Venus Star ,,,nisaidie maelezo sijakuelewa ulichopost.
Mkuu je unafurahia maswali ya kitoto? Wewe unafeli wapi?Kwahiyo Ukraine hawataki mananga wa kivita wa kirusi? Hao wasiojua chochote ndo wa kuwaua haraka au sio.
Ukraine mnafeli wapi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza tu maana kuna watu wanajua urusi hakuna mashoga ila hapa zanzbar tunapokea gays na lesbians kibao tu kutoka urusi!!!!Au wewe unaongea kishabiki hata hoteli za kitalii hapa zanzbar hujawahi kufika au kulala @ Somoche!!!W
Waulize Kinachowapata
Mkuu wewe umeuliza kuhusu mapatano. Ndio, mawazo wa wanasiasa ni mawazo ya wanasiasa tu. (msikie Putin) .Si mkataba wala mapatano.Nimekuwekea hapo juu,wewe ukadai ni maneno tu ya politicians!Kauli kutoka kwa secretary of state wa US umeita kauli hewa tu!
je wewe unampa tarehe gani? Alikuwa na wiki 2 za mafundisho??Hiyo mara ya mwisho kuwasiliana,nilitaka kujua hiyo taarifa unayosema alijiunga na Wagner group tar 17 October!
😁😁😁😁😁 mifumo yao ya ulinzi border kabisaWanawasingizia wachina wakati lile puto ni la watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].sema awajawai kuona puto kama lile ndo maana wamepagawa
Yaani mmeshindwa kutungua puto ndugu zanguni? MAREKANI air defense hana ndo maana Korea kaskazini ilipitisha drone yake NDANI ya Korea kusini bila tabu
Na vikifika huko,utasikia vimegoma kuwaka kama vile vya USA.[emoji34][emoji34][emoji34]Leo ni siku ya 17 toka Ujerumani na Poland watangaze kusafirisha Leopard tank kuja Ukraine.
*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200
* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.
*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.
NATO mnakwama wapi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Pole sana! Kumbe una maumivu kiasi Hiki sikujua.Mateja hawajui vita, ikiwa jeshi rasmi limefutwa 130,000 sasa mateja si ndio watakua mbolea....
Kijana hilo putoe mbona mlishindwa kutungua likiwa nje tu ya anga LA MAREKANI? MAREKANI INA early warning air defense system INA maana wangepata information mapema kuhusu uwepo wa hilo puto angani kisha wange deploy fighter jet kwenda Ku intercept hilo puto. lakini bado walishindwa MPAKA watu walipo lions kwa macho ndo wakaenda KUTOKA taarifa kwenye vyombo vya ulinziEbu kua seriously na maisha mdogo wangu!!!Marekani air defence hana!!!!Wewe sio mchambuzi ni mshabiki!!!!!!Hata sisi tusio mashabiki wa vita tunajua capablity ya USA AIR DEFENCE SYSTEM,S!!!Tofautisha ulinzi wa air space ya korea kusini na air space ya marekani!!!Ni vitu viwili tofauti
Kama wewe ni kichwa maji utaona pumba tu..,pole!!Mbona unaongea pumba kwa makusudi
Ni maelezo marefu sana, lakini nakusihi usome kuhusu Nikolai II Alexandrovich Romanov last Tsar of Russian Empire. Na ujue namna baadhi ya maeneno yalivyoondoka Russia.Venus Star ,,,nisaidie maelezo sijakuelewa ulichopost.
Unapuuza kinachokupuuza pia, unafikiri nakuchukulia seriously..,sio?[emoji57][emoji57]Hahaaaa,Ikifika wakati wa kukupuuza utashangaa mwenyewe
Bado mna arosto ya USSR..,pole!!Ni maelezo marefu sana, lakini nakusihi usome kuhusu Nikolai II Alexandrovich Romanov last Tsar of Russian Empire. Na ujue namna baadhi ya maeneno yalivyoondoka Russia.
Sasa ni muda wa Russia kurudi kama ilivyokuwa mwazo.
Sasa morogoro wewe mshabiki sio mchambuzi wa mada za kijeshi!!!Unaniuliza kuhusu puto????Tangu lini drone ya kijeshi ikawa puto na nani kasema drone za north korea ni maputo????Afu unaniuliza kuhusu tukio kama mimi nilikuwepo kaka?????Nachosema mimi ni utofautishe ulinzi wa air space ya south or north korea na air space ya marekani!!!!!Ukitaka kujifunza mada za kijeshi duniani lazima kwanza uweke ushabiki pembeni na uwe msomi anaetaka kujuaKijana hilo putoe mbona mlishindwa kutungua likiwa nje tu ya anga LA MAREKANI? MAREKANI INA early warning air defense system INA maana wangepata information mapema kuhusu uwepo wa hilo puto angani kisha wange deploy fighter jet kwenda Ku intercept hilo puto. lakini bado walishindwa MPAKA watu walipo lions kwa macho ndo wakaenda KUTOKA taarifa kwenye vyombo vya ulinzi
Nakupuuza maana umezidi unafikiKama wewe ni kichwa maji utaona pumba tu..,pole!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ili tukio lilitokea lini na katika anga la state ipi ya marekani!!!!Unaweza kunijuza kaka???Kijana hilo putoe mbona mlishindwa kutungua likiwa nje tu ya anga LA MAREKANI? MAREKANI INA early warning air defense system INA maana wangepata information mapema kuhusu uwepo wa hilo puto angani kisha wange deploy fighter jet kwenda Ku intercept hilo puto. lakini bado walishindwa MPAKA watu walipo lions kwa macho ndo wakaenda KUTOKA taarifa kwenye vyombo vya ulinzi
@Figanniga yupo kuleeee,anarusha picha za wanajeshi wa Ukraine walivyo smart na wenye akili.Kuna wale wengine wakiongozwa na T14-Armata walionekana ile siku Iran aliposhambuliwa na Drone.mpaka nikashangaa kumbe jamaa wapo mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Toka siku ile sijawaona tena.
mkuu tulia! Hii lugha ya ushogaNimeuliza tu maana kuna watu wanajua urusi hakuna mashoga ila hapa zanzbar tunapokea gays na lesbians kibao tu kutoka urusi!!!!Au wewe unaongea kishabiki hata hoteli za kitalii hapa zanzbar hujawahi kufika au kulala @ Somoche!!!