mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kibaya watu waliopotea awaonekani ila maeneo yaliyopotea yanaonekana.nani anaumia zaidi hapo[emoji12][emoji12]Kwa kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, ilipaswa muwe mumeshikilia nchi yote sio kugombea tumiji ta huko mpakani.
Mzigo umeenda ku detect wapi zilipo Nuclear za kiande Biden. 🤣🤣🤣,Chinese Military Aircraft Enter Taiwan Ahead of Blinken Beijing Visit
More than a dozen Chinese military aircraft and four naval vessels were detected around Taiwan on Friday morning, according to defense officials.
The latest border move by Beijing came ahead of US Secretary of State Anthony Blinken’s trip to China, scheduled for February 5-6.
Earlier, the Pentagon claimed to have discovered a spy balloon over the northern US. In comments cited by the US media, an unnamed senior US defense official said Washington was “confident” that the balloon belonged to China, while Beijing has since claimed it was a "civilian airship intended for meteorological research".
Subscribe to RTView attachment 2506581
Kusemwa hakupunguzi kitu katika Iman ya mtu wala kiwiliwiliDini ya watu ikiacha kuua watu na kufanya maovu itaacha kusemwa, ila mtaendelea kusemwa mpaka mjifunze kuishi na watu kwa amani.
Ila anapigana. Historia itasomwa kuwa Ukraine na Urusi zilipigana 2022/23. Suala la Ukraine kupewa msaada ni kawaida kuliona katika vita.Ukraine anasaidiwa kupigana maana kabla ya kuletewa kifurushi cha kwanza mikoa 4 ilikuwa ishakuwa annexed. Angeendelea kupambana mwenyewe hadi sasa ungekuta 50% ya Ukraine ishamezwa na Urusi.
Kinachofanyika ni kumchelewesha mrusi tu ila SMO lazma ikamilike.
Hamna taifa lolote linaloweza pigana na urusi directly. Halipo na hao US wanajua wakitoa silaha za masafa marefu zikaharibu mazingira Moscow ni WW3 directly. Itakuwa haina msalia mtume bali ni Nuke to Nuke interchange.
Kibaya watu waliopotea awaonekani ila maeneo yaliyopotea yanaonekana.nani anaumia zaidi hapo[emoji12][emoji12]
Kusemwa hakupunguzi kitu katika Iman ya mtu wala kiwiliwili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaota mchana kweupe wewe.Urusi arudishe ardhi.labda sio Urusi huyo.ardhi imeondoka iyo na kama wataendelea kukomaa itazidi kuongezeka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Hao Warusi waliouawa ndio basi wamepotezwa mizoga yao haitarejeshwa nyumbani kuzikwa, ila ardhi ya watu Ukraine itarejeshwa yote, vita vitaishia Crimea.
Usimsingizie Mungu.mkuu tulia! Hii lugha ya ushoga
1) haina kazi kabisa katika habari hizo za vita. Marafiki wa Putin wanataka tu kuchochea watu dhidi ya Ukraine na "magharibi" kwa kudai eti hao wanatawaliwa na "mashoga" hivyo watu wazuri labda wanapaswa kuwapinga. Bila kujali ukweli au hali halisi.
2) hao wanaoitwa "mashoga" wako kila nchi ya dunia, hata TZ au wapi. Wanaweza kujificha nchi fulani au kutembea wazi nchi nyingine kutegemeana na mazingira. Wako takriban asilima 2-3 za binadamu kote. Hivyo hao ni sehemu tofauti ya uumbaji wa Mungu, sawa na watu waliozaliwa vipofu, wenye mguu mmoja, au wanaokosa mkono tangu kuzaliwa. Wasipoudhi watu wengine hawana madhara wanastahili heshima kama kila binadamu (na sawa na watu walio "kawaida" wanapaswa kudharauliwa na kuadhibiwa wakishambulia watoto au watu wasioweza kuwazuia)
3) Kwa hiyo bila shaka washoga Warusi wanaonekana kwa sababu Zanzibar siku hizi ni kati ya mahali pachache dunianini ambako Warusi wanaweza kufika. Kati wa watalii 1000 lazima wako 20-40 na kwa sababu Zanzibar tabia hizo zinafichwa, basi wanaonekana sana!
Ila usikate tamaa, zile 2-3% za washoga Warusi si tofauti na umati huohuo wa Watanzania, Wakongo, Waingereza, Waafrika Kusini au Waukraine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaota mchana kweupe wewe.Urusi arudishe ardhi.labda sio Urusi huyo.ardhi imeondoka iyo na kama wataendelea kukomaa itazidi kuongezeka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ndio Supa-pawa huyo....Mwaka mmoja Russia bado anapigana na Ukraine
Hivi wakristo wamekuwa wapumbavu kiasi hiki...hivi kwenda kanisani kusari ndiyo dini gani hiyo ..kwenye ukristo hakuna kitu kama hichoHabari za jumapili ndugu,Leo ni siku ya toba,nikukumbushe kwenda kusali na kupunguza mzigo ulio nao moyoni!
Na Bado anaendelea kubondwa!!Mwaka mmoja Russia bado anapigana na Ukraine
Duh![emoji28]Huku taifa la Ukraine likifaidi mbolea ya mizoga ya Warusi.