Watulie Hivyo hivyoYaaaani
Aliyekuwa Kamanda Mkuu wa NATO James Stavridis ameeleza imani yake kwamba vita hivyo vitamalizika kwa namna sawa na vita vya Korea katika miezi michache ijayo, kutokana na mkwamo uliopo hivi sasa. waseme tu ukweki kuwa magharibi ukraine wanataka iende poland.
Hizi sio habari za mapambano.
Huyu PM wa zamani wa Israel ndio kasema hayo.
Kwa hiyo kwa kua ni Sputinik news ndio inaondoa uhalisia kua hakua mediator?
Je hizo nchi alizozitaja kua alienda kuonana na wakuu wa Us UK Fr na Germani sio kweli?
Je kalishwa maneno na Sputinik?
Israel ni nchi kubwa wanaweza kukubali Kiongozi wao kulishwa maneno bila kukanusha?
Proved acha ushabiki ktk Kila jambo.
Vitu vingine pima wewe mwenyewe.
Dah...you are back?!?![emoji3][emoji3][emoji3] huwa unanifurahisha sana,unareport kama upo front line
Pengine Ni kweli coz hata katika nchi zetu inasemwa idadi kubwa ya viongozi wakuu wa dini kubwa Ni watu kutoka vitengo maalum vya kiusalama.Patriarch Kirill ‘was a KGB spy in Switzerland’ – reports
Russian Orthodox Patriarch Kirill, a close ally of President Vladimir Putin, worked for Soviet intelligence while living in Switzerland in the 1970s, according to reports.
Citing declassified archives, Swiss newspapers SonntagsZeitung and Le Matin Dimanche reported that a Swiss police file “confirms that ‘Monsignor Kirill’, as he is referred to in this document, worked for the KGB”.
Source: The Guardian
======================
Huyu mtumishi ndio alitoa wito kwa Vita kusitishwa kwa muda kwenye Christmas ya ki-orthordox na Putin akakubali kuheshimu wito huo.
Ukistaajabu ya Musa.....
TUJITEGEMEE Sela Son
Wamagharibi wanachekesha Sana wanafanya Nini hicho?RUSSIA sio ZIMBABWE
[emoji1099] [emoji635] #oil #ceiling
The EU has excluded oil products produced from Russian oil outside the Russian Federation from sanctions
Ceiling the oil price will also not apply when mixing Russian petroleum products and products from other countries
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana akili MKUU mbinu zao zime failWamagharibi wanachekesha Sana wanafanya Nini hicho?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Walijua wataleta athari za kutisha kwa RF.
RUSSIA ilijipanga haikukurupuka kuna waliosema kwamba RUSSIA kwavikwazo na uchumi mdogo walonao wasingeweza kumudu mapigano kwa muda mrefuWalijua wataleta athari za kutisha kwa RF.
Leo Ni mshangao. Wanashangaa Warusi wanaonekana kuendelea na maisha Kama Hakuna kinachoendelea.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Vyombo vya habari vimewekwa kwenye chupa huko urusi ., usifikiri wewe mrusi wa buza unajua kila kinachoendelea..., dikiteta Putin kakalia Bomu hambalo kulipuka ni suala la muda tu [emoji848]Wako wapi waliotabiri Uchumi wa Russia utaanguka kabisa mwezi mey 2022? Na hivyo kutatokea maandamano yatakayomuondoa Leutenant colonel Vladimir Putin?
Wako wapi waliosema Uchumi wa RF utadondondoka ifikapo mwezi wa tisa mwaka 2022 na hivyo Putin kuangushwa na baadae majeshi ya Russia kuondoka kwa aibu kwenye occupied regions ?
Wako wapi walioweka vikwazo maelfu kwa Russian Federation? Vikwazo vinawageukia. Vikwazo Bado havijabadilisha chochote kule vitani. Uwezo wa Russia kivita umekuwa wazi zaidi. Wanazalisha silaha nyingi zaidi Mara dufu zaidi ya NATO kwa mujibu wa Putin.Tukiachana na Alichosema Leutenant Colonel Putin uhalisia unaonekana.Russia Wana maelfu ya silaha. Hawajatetereka kwa namna yoyote kwenye Jambo Hili.
Dunia imebadilika vikwazo kwa Sasa Ni kitisho kwa nchi Kama Zimbabwe na Kenya lakini sio kwa Russian Federation na Iran. They are great powers! Any questions so far?
Ukraine wanasema wameteka vifaru 400+ vya kirusi ikiwemo T 72 na T 90 M. Kwa muda wote huu kwanini wasitumie kufanya counter offensive? Wajaribi kila la Kheri.
Nb.
Counter offensive ya Ukraine inafeli kwa ukosefu wa uwepo coordination ya kamandi za ardhini , angani, na majini. Ambapo humo angalau vikosi vya ardhini vina silaha lakini airforce na majini Ni total failure.
Kila la Kheri kupambana na Suma Jkt ya kirusi.Russian are there to stay.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Russia ingekuwa imejipanga isingepigana na kanchi kadoogo hambako hakafiki hata size ya mkoa wake kwa mwaka mzima SasaRUSSIA ilijipanga haikukurupuka kuna waliosema kwamba RUSSIA kwavikwazo na uchumi mdogo walonao wasingeweza kumudu mapigano kwa muda mrefu
Mpaka sasa ukiwauliza muda mrefu nikuanzia siku ngapi hawana majibu
West kwaujumla wao wameishindwa RUSSIA wamebakia kulalama lalama kwamba wanalazmisha mataifa ya afrique kuungana nao wakat ninaamuzi yetu binafsi
SMO inaendelea vyema mnoooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnajitia ujuaji mwigi,yaani wewe mrusi wa kimalabonyokwa ndio unajitia kuijua sana urusi kuliko raia wanaishi humo. , mpaka hapo warusi walipo wanaendeshwa kwa mkono wa chuma,Walijua wataleta athari za kutisha kwa RF.
Leo Ni mshangao. Wanashangaa Warusi wanaonekana kuendelea na maisha Kama Hakuna kinachoendelea.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Si ajabu. Vyeo vya juu vya kanisa la Kirusi vilijaa watu waliokubali kutoa taarifa kwa KGB. Hasa ukitumwa na kanisa nje ya Urusi, ulihitaji kibali cha serikali ili upate passport...Patriarch Kirill ‘was a KGB spy in Switzerland’ – reports
Russian Orthodox Patriarch Kirill, a close ally of President Vladimir Putin, worked for Soviet intelligence while living in Switzerland in the 1970s, according to reports.
Citing declassified archives, Swiss newspapers SonntagsZeitung and Le Matin Dimanche reported that a Swiss police file “confirms that ‘Monsignor Kirill’, as he is referred to in this document, worked for the KGB”.
Source: The Guardian
======================
Huyu mtumishi ndio alitoa wito kwa Vita kusitishwa kwa muda kwenye Christmas ya ki-orthordox na Putin akakubali kuheshimu wito huo.
Ukistaajabu ya Musa.....
TUJITEGEMEE Sela Son