Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Nisuala la muda tu BAKHMUT inaangukaUkraine yasema offense ya Russia Bakhmut ni ya nguvu kubwa kuliko.
Ukraine imesema haitaondoka Bakhmut
Ukraine yafanya mabadiliko
Budanov kaenda MoD, Resnikov kaenda Mipango
SBU kawekwa mwingine
Barikiwa ccccchioni ya leo,, na mbengo zikafongoke,, haleloyaaaa 😃Heheh akbar akbar
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
USED from uk [emoji28][emoji28][emoji3526]Mbona Icho kifaru Ni used [emoji23][emoji23]
Inakuaga hivi, leo umemnyang'anya mtu fedha akalia tu, kesho ukarudia akarusha ngumi, keshokutwa ukienda utaenda kwa tahadhari. Kadri unavyorudi inakuwa ngumu zaidi na zaidi mpaka mnaheshimiana au umuue kabisa ili usipate upinzani.Hakika
Ila ntakua wamwisho sana kuamini kama athari atakazozipata RUSSIA zitamfanya aogope kuanzisha tena SMO ikibidi sidhanii
Ila UKRONAZI kwamsaada wa wahisani kapambana haswaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unabishana na ng'ombe utaweza?😁😁Utafikiri wewe ndiye Zelensky,ajabu sana.Mhusika mkuu kasema hali ni tete,wewe una water down situation,you couldn't be more blind.
Kwenye list sijaona loss yoyote ya transport aircraft Kam IL 76.Leo mnataka na urusi pia kipanya 44 anatoaga tu warusi wamechinjwa na hamumuulizi vipi wa Ukraine haya mimi sina hiyana
Na nukuu
View attachment 2507262
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Our man behind enemy line
====
Two hours later, Zelensky posted a video from his office in Kiev, explaining that he was “not hiding,” and “not afraid of anyone.” The video address was described as “defiant” by Western media outlets, but it was unknown until now that Zelensky essentially asked Putin permission – via Bennett – to reveal his location before making his statement.
RT
Hivi hii beat wimbo wake unaitwaje aisee
"Our man behind enemy line". Pigilia mstari hii.Mlimpa masaa 24, mwaka mmoja sasa bado rais na anaamrisha majeshi.
"Our man behind enemy line". Pigilia mstari hii.
Hiyo taarifa imfikie yule anayepost jedwali la kuedit.🪖 Zaluzhny reported the death of 257 thousand of Ukrainian soldiers
Former Pentagon adviser Colonel Douglas McGregor shared secret data on the losses of the Armed Forces of Ukraine.
[emoji404] “When Zaluzhny was in the US, he met with Secretary of Defense Lloyd Austin and General Milley. He secretly told them that Ukraine had lost 257,000 people since the beginning of the conflict,” the retired officer shared.
Earlier it was reported about 232 thousand dead militants since the start of the special operation.
Acha kupuyanga, jibu swali, umeulizwa he operation yetu ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa?? Ungejibu ndio au hapana,Hilo tuTatizo lako kwenye mambo ya front line huko Ukraine, moja uiita sifuri na sifuri unafahamu kama kumi. Kwa hiyo, ni vigumu kuelewa kiandikwacho kwa msingi wa kuwapa ukweli wasomaji wa Uzi huu.
Hata mimi naona siwezi mkuu.Mkuu unabishana na ng'ombe utaweza?😁😁
Sioni kama Putin kawa mpole zaidi ya alivyokuwa tangu February 2020,haya ni maneno ya kujitia moyo kwamba something is happening on the ground in your favour,kumbe Russia is winning in the battlefront.Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Subir Sasa uone kitakavyowapelekea askari wa super pawer wa mchongoMbona Icho kifaru Ni used [emoji23][emoji23]
Kipanya44 ivi ile operation yenu ya kufika Kremina ilishiaga wapi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subir Sasa uone kitakavyowapelekea askari wa super pawer wa mchongo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app