President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sasa mdogo wangu unashindwa hata swali rahisi hivyo utaweza kweli kujadiliana na mimi?Unajaribu kujiingiza katika majadiliano yanayoendelea na sasa unalialia wapi majibu kwa swali lako. Hata ukilia kama mtoto huna kazi ya kuingilia katika majadaliano kama huna cha kuchangia. Soma yale tuliyojadili halafu changia,
Menginevyo si shauri lako ninachojua au kutojua, sivyo? (hakika tu wewe huna "classified information" )
Huko kenya ndio mliambiwa hivyo na Mama Ngina?NATO wakitia guu pale Urusi inafutika, hao mateja hawana jipya maana jeshi rasmi limefyekwa wanajeshi 127,000
Mkuu unashindwa kweli kupata habari kama hujafuatilia? BAsi: Taarifa ya waziri wa mambo ya nje Dk Tax ona Tarimo joined Wagner group in Russia, says Foreign MinistryTaarifa unatoa wap mbona familia inasema haijui kama ndugu yao alifungwa [emoji2357]
Sidhani Kama una uwezo wa kujibu kwa dharau...huna uwezo huo...hata kuchambua comment ya mtu huwezi...Hehehe naona umeanza kutia akili, unajibiwa kama ulivyo.....ukiwa wa hovyo unajibiwa kwa dharau.
Sipingi unachosema [emoji23]. Maana yang ni kwann kuna mgongano wa tarifa, nmeisikiliza familia wanasema mwanao alienda kusoma hawajui kama alifungwa.Mkuu unashindwa kweli kupata habari kama hujafuatilia? BAsi: Taarifa ya waziri wa mambo ya nje Dk Tav ona Tarimo joined Wagner group in Russia, says Foreign Ministry
Halafu taarifa Undani Kuhusu Mtanzania Aliyefariki Nchini Ukraine. Familia Yazungumza - The Chanzo Initiative
Victory is inevitable!Kalia takwimu za mchongo huJeshi la Urusi ndio limefyekwa 127,000 na kuishia kufuata wafungwa na mateja, wamesababisha msiba Tanzania.
Pitia hapa kidogo:Mkuu, ulipiga makele kuhusu NATO kuvunja makubaliano na Urusi. Ambayo si kweli. Nionyesha ni kipengele gani katika makubaliano nilyotaja kilichovunjwa na NATO. Usisema, taja kifungo, tukio, tarehe. Na imi nimekuonyesha sehemu ya Section One ya makubaliano Founding Act on Mutual Relations, Cooperation and Security ni kuheshimu mipaka ya nchi zote za Ulaya. Imevunjwa na Urusi kwa kuvamia Georgia na Ukraine kinyume cha kanuni za Umoja wa Mataifa na OSCE.
Sasa onyeshe wewe. Kile unachoita upanuzi wa NATO ni kinyume cha mapatano gani???
Hicho chanzo kimetoka kwenye link gan? Au website gani mbna jedwali kila siku linabadilishwa tu tarehe?Ndio mkuu,kila siku zinatolewa takwimu zikionyesha jinsi warusi wanavyochinjwa..,chanzo kingine hiki hapa View attachment 2505731
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huna jipya,danadana zilezile,kapunj!Tumejaza hizo taarifa humu kila siku mlikua mnasema propaganda, yamekuja kuwatafuna...
Watasema imenyesha lakini Haina "ngurumo". ..🤣🤣🤣Ila humu jamvini kuna watu watatu wanastahili kupewa tuzo ya roho ngumu na kuukataa ukweli. 1. Proved 2. MK254, 3. Kp kipanya 44. Mijamaa ni vichwa ngumu japo wanauona ukweli wa hali halisi. Ninachoyasifu ni kwamba hayapo tayari kukiri hadharani. Yaani haya ni wafia Ukraine kuliko hata Zeleisky.
Yaani yakiamua kubisha kuwa mvua hainyeshi na ikatokea kunyesha kubwa yenyewe yatasema ni mvua lakini haina radi
mkuu naona unakimbia majdiliano yetu. Nilisema Urusi inavunja mapatano na mikataba wewe uliuliza na NATO je? Nikasema NATO haivunji mikataba na Urusi. Sasa unaleta malalamiko kuhusu mambo ambayo hayakujadiliwa katika mikataba na mapatano.Victory is inevitable!Kalia takwimu za mchongo hu
Pitia hapa kidogo:
One of Russia's consistent demands has been for the North Atlantic Treaty Organization to stop expanding to the east and pledge never to include Kiev in the security alliance. But NATO has long insisted it has an open-door policy to any nation that meets its criteria for membership.
The United States and NATO dismissed Moscow’s security demands as nonstarters in a written response to the Kremlin delivered last week by the US ambassador to Russia.
While the current standoff between Russia and the West is based on many grievances, the narrative of Western betrayal has featured prominently in Moscow's rhetoric for decades.
In a speech at the Munich Security Conference in 2007, Vladimir Putin accused Western powers of violating a solemn pledge by considerably enlarging NATO – most notably with the Baltic countries joining the Alliance in 2004 – asking, "What happened to the assurances our Western partners made after the dissolution of the Warsaw Pact?"
NATO has not stopped expanding since the fall of the Soviet Union, growing from 17 countries in 1990 to 30 today, several of which were once part of the Soviet-led Warsaw pact.
The origin of the betrayal claim
To understand Russia’s claims of betrayal, it is necessary to review the reassurances then US secretary of state James A. Baker made to former Soviet leader Mikhail Gorbachev during a meeting on February 9, 1990. In a discussion on the status of a reunited Germany, the two men agreed that NATO would not extend past the territory of East Germany, a promise repeated by NATO’s secretary general in a speech on May 17 that same year in Brussels.
Russia and the West finally struck an agreement in September that would allow NATO to station its troops beyond the Iron Curtain. However, the deal only concerned a reunified Germany, with further eastward expansion being inconceivable at the time.
"The Soviet Union still existed and the countries of Eastern Europe were still part of the Soviet structures – like the Warsaw Pact – which was not officially dissolved until July 1991," said Amélie Zima, doctor of political science at the Thucydide Centre (Panthéon-Assas) in Paris. "We cannot speak of betrayal, because a chain of events that would rearrange the security configuration in Europe was about to take place."
In short, at a time when Westerners were offering the "guarantees" spoken of by Vladimir Putin, no one could have predicted the collapse of the USSR and the historic upheavals that followed.
Hebu nioneshe hao Ukraine wanasherehekea victory!Mpaka sasa kwa Ukraine wanfurahia victory maana Urusi tuliyokua tunaijua tulitegemea ichukue Ukraine kwa wiki moja, imeishia kugombea kamji ka chumvi na kupoteza wanajeshi mara nne ya JWTZ.
hao mateja walioswagwa kwenda kupigana hawana jipya.
Sidhani Kama una uwezo wa kujibu kwa dharau...huna uwezo huo...hata kuchambua comment ya mtu huwezi...
Victory is inevitable!Kalia takwimu za mchongo hu
Pitia hapa kidogo:
One of Russia's consistent demands has been for the North Atlantic Treaty Organization to stop expanding to the east and pledge never to include Kiev in the security alliance. But NATO has long insisted it has an open-door policy to any nation that meets its criteria for membership.
The United States and NATO dismissed Moscow’s security demands as nonstarters in a written response to the Kremlin delivered last week by the US ambassador to Russia.
While the current standoff between Russia and the West is based on many grievances, the narrative of Western betrayal has featured prominently in Moscow's rhetoric for decades.
In a speech at the Munich Security Conference in 2007, Vladimir Putin accused Western powers of violating a solemn pledge by considerably enlarging NATO – most notably with the Baltic countries joining the Alliance in 2004 – asking, "What happened to the assurances our Western partners made after the dissolution of the Warsaw Pact?"
NATO has not stopped expanding since the fall of the Soviet Union, growing from 17 countries in 1990 to 30 today, several of which were once part of the Soviet-led Warsaw pact.
The origin of the betrayal claim
To understand Russia’s claims of betrayal, it is necessary to review the reassurances then US secretary of state James A. Baker made to former Soviet leader Mikhail Gorbachev during a meeting on February 9, 1990. In a discussion on the status of a reunited Germany, the two men agreed that NATO would not extend past the territory of East Germany, a promise repeated by NATO’s secretary general in a speech on May 17 that same year in Brussels.
Russia and the West finally struck an agreement in September that would allow NATO to station its troops beyond the Iron Curtain. However, the deal only concerned a reunified Germany, with further eastward expansion being inconceivable at the time.
"The Soviet Union still existed and the countries of Eastern Europe were still part of the Soviet structures – like the Warsaw Pact – which was not officially dissolved until July 1991," said Amélie Zima, doctor of political science at the Thucydide Centre (Panthéon-Assas) in Paris. "We cannot speak of betrayal, because a chain of events that would rearrange the security configuration in Europe was about to take place."
In short, at a time when Westerners were offering the "guarantees" spoken of by Vladimir Putin, no one could have predicted the collapse of the USSR and the historic upheavals that followed.
Huna jipya,danadana zilezile,kapunj!
Hebu nioneshe hao Ukraine wanasherehekea victory!
Watu wamekimbia nchi Kwa mamilioni,waliobaki wanaishi kwenye mahandaki halafu unaletq porojo hapa eti wanasherehekea victory😃😃😃!
Wewe inaonekana siku Ukraine ikipinduliwa kabisa basi utasema ni victory kwao maana wamepambana muda mrefu😃😃😃😃!
Wewe una definition ya peke Yako ya victory!!!
Nimepitia yote sijaona sehemu ambayo wametaja alijiunga na Wagner group lini!Mkuu unashindwa kweli kupata habari kama hujafuatilia? BAsi: Taarifa ya waziri wa mambo ya nje Dk Tax ona Tarimo joined Wagner group in Russia, says Foreign Ministry
Halafu taarifa Undani Kuhusu Mtanzania Aliyefariki Nchini Ukraine. Familia Yazungumza - The Chanzo Initiative
Mkuu hata kama Wahuni waliharibu sehemu za Urusi - wapi unapata porojo Waukranine wanaishi katika handaki??Hebu nioneshe hao Ukraine wanasherehekea victory!
Watu wamekimbia nchi Kwa mamilioni,waliobaki wanaishi kwenye mahandaki halafu unaletq porojo hapa eti wanasherehekea victory😃😃😃!
Wewe inaonekana siku Ukraine ikipinduliwa kabisa basi utasema ni victory kwao maana wamepambana muda mrefu😃😃😃😃!
Wewe una definition ya peke Yako ya victory!!!
Updates tu usilumbane na wanadiaperMji wa Lyman na Mji wa Seversk inaemewa na Warusi.muda sio mrefu kitaeleweka.kikubwa usikae mbali na simu yako[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2505667