Boss hiyo Ni kwajili ya kupandisha morali tu. Kama Wakurdi kwa kutumia Atgm za kizamani Kama Konkurs waliweza kuisambaratisha Leopard 2 ya Kituruki it's kuwa kitisho dhidi ya taifa la Russia?Putin anazijua hizi na ndiyo maana kaaza kuhimiza mtu / watu ama makampuni yatakayojitolea kuharibu vifaa hivi vya kivita kabla ama baada ya kufika Ukraine atawazawadia.
Tena muache utoto, hizo story muwe mnasimuliana hukohuko vijiweni kwenu.Hivi unataarifa urusi hajapeleka mwanajeshi hata mmoja frontline, mnahangaaika na wanamgambo tu tena wasio na mafunzo, wamefundishwa short course ya shabaha ya bubduki tu kwa wiki2
Huko Ukraine wanakufa a Raia tu.Si mlisema kaishiwa silaha, ana chakula cha siku 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kuweni wapole maji mtaita mmaView attachment 2503201
ndugu vita haipigani hivyo utanavyofikiri weye, kuna some stage baadhi ya silaha huwezi kuzitumia - kama ingekuwa hivyo kwa nini asitumie MLRS yake kama usemavyo kusambaratisha kila kitu kiwe udongo - mwaka sasa vita imemshinda kuimaliza.Unaambiwa kombora kutoka mlrs yoyote linaweza kuisambaratisha kifaru chochote ulimwenguni kua vumbi ndo Iwe Russia yenye Mlrs mamia Frontline?
keep on dreaming...Safari ya kuelekea Bakhmut imeiva sasa ni suala la muda tu Bakhmut na Lyman itakuwa mikononi mwa Russia officially
Fierce fighting unabated in eastern Ukraine, deputy minister says
Russian troops are trying to gain ground near the strategic town of Lyman as fierce fighting continues in eastern Ukraine, Deputy Defence Minister Hanna Malyar says.
Malyar, writing on the Telegram messaging app, said that despite heavy losses, the Russians are also pressing ahead with an offensive near the towns of Bakhmut and Avdiivka.
Hiyo kawaida mkuu hata warusi hufanya hivyo huko kwao kwa mujibu was mkataba wa 1993Yaani hili Taifa Linajiona Ndio Kila kitu kwenye Hii Dunia Washenzi kweli!
[emoji3518][emoji3542][emoji631][emoji635]"United States calls on the Russian Federation to resume inspections of American specialists at its facilities under START III Treaty " - US State Department
Hiyo ndo hali halisi frontline hw can I keep dreaming while it's wht it'skeep on dreaming...
Kimombo same time ni kugumu kupata meaning ya maneno[emoji853][emoji853]Washington is ready for constructive work with Russia in order to fully implement the provisions of START—White House
Earlier, the United States claimed that Russia allegedly violated the terms of the treaty on the reduction and limitation of strategic offensive arms.
Pita pale kwa Mangi upate kitu roho inapenda, nakuja kulipaRussia ingekuwa nchi ya kidemokrasia isingeingia kwenye vita vya kipumbavu kama hivi lakini kwa kuwa wana utawala kama ule wa kina Mangungo hawana namna.
SIYO WAKATI WAKE HUU..Yaani hili Taifa Linajiona Ndio Kila kitu kwenye Hii Dunia Washenzi kweli!
☢️⚛️🇺🇸🇷🇺"United States calls on the Russian Federation to resume inspections of American specialists at its facilities under START III Treaty " - US State Department
Ahsante StudioTupate wadhamini
View attachment 2503107