jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Hao mbwa walizoea kuja kulinda Aman afrika ili wabake dada zetu tunaenda kulinda kwao Sasa tunaenda kula Bata kuku hao[emoji12]Joe Biden hatakuja kusahau na mwakani uchaguzi yaani hajafanya lolote yaani Ni wa Moto na Ukraine tayari ishakuwa nabitaendelea kuwa Kama Sudan,Kongo jamhuri ya Kati na sehemu nyingine tujiandae kwenda kulinda amani Ukraine Hapo jirani tumechoka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Poa jipoze na soda braza mkuu
Nyie kutukanwa sio tabia nzuri ila nyie kutukana wenzenu ni ruksa.Itabidi tumlipoti maana hii sio tamaduni ya hili group kukashifu dini ya mwenzako.hii sio tabia nzuri kabisa tukikaa kimya itakuwa jambo la kawaida.afute iyo post yake au aombe radhi la sivyo inabidi tupeleke kwa uwongozi
Hao mbwa walizoea kuja kulinda Aman afrika ili wabake dada zetu tunaenda kulinda kwao Sasa tunaenda kula Bata kuku hao[emoji12]
Ndiyo...the main force or the regular army of RF has not entered the 'theatre' ...inawasubiri NATO....Russia Federation haijatumia zaidi ya asilimia 15 ya uwezo wake kijeshiHv unatak kusema majeshi kamili ya Russia hayajaingia Vitan ??
Teh teh 😂😂 naona umeamua kabisa kujitoa ufahamu....Sasa ile mobilisation ilikuwa na malengo gani wakati askari bado wapo ?...Ndiyo...the main force or the regular army of RF has not entered the 'theatre' ...inawasubiri NATO....Russia Federation haijatumia zaidi ya asilimia 15 ya uwezo wake kijeshi
Vipi bado unaiita Urusi dhaifu au inamuonea Ukraine?Nyie kutukanwa sio tabia nzuri ila nyie kutukana wenzenu ni ruksa.
Himars mbona siku hizi hatuzisikii tena, zimekwenda wapi?Himars ilikuwa mwisho KM 90, hii sasa inaenda hadi 150
Watu wajiandae haswaa
Kila silaha Ina dawa yake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Himars mbona siku hizi hatuzisikii tena, zimekwenda wapi?
Encirclement tayari imeshakubali...[emoji3544][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
[emoji635][emoji1255]According to Ukrainian sources, PMC Wagner/Russian forces advanced towards #Krasnoye/#Ivanivske.
[#Bakhmut/#Artemovsk encircelment] https://t.co/gkCIsZOaFYView attachment 2502336
Hakuna anayetisha mzee..ndo ukweli huo..hao Warusi wanategeshea sehemu ya kupata justification na support ya raia wao....na kupunguza kulalamikiwa na jamii za kimataifa..Usitishe watu. Hiyo package Ina hizo silaha za masafa marefu na pamoja na mifumo ya ulinzi wa anga Patriots na ile zana kiboko ya vifaru vya Russia......
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndiyo...the main force or the regular army of RF has not entered the 'theatre' ...inawasubiri NATO....Russia Federation haijatumia zaidi ya asilimia 15 ya uwezo wake kijeshi
aisee...kuna watu humu ndani ni either mnajitoa ufahamu au uwezo wenu wa kuchambua mambo ni wa kawaida sana..!!!...kwa hiyo mkuu wewe unadhani...mobilisition alioifaanya Rusia ni kwa sababu askari wake walikuwa wamekwisha...kwa kuuliwa na Ukraine..???Teh teh [emoji23][emoji23] naona umeamua kabisa kujitoa ufahamu....Sasa ile mobilisation ilikuwa na malengo gani wakati askari bado wapo ?...