Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Maana mimi naona wapambe wake mna mbwembwe sana kuliko uhalisia!!!!!Toka alipowauzia uganda mig za mchongo sina imani kabisa na urusi
- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Hizi kauli za rejareja hazibadili kitu!Aliyeishiwa ni Ukraine ambaye anakamata watu mtaani Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline wakapambane!Ukipiga mabomu mwisho wa siku lazima utataka kusonga mbele na hapo utahitaji kuwapeleka binadamu na ndio wanaliwa kweli kweli, Urusi wameishiwa mpaka wameokoteza mateja, na sasa hali mbaya maana vijana wengi wameikimbia nchi.
YesKwa hiyo ni halali taifa moja kupora ardhi ya taifa lingine kwa sababu za ulinzi sio ?.....
Nihalali kwa 100% MKUUKwa hiyo ni halali taifa moja kupora ardhi ya taifa lingine kwa sababu za ulinzi sio ?.....
Uganda Wana Su 30 .Ahsante kwa hoja ila mtoto wa kiume unapaka mafuta lips [emoji105] [emoji119][emoji119]
Hizi kauli za rejareja hazibadili kitu!Aliyeishiwa ni Ukraine ambaye anakamata watu mtaani Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline wakapambane!
Urusi Bado moto ni uleule!
Endeleeni na hizi porojo mwisho wa siku Ukraine ijayo itakuwa ya wanawake watupu!
Russia sio superpower.Hivi kweli urusi ni super power au story zenu za vijiweni?????Mbona mnaongea sana bila vitendo?????
Hiyo misaada mnapewa bure?? Mtoto wa kiume kupenda vya bure kunatia shaka sana. Africa kuja kuendelea tusahau kwa vision za vijana kama hawa “ brain washed”
It ain't necessary at all that is why we hire advocates, lawyers and law firms
- hiyo CPA ninayo, na Hadi CISA ni ninayo, nime escalate Hadi kwenye msc in finance
- Kwa hiyo ukiwa CPA ndiyo elementary Legal skills unakuwa huna kabisa?
- mzembe kabisa akili isha haribika Kwa kununua Malaya, mtafute Mshana Jr akupe Tiba.
- Mijadala ya humu huiweziIt ain't necessary at all that is why we hire advocates, lawyers and law firms
You brag with MSc in finance and CISA lol!😅
Once you become a certified CISSP atleast we can sit and talk together
Let's not spoil the purpose of the thread lets go jukwaa la elimu
Alie kwambia mrusi pale Ukrein ni mgeni ni nani?Urusi wanakufa wengi maana wako ugenini, hawajui vichochoro vya nchi ya watu...jiongeze
Ndicho kilimtesa Mmarekani pale Vietnam.
Usije kuta wale wanaoumia zaidi katika nchi hii wewe ni moja wapo ila mnabaki kucheza na akili za watu humu mitandaoni.Sema wewe,,,,,,huku tokea lini hatuumii.....,hakuna jipya blaza.......
Sisi hatushabikii Urusi, Urusi ana haki ya Kujilinda dhidi ya maadui zake..wewe unaweza kuhamia mtaa anaoishi Ex wa Mkeo?? wakiamua kukumbushia utafanyaje?? Urusi inatusaidia sote kukomesha uonevu mkubwa unaofanywa na hilo kundi la mashoga...
Mkuu, mbnona Munjombe alileta habari zianzojulikana? Unaonaje, ukitaka kupinga utafue mwenyewe habari unazotafuta?Ebu tuwekee source za information zako maana unakuwa kama unaleta story za kwenye kahawa hapa. No research,no right to speak! Have a big picture not just talking just because you have a tongue
No research,no right to speak!
Hahahaaaa, mobilization Ilikuwa hiari,watu walioondoka ni wale wenye roho nyepesi Tena wachache!Wanaokamatwa mtaani ni Warusi, tumeshuhudia humu namna hiyo mobilization imekusanya mateja, vijana wameikimbia nchi imebaki ukiwa, yote hii ni baada ya jshi rasmi kufyekwa mbaya sana.
Unajua Cuban missile crisis?Msiongee tu maneno ya rejareja!Mkuu naona ni vigumu kuelewa picha yako dunia unapata namna gani.
Mtu ana haki ya kujilinda kwa kuvunja nyumba ya jirani yake? Wapi`? Kwa haki gani?
Majadiliano hayo tunasoma barani Afrika ambako kila nchi ina mipaka iliyochorwa na wakoloni , mara nyingi bila kujali maslahi ya wenyeji ambao wanagawanyika na mipaka hiyo.
Waza tu kwamba angejitokeza mwanasiasa kichaa upande wa Kenya anayetaka kuliberate Wajaluo waliopo upande wa Tanzania ? Tungepata balaa gani?
(mambo yako ya mashoga - basi usisahau Urusi iliondoa sheria dhidi ya ushoga iliyokuwepo awali...)
Alie kwambia mrusi pale Ukrein ni mgeni ni nani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app