jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kifurushi kinaanza kuingia![emoji56][emoji38][emoji38]Bakhmut (Artemivsk) will not be surrendered; we will fight as long as we can. — Zelensky "There will be no withdrawal of Ukrainian troops from the city," he said at a press conference after the Ukraine-EU summit.
Siyo kwamba ni mwaka Mmoja Ukraine akisaidiwa na NATO bado anapigana na "mateja" kama alivyoelekeza MK254 !
====
Kwa kweli NATO Katia aibu, ameangaishwa na kampuni ya ulinzi, Wagner . Ha ha haaaa!
Wewe jamaa. Kwa sasa unaonekana kama mwehu.Kainchi kama Ukraine kamefuta wanajeshi rasmi 130,000 sasa hao mateja mnaoleta ndio watafanya nini...
Mimi binafsi sijui Ukraine alikuwa na tanks ngapi. Lakini wewe unasema kabla ya uvamizi alikuwa na tanks 980 pekee. Je unajua toka uvamizi ufanyike Ukraine kupokea tanks ngapi kutoka nchi wahisani. Kuna uwezekano Mkubwa kuwa amapokea tanks nyingi sana. Maana tumekuwa tukiona videos za tanks zinasafirishwa na train kuingia Ukraine hasa kutokea Poland.Kwa taarifa kabla ya invasion Ukraine alikuwa na Tanks 980 Pekee.
Sasa hizo mmetoa wapi?
Artillery alikuwa nazo 300 pekee
Hiyo idadi mmeitoa wapi
Unavyotaka ni kwamba ikusanywe milli yote halafu upigiwe picha na kuoneshwa kama hii ndio idadi ya sasa ya wanajeshi wa kirusi waliokufa??Kibaya watu waliopotea awaonekani ila maeneo yaliyopotea yanaonekana.nani anaumia zaidi hapo[emoji12][emoji12]
Alizopokea hazifiki 600Mimi binafsi sijui Ukraine alikuwa na tanks ngapi. Lakini wewe unasema kabla ya uvamizi alikuwa na tanks 980 pekee. Je unajua toka uvamizi ufanyike Ukraine kupokea tanks ngapi kutoka nchi wahisani. Kuna uwezekano Mkubwa kuwa amapokea tanks nyingi sana. Maana tumekuwa tukiona videos za tanks zinasafirishwa na train kuingia Ukraine hasa kutokea Poland.
Nadhani kwa kiasi fulani utakuwa umejua tanks za Ukraine zikizoharibiwa ni nyingi kuliko alizokuwa nazo hapo kabla
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hajawai kuonyesha hata maiti 200 za Warusi .ila Warusi wameonyesha sehemu nyingi zaidi ya maiti izo 200. Sasa Mnatoa data pasipo kuwa na hata ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23]Unavyotaka ni kwamba ikusanywe milli yote halafu upigiwe picha na kuoneshwa kama hii ndio idadi ya sasa ya wanajeshi wa kirusi waliokufa??
Maana hoja nyengine ni dhaifu hata wewe muandikaji na kurudia kujisomea ulichoandika unajionea aibu.
Mfano wa hii ni miongoni mwa idadi unayoipinga.
Leo ukiapata watano kesho 20 ukijumlisha hapo idadi haiongezeki??
View attachment 2507450View attachment 2507451
Angalia kichapo kilicho shushwa kwenye tank yenu ongezeni idadi huko
Mambo ni fireeeeee [emoji91][emoji91][emoji91]Kifurushi kinaanza kuingia![emoji56][emoji38][emoji38]