasa wateja wa hizo silaha wana tia shaka uwezo wake ...wanashangaa vipi mrusi ajaweza kuzichoma moto hizo silaha hata moja ila anasonga mbele katikati ya himars
 
Kama Urusi alirudishwa nyuma na Himars kwa nini wasiongeze himars?.vifaru vya nini sasa wakati kilichomrudisha kinajulikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
PUT IN kamatia hapo hapo

PUT IN ndio mkombozi wa DUNIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkombozi wa dunia tena!!!Mimi nilijua mkombozi wa dunia ni crown prince wa saudia Mohammed bin sulyeman🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Hapo nimewafurahisha akina flani🀣🀣🀣!!!;
 
Kuna muda tuliambiwa kuchimba mitaro kama difens line ni mambo ya kizamani

Ila haya majambo ya SMO haya buana hehehee...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile sio mitaro huitwa mahandaki. Duniani kote majeshi yote hufundishwa namna ya kuchimba na kupigana kwenye mahandaki. But kuchimba mahandaki sio kwa mashine nzito. Kuchimba handaki Ni kazi ngumu. Handaki huchimbwa kws chepe majembe na mashine nyingine Tata.

Kwa mawazo yangu. Hata hivyo kwa majeshi ya NATO Vita ya kuchimba mahandaki bila shaka Ni kazi nzito .wao wamezoea Vita laini dhidi ya adui laini

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nikweli ndiyo maana urussi ili rudi nyuma kwa haraka baada ya kugundua kuna mikono michafu ya nato kwenye hiyo vita maana majeshi yake yalikuwa yamesha ingia ndani kabisa ya nchi bila ya kuteketeza jeshi la ukrain hivyo walikuwa wanaviziwa tu mitaani ..ila kwa sasa mrusi hana hata haja ya kusonga mbele maana waukrain wanajileta wenyewe kwenye vichinjio ...

Hivyo mrussi kagundua kuwa hata bila ya kusonga mbele anaweza kumaliza nguvu ya jeshi la nato na ukrain katika mkoa mmoja tu maana wanajileta wenyewe
 
Nakubali mzee wa ramani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wafaransa ni kama wabongo tu ndio maana wamewezana na wakongo. Inaonesha wanapenda starehe sana kazi kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Waendelee kubuni mavazi na pafyumu tu maana ndio kazi wanaiweza vizuri.
Unatania mkuu?
Pamoja na yote hayo Ufaransa Bado Ni giant Wa Ulaya na Dunia.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti ya andaki na mitaro warussi wanachimba yote maandaki na mitaro pia kuna faida tofauti ya kuwa na mtaro na handaki ...mtaro ni bora sana maana unaweza kumkwepa adui hata baada ya kuku spot ulipo tofauti na andaki ...pia mtaro unaweza kuzuia kusonga mbele kwa adui kutokana na baadhi ya magari vita kushindwa kupita kwa wepesi.

Ila kuna maandaki yenye mitaro inayo mwezesha askari kubadili positioni au kutoroka
 
Sawa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sahizi mrusi anatega chambo tu 🀣 wakikatisha anafyeka...Anatembea pembezoni haingii katikati.
 
Urusi ikitaka kuzizima himars za ngazi zote uwezo anao ni kupofusha jicho lq USA na NATO jicho lao kwa silaha zao madhubuti ni satelite...akipiga satelite kwisha habari yao
Mkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS...

Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…