Mkuu mbona unatumia kompyuta lakini unaandika kama mtoto mdogo? Ulishindwa kusoma habari? Habari zilisema waziwazi itachukua wiki kadhaa, zaidi miezi hadi silaha hizo zitapatikana Ukraine. Maana Waukraine hawafanyi kama Warusi wanaotuma vijana kwenye mapigano bila mafundisho , wafe tu.Leo ni siku ya 17 toka Ujerumani na Poland watangaze kusafirisha Leopard tank kuja Ukraine.
*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200
* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.
*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.
NATO mnakwama wapi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kwa iyo tumtegemee yeye au yupo mwingine aja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbona unatumia kompyuta lakini unaandika kama mtoto mdogo? Ulishindwa kusoma habari? Habari zilisema waziwazi itachukua wiki kadhaa, zaidi miezi hadi silaha hizo zitapatikana Ukraine. Maana Waukraine hawafanyi kama Warusi wanaotuma vijana kwenye mapigano bila mafundisho , wafe tu.
Kifaru cha kisasa si bodaboda unapoingia asubuhi na kuhatarisha uhai wa abiria nusu saa baadaye. Kifaru ni kifaa tata kinachotaka mafunzo na mazoezi ya wiki kadhaa.
Kwa hiyo - utavioona tu. Usiwe na wasiwasi.
Ninachokwambia ni kuwa Urusi hakuzuia mtu kutoka nje ya nchi!Ila Ukraine wamezuiwa wanaume kutoka,na Sasa wanasakwa majumbani Kwa nguvu na kupelekwa kupambana!Hadi vilema wanapelekwa kupigana!
Sasa kama warusi walikuwa huru kuondoka na hakukuwa na zuio,hizo porojo zako umezitoa wapi?
Tunasubiri Tena yule mama wa EU aje aropoke wajeda laki kadhaa wa Ukraine wameuwawa!
Kumbe Unajua jeshi la Ukraine limefyekwa ndio maana wanakamatwq Hadi walemavu kuongeza Nguvu😃!UK, US na washirika wote bado hawajatoa msaada kihivyo, vichache walivyotoa vimemaliza jeshi la Ukraine, je wakituma madubwana ya kweli...
Kabla ya uvamizi wa Georgia na Ukraine,NATO iliendelea kujipanua kumsogelea Russia!Makubaliano ni Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security . Humo waliahidiana kuheshimu mipaka yote na usalama wa nchi zote.
Sasa nani alivamia Georgia na Ukraine`?
Walau huyo Proved mara Moja Moja mnaweza jenga hoja!Ila humu jamvini kuna watu watatu wanastahili kupewa tuzo ya roho ngumu na kuukataa ukweli. 1. Proved 2. MK254, 3. Kp kipanya 44. Mijamaa ni vichwa ngumu japo wanauona ukweli wa hali halisi. Ninachoyasifu ni kwamba hayapo tayari kukiri hadharani. Yaani haya ni wafia Ukraine kuliko hata Zeleisky.
Yaani yakiamua kubisha kuwa mvua hainyeshi na ikatokea kunyesha kubwa yenyewe yatasema ni mvua lakini haina radi
Kumbe Unajua jeshi la Ukraine limefyekwa ndio maana wanakamatwq Hadi walemavu kuongeza Nguvu😃!
Russia anasubiri tu mlete hayo madubwana yenu ashughulike nayo!
Na sisi tuoneshe hizo data na sisi tuokote mawili matatu!Nimeona sasa data za yule Nemes Tarimo aliyejiunga na Wagner ili atoke gerezani huko Urusi. Tarehe 17 Oktoba alipiga simu kwa familia yake Tanzani kuwaambia ametoka gerezani kwa kujiunga na Wagner. Tarehe 24 Oktoba alikufa huko Bakhmut.
Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki).
Hii inaonyesha jinsi gani wanatendea hao mamluki kwa dharau. Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote. Inaonekana wanatazamiwa kama shabaha tu wanaopelekwa mbele ili kuwachosha Waukraine na kupunguza akiba yao ya risasi. Hapo siri wanakufa tu maelfu, viongozi wao wanakaa nyuma na kuwatazama kwa kamera za droni. .
Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner.
Pole kijana Tarimo aliyetazamiwa kama takataka hai anayefaa tu kumeza risasi.
Ulishuhudia na nani?Hebu tuwekee link ya raia wa Urusi aliyetaka kutoka nchini na akazuiwa au kufungwa!Urusi alikua anazuia na kufunga jela kabisa, miaka kumi, sote tulikua humu na tuliyashudia..... Warusi wameteseka sana.
Victory is inevitable!Kalia takwimu za mchongo huku wagner wanazidi kusonga Mbele!Jeshi la Urusi ndio limefyekwa 127,000 na kuishia kufuata wafungwa na mateja, wamesababisha msiba Tanzania.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Izo data umezipata wapi wewe .ndugu zake wanakwambia mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa tarehe 17 Octoba.wewe unasema ndo tarehe ya yeye kujiunga na Wagner group.kati ya wewe na ndugu zake tumuamini nani.au na wewe ulikuwa unaongea nae.Nimeona sasa data za yule Nemes Tarimo aliyejiunga na Wagner ili atoke gerezani huko Urusi. Tarehe 17 Oktoba alipiga simu kwa familia yake Tanzani kuwaambia ametoka gerezani kwa kujiunga na Wagner. Tarehe 24 Oktoba alikufa huko Bakhmut.
Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki).
Hii inaonyesha jinsi gani wanatendea hao mamluki kwa dharau. Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote. Inaonekana wanatazamiwa kama shabaha tu wanaopelekwa mbele ili kuwachosha Waukraine na kupunguza akiba yao ya risasi. Hapo siri wanakufa tu maelfu, viongozi wao wanakaa nyuma na kuwatazama kwa kamera za droni. .
Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner.
Pole kijana Tarimo aliyetazamiwa kama takataka hai anayefaa tu kumeza risasi.
Na hii inaonesha asili ya ukatili wa kutisha alionao huyu anayejiita super pawer, kumbe ni miyeyusho tu!!Nimeona sasa data za yule Nemes Tarimo aliyejiunga na Wagner ili atoke gerezani huko Urusi. Tarehe 17 Oktoba alipiga simu kwa familia yake Tanzani kuwaambia ametoka gerezani kwa kujiunga na Wagner. Tarehe 24 Oktoba alikufa huko Bakhmut.
Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki).
Hii inaonyesha jinsi gani wanatendea hao mamluki kwa dharau. Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote. Inaonekana wanatazamiwa kama shabaha tu wanaopelekwa mbele ili kuwachosha Waukraine na kupunguza akiba yao ya risasi. Hapo siri wanakufa tu maelfu, viongozi wao wanakaa nyuma na kuwatazama kwa kamera za droni. .
Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner.
Pole kijana Tarimo aliyetazamiwa kama takataka hai anayefaa tu kumeza risasi.
Super pawer wa hovyo kweli!!Jeshi la Urusi ndio limefyekwa 127,000 na kuishia kufuata wafungwa na mateja, wamesababisha msiba Tanzania.
Alaska
Mkuu, ulipiga makele kuhusu NATO kuvunja makubaliano na Urusi. Ambayo si kweli. Nionyesha ni kipengele gani katika makubaliano nilyotaja kilichovunjwa na NATO. Usisema, taja kifungo, tukio, tarehe. Na imi nimekuonyesha sehemu ya Section One ya makubaliano Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security ni kuheshimu mipaka ya nchi zote za Ulaya. Imevunjwa na Urusi kwa kuvamia Georgia na Ukraine kinyume cha kanuni za Umoja wa Mataifa na OSCE.Kabla ya uvamizi wa Georgia na Ukraine,NATO iliendelea kujipanua kumsogelea Russia!
Hiv izi data zako hua kwel Ni kila baada ya masaa 24 kweli maana kila mda unazipost ..Mara asubui jioni mchana 😂😂719 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., kweli operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo Inakwenda kama ilivyopangwa [emoji16][emoji1787]View attachment 2505708
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app