Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio nimetoka kanisani,nimekuombea na wewe Mungu akupe hekima na busara!
 
Na nukuu

The Turkish media, citing the estimates of the Israeli intelligence services, published the figures of the losses of the parties killed during the conflict in Ukraine:

APU: 157,000 (probably including 2,458 mercenaries)

RF Armed Forces: 18480

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Alikua aparamie Ukraine yote ikamshinda, na hiyo kidogo ambayo imemcost wanajeshi 130,000 ataipoteza tu maana sasa hivi yuko dhaifu na Ukraine ndio kama wanaanza.
IVi upo kweli Duniani au unaongea ukiwa kuzimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].yani sasa ivi Urusi ni dhaifu inakuwaje sasa anazidi kuteka maeneo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
onyesha chanzo.
 
Tunakuomba ulete hata ushahidi wa maiti hata hamsini tu basi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
IVi upo kweli Duniani au unaongea ukiwa kuzimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].yani sasa ivi Urusi ni dhaifu inakuwaje sasa anazidi kuteka maeneo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Urusi tuliyoijua, iliyotegemewa na waarabu wenu kwa namna ilivyokua inajinasibu, ilipaswa iwe imeparamia Ukraine yote baada ya kupoteza wanajeshi zaidi ya 130,000.... mnachekesha sana.
 

Kumbe na. 1-3 tumeshaona hapa JF kwa muda mrefu, yaani tunao wanafunzi wazuri wa propaganda ya Kirusi.
Ila na. 4 bado??? Je wakuu Mathanzua, Utam na wengine: mlilala? hamjafanya homework? Wapi habari zenu kuhusu Leopard (maana wakisambaza huko Ulaya, mbona mnatunyima???)
 

Attachments

  • 1675591399829.png
    50.3 KB · Views: 24
Kwani alipeleka wanajeshi wangapi na namba zinaonesha kiasi gani??

Kuisha Kwani uwezekano wa kupeleka wanajeshi haupo?

Mda mwengine hata kutumia akili ya zaida mnashindwa.
Unaendelea kuonesha kwamba nyie Team NATO hamna akili ebu piga Hesabu ya hiyo data zenu za kila siku Kwa siku zote Russia yupo Ukraine.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Japo nje ya mada kdogo
Hiv puto hilo la mchina had katk anga la US hii inaonyesha kuw mchina ana ubavu /uwezo sawa na US kiteknolia ya kivita na kijasusi
Nchi nyingi zimeshamchoka marekani hasa na njia yake yatokea enzi na enzi yakuanzisha vita ila anapigana mbali na ardhi yake rejea WW1 na WW2, vetnum war nk.vita zote marekani anapigana nje ya ardhi yake hivyo hajui uchungu wa vita kupiganwa kwenye ardhi yake.Rejea sasa rusia vs ukraine marekani katia mguu na sasa anataka taiwani na china Ili atie mguu.
Ninachokiona wahasimu wake wanaangalia possibility yakumpigia kwake Ili nayeye aonje machungu.
Kwa vita ya kisasa inawezekana bila shaka kwa sababu anaekuwahi ndo mshindi na hata juzi putin aligusia suala hili kua modern war haihitaji ,vifaru wala mahali ni full technology.
 
Unaendelea kuonesha kwamba nyie Team NATO hamna akili ebu piga Hesabu ya hiyo data zenu za kila siku Kwa siku zote Russia yupo Ukraine.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hapo Ni sawa na mtu akuambie katika siku Saba za wiki wanajeshi 100 wanakufa hivyo kwa siku zote wanakufa 700 ila jibu anakuletea 150[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] kweli umande tumekwepa wengi mpaka wazungu nao wamekwepa toka Vita ianze Ni kuanzia 600 mpaka 900 kwa siku haya piga hesabu kwa siku zote toka Vita ianze.
 
Kwann apigane kwenye ardhi yake? Marekani akiwachonganisha msichonganike. Sio mnachonganika mnaanza kupasuana. Sasa kinachowafanya China na Taiwan wasielewane wakati ni ndugu ni nn? Hata Urusi na Ukraine si ni mtu na mdogo wake yule? Marekani anaangalia maslahi yake, kama kwa kuwafanya mbondane anafaidika atawachochea mbondane. Badala ya kumlaumu marekani inatakiwa kujiuliza kwann anafanikiwa kushawishi vita kwenye ardhi isiyo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…