Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuendelee kuwa pamoja ndugu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji95][emoji95][emoji95]In the area of the Sakkoi n Vantsetti, units of the PMC Wagner expanded the zone of control and are advancing in the direction of Vasyukivka.[emoji95][emoji95][emoji95]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




[emoji95][emoji95][emoji95]In the Kostyantynivka direction, units of the PMC Wagner took the village of Stupochky, fighting is now taking place on the main highway, meaning now it is PHYSICALLY IMPOSSIBLE for Ukrainian units to move through this way.[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mzigo unazidi kutumwa..,Kuna watu walijifariji wakisema vifaru vitafika Ukraine mwezi wa 5 [emoji28]View attachment 2507365

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Viende vikatafunwe na kuchukuliwa na jeshi la Urusi na vile tayari day la USD100,000$ kwa watakao peleka zima. Yani dau laa kupeleka zima imagine yatakavyo yeyushwa😂😂🤣🤣🤣
 
Waswahili husema ni bora nusu shari kuliko shari kamili, Ukraine walikua na nafasi ya kukaa mezani na urusi kabla ya SMO. Na pale SMO ilipoanza walitakiwa kukubali kuachia yale majimbo mawili, kwanini walitakiwa kufanya hivyo?

Ukraine hana uwezo wa kushindana na Russia, wanaompa silaha nao ni kama wa bet kuona itakuaje. Kadri Ukraine anavyokomaa kupigana ndivyo atavyopoteza ardhi yake.

Gharama za vita ni pamoja na kupoteza rasilimali ardhi. Ukraine wasiposhtuka mpaka kufika October wanaweza kupoteza mpaka 50% ya nchi yao, ikumbukwe Russia anashikilia zaidi ya kilometer square 42000, ambayo ni 27% ya whole Ukraine

Ukichukua cremea, Donetsk na Luhansk kwa pamoja unapata 27% ya Ukraine yote.. sasa kufika mwisho wa mwaka itakuaje?

Tusisahau Russia anakalia 65% ya mji wa kherson.
 
Viende vikatafunwe na kuchukuliwa na jeshi la Urusi na vile tayari day la USD100,000$ kwa watakao peleka zima. Yani dau laa kupeleka zima imagine yatakavyo yeyushwa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi katoa Hilo dau Ili kulipa kisasi baada ya kutekwa hiki kifaru chake Bora Cha kisasa , lakini ni bahati mbaya sana hatofanikiwa, pamoja na Hilo dau alilolitngaza

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii Hadithi yako inatufundisha nini [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Data ziko. Vifaru vingi wamepokea kutoka Urusi, maana hasa katika mashambulio ya Kyiv Warusi walipoteza vifaru vingi, askari walkiviacha njiani tu baada ya kukosa mafuta au kwa hofu ya kushambuliwa, Lakini hata baadaye vifaru vya kirusi viliachwa njiani baada ya kupata uharibifu kidogo tu. Ukraine walivichukua.
 
Hali huko mbele inazidi kuwa ngumu, ni ngumu sana sasa huko Bakhmut, Vuhledar, Limansky na pande zingine, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema katika hotuba yake ya jioni ya kawaida.

"Wakati wa siku 346 za vita hivyo, mara nyingi nililazimika kusema kwamba hali ya mbele ni ngumu. Na kwamba hali inazidi kuwa ngumu. Sasa ni wakati tena. Wakati ambapo mtekaji anazidi kuleta majeshi yake kuvunja ngao yetu.

"Bakhmut, Vuhledar, Limansky na maeneo mengine. Lakini sasa, kama kila siku kati ya hizi 346, ujasiri wa askari wetu ni kila kitu," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alisema.

==================
Huu moto sio mchezo 🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20230205-200405_Facebook.jpg
    121 KB · Views: 17
Labda useme Ukraine alitakiwa akae meza moja na Urusi kuhusu namna ya kuwa na uhusiano na nchi za magharibi bila kuihatarisha Urusi.

ILA KUSEMA WAKAE WAKUBALI KUACHIA MAJIMBO 2 NI UPUUZI KIWANGO CHA JUU SANA. KAMA URUSI INATAKA ARDHI BASI IIPATE KWA KUMWAGA DAMU ILI KESHO TENA WAKITAKA WAJUE HAITAKUWA RAHISI KAMA JANA.

WEWE PALE KWAKO JIRANI YAKO MWENYE NGUVU UNAWEZA MPA MWANAO ILI ASIKUCHUKULIE MKEO? UKIRUHUSU HILO UWEZEKANO WA YEYE KURUDI MARA YA PILI NA YA TATU NI MKUBWA NA KWASABABU YA UWOGA WAKO WA KUPIGANA NAYE UTAMALIZA WATOTO WOTE MWISHO MKEO NAYE ATAMPATA TU HALAFU UTAKUWA HUNA LA KUPOTEZA TENA UTAJIACHIA TU AFANYE ATAKAVYO.
 
Wana
Wanajeshi wa Urusi wanakufa Ila idadi yake zidisha mara 6 ndo idadi ya Ukraine. Mpaka sasa inasemekana wamekufa vitani anajeshi wa Urusi 18,000 - 60,000 wakati Ukraine wamekufa 157,000/ toa waliopotea, toa walio umizwa na hii namba kumbuka nibya baada ya mobilization lakini kumbuka jeshi karibia lote la ukraine lililambishwa mchanga ndani ya week 1-3 za kwanza kabla wengine kuingilia. Sasa Kuna vitu vingine tusipoteze hata mda kubishana. Tusibiri mzigo ushushwe usiku huu hapo ukraine alafu tuone hayo maajabu ya madereva wa vifaru wanao kamatwa kwenye hii kamata kamata ya madereva Ukraine pamoja na wananchi ili kushiriki vita
 
Wazingirwe mara ngapi Yani tayari wamepigwa bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…