Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hapo ni sawa mbwembwe za hotelini zile.

1.Cappuccino
2.Americano
3.Cafe-latte

Hahahahah kumbe zote kahawa tu tofauti ni kiwango cha uchungu 😀😀😀 na maziwa.
 
Urusi anapigana kushinda 🤣🤣🤣 na Marekani wanamjua jinsi ambavyo ana roho ya Kikurya ndio maana kuanzisha nae mziki wanaogopa.

Aidha afe yeye au ufe wewe ila kichapo hakisimamishwi.
 
Russia ajimegee tu hatuhitaji ardhi iliojaa mashoga wakiongozwa na Raisi shoga waeneze upuuzi wao duniani. Piga kenge wote wa Gaykrainia.
 
Teh teh 😂😂 naona umeamua kabisa kujitoa ufahamu....Sasa ile mobilisation ilikuwa na malengo gani wakati askari bado wapo ?...
Ndiyo maana yake....nyie ambao hamjawahi kusoma au kuichambua historia, culture na society ya Russia mtapata taabu Sana....Russia ni dude.
.Russia ni nchi kubwa na ya hatari..iko mbele kwa raslimali, teknolojia na ardhi...kufanya mobilization ni Jambo na ni namna gani unaitumia mobilization hiyo ni Jambo jingine...Russia ni dude bwana...nchi 50 zinapambana na dude Hilo lakini bado mambo magumu kwa nchi zote hizo...subiri uone mchezo unakuja...watu wataomba poo.
 
Ngoma itachezwa tu na saivi hawachukui hiyo mikoa mi4 saivi wanairudisha ukraine Urusi by hooks n crooks.
 
Mbaya zaidi ndio Rais ambaye anashuhudia mapinduzi ya dunia 😂😂😂😂 sjui sasa hii dunia niite DUARA au SAHANI..!!!🤔🤔

UKISHIBA SANA KUMBUKA KUNA KUNYA PIA..
 
Ndio,hakuna asiyejua hili kwamba askari wote hambao urusi alianza nao uvamizi walichinjwa wote,ndio maana akafanya mobilization [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo silaha labda mziingize ambako radar ya mrusi haioni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] zitakaangwa kwenye entry point hata kabla ya kufika eneo la kazi.
Silaha zote zinazoingizwa ukraine ni shabaha yake Halali huyo mrusi, lakini ni bahati mbaya sana huo uwezo Hana[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Teh teh 😂😂 naona umeamua kabisa kujitoa ufahamu....Sasa ile mobilisation ilikuwa na malengo gani wakati askari bado wapo ?...
Ndio ujue akili ya Putin huwezi kuielewa,mwisho wa Fikra zako ndio mwanzo wa Fikra zake!Ni kama maandiko,kila mtu anatafsiri anavyojua!
Mwisho wa siku mnabaki na maswali bila majibu kama hivi!
 
Urusi anapigana kushinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na Marekani wanamjua jinsi ambavyo ana roho ya Kikurya ndio maana kuanzisha nae mziki wanaogopa.

Aidha afe yeye au ufe wewe ila kichapo hakisimamishwi.
Sawa ngoja waendelee kuchinjwa.., maana nimesikia za ndani ndani kwamba idadi ya askari wa urusi wanaochinjwa ikifikia million 27,sawa na idadi iliyochinjwa kwenye vita ya pili ya dunia ,basi urusi atanyoosha mikono [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…