Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Break News hii ya sasa hivi jamani kiwanda kikubwa cha mafuta kinateketea huko Russia

 
Hapa Mtu Unaweza Jiuliza Ukrein ni Ya Marekani Au na Wanahaki gani wao!
Na mtu mwenye Akili Anaweza Kuisapoti US kwa Upumbavu inao ufanya Kwenye Hii Dunia yaan Yaani Yeye ndio Aamue Kuhusu Ardh ya Ukrein Kama nani!? NDIO WATU WAJUE URUSI HAPIGANI NA UKREIN


Nimejaribu Kuibadilisha Habari kuwa Lugha ya Kiswahili
wapiga kura wa Chama cha Republican wako tayari kuipa Urusi sehemu ya eneo la Ukraine. Gazeti la Washington Post linaandika kuhusu hili, likichambua matokeo ya kura za maoni.

"Hotuba ya Rais Volodymyr Zelensky kwa Bunge la Congress haionekani kuwa imebadilisha hali sana: nusu au zaidi wa Republican wanasema kwamba tunafanya mengi sana kuisaidia Ukraine, au kwamba tunapaswa kuacha kufadhili ulinzi wake," makala hiyo inasema.

Idadi ya wale wanaoamini kwamba Marekani inafanya "mengi" kwa ajili ya Ukraine imeongezeka kwa 18% kati ya Republican, kulingana na kura ya maoni ya Washington Post-ABC News.

Na kura ya maoni ya NBC News wiki iliyopita ilionyesha kuwa 63% ya Warepublican wanapinga kuongezeka kwa uungwaji mkono kwa Waukraine.

"Imani yao katika juhudi za kijeshi za Ukraine inashuka na shaka inaongezeka kwamba uvamizi wa Urusi unaleta tishio kwa Marekani," makala hiyo inasema.

Lakini "mashuhuri zaidi" ni hamu inayokua ya kuipa Urusi sehemu ya eneo la Kiukreni, ambalo Shirikisho la Urusi linadai.

Kura mpya ya maoni ya Gallup iliwapa Wamarekani chaguo: kati ya kuunga mkono juhudi za Ukraine kurejesha eneo lake - na kumalizika kwa haraka kwa vita, hata kama ingemaanisha kwamba Urusi itaruhusiwa kuondoka katika kile ilichokishinda.

"Warepublican wengi walichagua wa zamani. Lakini 41% walikuwa tayari kuidhinisha uhifadhi wa eneo la Ukraine kwa Urusi kwa jina la kumaliza vita. Hii inalinganishwa na asilimia 16 ya Wanademokrasia ambao wanataka sawa," makala hiyo inasema.

Gazeti hilo linasema kwamba sehemu ya wale wanaofikiri hivyo miongoni mwa Warepublican inaongezeka.

"Sehemu inayokua ya Chama cha Republican inaamini kwamba gharama hazifai, kwa kuzingatia matarajio yasiyoeleweka ya mafanikio ya Ukraine. Au, labda, Warepublican ambao wanapendelea sera ya kutoingilia Ukraine wanatafuta sababu za kutoka nje ya vita. .

Lakini matokeo ni yale yale: takriban nusu au zaidi Wanachama wa Republican sasa wana shaka kabisa juu ya kuendelea kwa ushiriki wa Marekani, na wengi katika Chama cha Republican wako tayari kuipa Urusi angalau sehemu ya kile ilichoivamia Ukraine," makala hiyo inahitimisha.
 
Hao wamarekani wamekuzidi sana akili,wewe mmatumbi huwezi kuelewa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Any questions so far?
Ukraine wanasema wameteka vifaru 400+ vya kirusi ikiwemo T 72 na T 90 M. Kwa muda wote huu kwanini wasitumie kufanya counter offensive? Wajaribi kila la Kheri.
Nb.
Wameteka vifaru vingi ila sio kwa wingi wa kufanyia counter offensive.

Wako wapi waliotabiri Uchumi wa Russia utaanguka kabisa mwezi mey 2022?
Kwani uchumi wa Urusi haujatetereka hata kidogo sababu ya vikwazo ?...

Counter offensive ya Ukraine inafeli kwa ukosefu wa uwepo coordination ya kamandi za ardhini , angani, na majini. Ambapo humo angalau vikosi vya ardhini vina silaha lakini airforce na majini Ni total failure.
Counter offensive ya Ukraine ipo njiani na silaha ikiwemo vifaru vya kimagharibu vipo njiani.
 
Sawa, lakini Kwa ujumla Hilo eneo linahesabika liko wapi mkuu,liko ulaya?? Liko Asia?? Liko marekani??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tazama ramani. Sehemu za kijivu ziko ndani ya Ulaya (hadi mstari wa Milima ya Ural, ambayo ni mpaka wa Asia na Ulaya), sehemu za rangi ni zile katika Asia. Ukraine nilitia buluu. (ona pia https://sw.wikipedia.org/wiki/Siberia; jina la "Siberia" linatumiwa kisiasa (jimbo la Urusi) na kijiografia (kubwa zaidi, yaani Asia yote ya Kirusi)
Siberia ambayo ni eneo kubwa zaidi la Urusi kuna watu 0.5 kwa km²

 
Your browser is not able to display this video.

❗️Mass Pension Reform Protests Continue To Rock France

Demonstrators continue to fill the streets in multiple French cities to protest against President Macron’s intended pension reforms.

His government says people must work longer, meaning for most, that their pension will come at age 64.

“Retirement should be a second life, not a waiting room for death,” one protester told Reuters.

Subscribe to RT
 
Nitajie sehemu ya USA ambayo ni ya Wazungu kutoka Europe?
 
Sasa hapa madai yako ni nini?

Kumetenganishwa na bahari au tectonic plate?

Vipi Alaska Ile si Kanada?
Hawaii je?

Visiwa vya USA vilivyopo kwenye bahari ya Pacific?
 
Sasa hapa madai yako ni nini?

Kumetenganishwa na bahari au tectonic plate?

Vipi Alaska Ile si Kanada?
Hawaii je?

Visiwa vya USA vilivyopo kwenye bahari ya Pacific?
Nikamjibu jamaa aliyeshangaa jinsi gani nchi ndogo kama Ukraine inapigana na nchi kuuuubwa kama Urusi akionyesha ramani. Naonyesha Urudi kweli ni nchi kubwa lakini si kubwa vile jinsi inavyoonekana kwenye ramani maana sehemu nyingi za ardhi yake hakuna watu. Ni hiyo.
 
Nilikujibu baada ya kusoma komenti yako Moja ikisema kuwa Urusi Ina makoloni?
 
Hawana hela ya kulipa wastaafu.
Wanataka kuongeza muda wa ku staafu ili hao wazee wachoke na wafe haraka.
 
Wameteka vifaru vingi ila sio kwa wingi wa kufanyia counter offensive.


Kwani uchumi wa Urusi haujatetereka hata kidogo sababu ya vikwazo ?...


Counter offensive ya Ukraine ipo njiani na silaha ikiwemo vifaru vya kimagharibu vipo njiani.
Huku Urusi anakaribia kuimeza Bakhmut Askari wa Ukraine wanaojifundisha kutumia vifaru vya UK wameonekana kufanya vizuri kwenye mafunzo yao.
 
Nilikujibu baada ya kusoma komenti yako Moja ikisema kuwa Urusi Ina makoloni?
Sindiyo? Katika miaka 400 iliyopita Urusi ilishindana na Uingereza tu kutwaa sehemu kubwa za Dunia. Uingereza ilitumia njia za maji, Urusi ilitumia njia za nchi kavu (walijaribu pia maji, mfano Eritrea, lakini kule hawakufaulu).
Baada ya vita za karne ya 20, Uingereza ilikosa uwezo kuendelea kutawala maeneo hayo yote kwa njia ya bahari. urusi ilikuwa tofauti, maana waliweza kutumia reli na barabara kwa hiyo gharama za kuendeleza ukoloni wao zilikuwa nafuu.
Sehemu ya koloni zao walipaswa kuacha 1991 baada ya mwisho wa ukomunisti (Kazakhstan, Azerbaijan, Uzbekistan, Latvia, n.k.) sehemu nyingine walizuia zisiondoke (kama vile Tatarstan, Chechnya, Yakutia na kadhalika). BAdo ziko.
 
Miaka 400 iliyopita ni Karne ya 17?

Je Urusi ilianza kujitanua East kuanzia Karne ya 17?

Wazungu wanaopatikana Mashariki ya Ulaya ni Maslav, kwa nini Mataifa yote hutumia rangi Nyeupe, Blue na Nyekundu.

Je Wachechen sio Slav? Kama ni Slav kwa nini unadhani wapo colonized na Russia?
Swali lako ni sawasawa nikuulize Wahehe wapo Tanzania si ndio? Je ni raia wa Tanzania? au Tanzania imeikoloni nchi ya Mkwavinyika?
Kama ni Watanzania Ina tofauti gani na Ingushetia kuwa Warusi?

Unafahamu namna Urusi ilivyosimama?

Unadhani baada ya kumshinda Mongolia, wangefuata mfumo wa Western Europe au East Europe ambapo utaifa ni zaidi ya kabila Moja na race Moja?

Siku nyingine ukianzisha mada jipe muda utafakari kwanza.

Mwisho naomba utupe historia ya Makazkh kwa ufupi?
Ili tuone hawana mizizi na Urusi?
 
worked for Soviet intelligence while living in Switzerland in the 1970s, according to reports.
Citing declassified archives,
Asante Mkuu Kwa kuniita. Nina swali.

1. Nani ame-declassify habari hii kati ya Russia na Switzerland?
2. Ni utaratibu upi ukubalika kiasi utaratibu huo ukitumika ku-declassify habari Fulani , habari hiyo uaminika?

Natanguliza Shukrani kwa majibu ya maswali yangu.
 
Na zile tanks mlizokuwa mnapewa msaada Ni scania? Kweli nyani alioni kundule.

Safi sana mkuu,maelezo mazuri kabisa
 
Cheki kwenye ramani ya vita utaona.wala usisikilize habari za upande mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ebu cheki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].washafika mlangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…