Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia ingekuwa imejipanga isingepigana na kanchi kadoogo hambako hakafiki hata size ya mkoa wake kwa mwaka mzima Sasa View attachment 2509449

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu ukitazama ramani utumie akili kidogo. Eneo lile kubwa ni hasa mapori ya barafu au matope (kutegemeana na majira) pasipo na watu. Tanzania ina watu 67 kwa km², Urusi nwako 9 pekee. Sehemu kubwa si Urusi kweli ni koloni zake anazoendelea kushika katika Asia.
 
Sawa, lakini Kwa ujumla Hilo eneo linahesabika liko wapi mkuu,liko ulaya?? Liko Asia?? Liko marekani??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mnajitia ujuaji mwigi,yaani wewe mrusi wa kimalabonyokwa ndio unajitia kuijua sana urusi kuliko raia wanaishi humo. , mpaka hapo warusi walipo wanaendeshwa kwa mkono wa chuma,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya 44 vipi ile kauli bado ipo.

( vimeanzia Crimea na vitaishia Crimea) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipanya 44 vipi ile kauli bado ipo.

( vimeanzia Crimea na vitaishia Crimea) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwendo ni uleule vilianzia Crimea na vitaishia Crimea., Putin mwenyewe anajua vyema Hilo, mpaka Sasa kaanza kuboresha zile bomsherters huko Moscow,..,siku si nyingi Jamaa ataanza kukimbia Hadi kivuli chake [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nashkuru kunijibu maana nilitaka kujua msimamo wako kwenye hili.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashkuru kunijibu maana nilitaka kujua msimamo wako kwenye hili.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukombozi wa Crimea ni suala la muda tu,na ndio utaamua hatma ya hii vita.., nakukumbusha tu ya kwamba pamoja na kwamba aliweza kuteka sehemu kubwa ya nchi ya Ukraine, lakini bado alifurushwa kama mbwa mwizi huko


Kyiv


Khakivu


Kheson [emoji56]


Mycolaiv


Izium


Snake island


Kupyansk


Lyman


Odessa imekuwa ndoto [emoji16]

Hivyo Crimea ni suala la muda tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mzee nilisahau kukupa taarifa maana ulikuwa upatikani kwenye simu.Warusi washafika karibu na Lyman na Kupyansk.

Kwa iyi tegemea chochote kuanzia sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chanzo kingine hiki hapa..,ni siku ya Jana tu walichinjwa warusi 1030.., endeleeni na nyimbo zenu za bakhumut is encircled [emoji16]View attachment 2509486

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hyo idadi Ni ndogo Sana ukilinganisha na waukraine waliochinjwa Ila tunashukuru unaleta tu vifo bila hata picha Wala shambulizi sijui wamekufa kwa korona au kipindupindu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji3526] onesha hata source moja ya tukio la Leo ndani ya hayo masaa.
 
Mzee nilisahau kukupa taarifa maana ulikuwa upatikani kwenye simu.Warusi washafika karibu na Lyman na Kupyansk.

Kwa iyi tegemea chochote kuanzia sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Hiyo taharifa utakuwa nayo peke Yako current news ni hii hapa[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298][emoji1255][emoji298] Russian troops are attempting to push though the defense of ukranian force in the Lyman and bakhumut directions but suffering huge loses [emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni lini umewahi kukiri taharifa kuhusu warusi wanaochinjwa huko ukraine?? Wewe endelea tu na wimbo wako pendwa wa propaganda Mzee..,haya mengine tuachie sisi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Medvedev: "There will be no partition of Ukraine according to the Korean scenario."

The Deputy Chairman of the Security Council of Russia, Dmitry Medvedev, has commented on the desire and suggestions of some Ukrainian propagandists, like Aristovich, to divide the territories of the current Ukrainian state according to the Korean scenario. According to Medvedev, the Ukrainian propagandists are talking about this because they want to be "under Western control and protection," reach the level of South Korea, and then have a hope of reunification with their old territories.

However, Medvedev notes, Ukrainian propagandists do not point out that the two independent states were created in 1953, but Donbass and other territories have already joined Russia, which is the largest state with the most formidable weapons.

"What is remarkable here is something else." In Kiev, they shyly jabbed the thesis that there can be no complete victory. At best, it's a partition. "But in fact, this is the first step toward the recognition of the existing realities on the ground," said the deputy chairman of the Security Council of the Russian Federation.

Iyo ndo Utajua hujui
 
Tazama wanajeshi wa Russia walipojaribu kuingia mji wa Ugledar wamekaangwa vibaya na drone zile za lakilaki tazama hapo

 
Tazama vijana wa Putin walivyokaangwa na vifaru vyao uzuri sisi tunawachapa huku tunawarecord angani kutunza risiti hahahaha


 
Cheki Wale Wagner wamejichanganya wakaenda kujificha ndani ya jengo moja kumbe drone inacheki kilichowakuta ni mishikaki hahaha

 
Tazama drone zinavyowinda na kuwakaanga wanajeshi wa Russia ninachopenda frontline iko shap ku update sio wenzetu huku kila kukicha ni articles za telegram na mapicha yenye rangi nyekundu wakisema wanasonga mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…