Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mimi sijasema zilichukuliwa Toka baharini!Nimekwambia plan ni kuja kuweza kuzitumia hizo boosters Kwa safari nyingine maana ni massive na expensive!Ndio Wakaja na plan ya kuzifunga parachute,Ili wakati wa separation zikiwa zinarudi Kwa ardhini (free fall),parachute ifunguke na baada ya hapo helcopter iweze kuidaka kabla haijatua kwenye maji na kuipeleka nchi kavu tayari Kwa kurudishwq lab for maintenance!

Hilo ndio jambo ambalo linafanyiwa kazi Ili kufanya usafiri wa space kuwa nafuu zaidi! Hiyo ndiyo project ambayo nimekwambia space x wanaifanyia kazi! Kabla ya hapo,hizo boosters zilikuwa waste tu kama vyuma chakavu!
Usipoelewa hapa, basi!
 
Daaah kweli we jamaa uko unawaza kivyako!Inamaana hujaona video niliyokuwekea ya majaribio ya space x ya kudaka hizo boosters Ili zije kuwa reused???Aisee
Huu ndo ule ubishi wakijinga yani hata kugoogle tu neno SpaceX boosters for resuse awezi. Ila mambo ya utopolo anawza hahaha mpotezee tu huyu is not worthy informing
 
Russia Sidesteps Western Punishments, With Help From Friends https://www.nytimes.com/2023/01/31/...nctions-trade-china-turkey.html?smid=wa-share

Hao hapo New York times...wameongea kwa kirefu zaidi..

Uache ubishi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nikikumbukaga yule jamaa ambaye alikua anaichambua Russia kwamba inatumia chip za kwenye micro-wave na washing mashine mpaka leo sina imani naye tena. Russia anawavua watu nguo kila siku.
Hahahahahahahahaha yule ni mchambuzi wa silaha anaeshinda Wikipedia kutafuta taarifa
Yeah papa kaupitisha ushoga kwa kumuiga mtume muhamad ambae katika aya na adithi za maswaiba wake alikua anasifia kunyonya na kubusu ndimi za wanaume wenzie akisema ni sunna ya kwenda akhera!!!!Papa anakamilisha tu muendelezo wa wahenga mkuu!!
Weee umekuja na upuuzi wako kuja kuharibu huu uzii, uzi unahusu vita ya Urusi na Ukraine... Huu upuuzi wako humu sio mahala pake....
 
Himars ilikuwa mwisho KM 90, hii sasa inaenda hadi 150

Watu wajiandae haswaa
 
Warusi wa mkuranga mjiandae kisaikolojia,hii package mpya inayotoa makombora yanayoweza kwenda mpaka km150 ni mwimba kwenu!hapo ni mwendo kuwapiga behind enemy lines..kuwawahi kabla hawajafika mstari wa mbele.
Mnataka Ikulu ya Kiev isambae au sio?? Kuna vitu Ukraine hawawezi jaribu ndo maana hata Western wanakuwa makini na silaha wanazotoa.Kuna vitu Ukraine akisaidiwa kufanya matokeo yake itakua vilio na kusaga meno au kusababisha nchi nyingine zikaguswa pia.....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mfano wako tofauti kabisa.
F 35 za Israel zimefanyiwa modernization kwenye avionics nk but ni American made wakati j7 Ni version ya mig 21 inayotengenezwa na mchina.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata kama zimefanyiwa modification zinaitwaje.si bado ni ndege kutoka lockheed martin[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hizi package zinatangazwa kwa mbwembwe sana, kuna hii ilitangazwa mapema January hivi ilishaenda?

Nilikua nasubiri nione Bradley fighting vehicles kwenye battlefield ambamo ilikuwepo kwenye package hii ila sijasikia taarifa zake
 
Vitaje hivyo vitu.
 
Hapa ni kwamba ukraine anazidi kuwa na uwezo wa kupiga deep behind enemy line,targert zitakuwa ni maghala ya silaha,au kambi za adui mbali kabisa na uwanja wa mapambano
 
Hapa ni kwamba ukraine anazidi kuwa na uwezo wa kupiga deep behind enemy line,targert zitakuwa ni maghala ya silaha,au kambi za adui mbali kabisa na uwanja wa mapambano
Hii itasaidia Sana kuharibu 'logistics' supplies za Supa-pawa hivyo kumkwamisha pakubwa mvamizi.
 
Himars ilikuwa mwisho KM 90, hii sasa inaenda hadi 150

Watu wajiandae haswaa
Mmeanza tena Himars.... Leopards na Abrams vipi tena .... Mnachagua na kufisia silaha kama maparachichi sokoni..... Mara game changer chaliii, mara ngoja zifike Leopards 2 mara Abrams kushtula zitafika April March huko mnakimbilia tena HIZIII SASAA BAAABAAA zinapiga 150km .... Tunataka muwape za kupiga mpaka Moscow kabisa.... mbona wao wanapiga mpaka Lyviv ..wapeni silaha na wanajeshi kabisa mbungi ipigwe..... Mtachagua sana mwaka huu ....kipigo kipo palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…