Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwanamme hawezi kuwa mwanamke.
 
Unafikiri Putin na yeye Hana tamaa ya kupiga picha na viongozi makini kama Lish sunak?? Joe Biden?? Olaf wa ujerumani?? Sachols wa ufaransa?
Atakaa kupiga picha na akina lukashenko mpaka lini?
Acha masihara bwana [emoji28][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nichukue jibu lako kuthibitisha kwamba Urusi una ujanja mkubwa kuficha ukoloni wake duniani ukisema kuna ubaya mwingine upande wa Ukraine?
Kwa hiyo nishukuru kwanza kwa kuthibitisha pointi yangu!
Kuhusu habari za gesi ya sumu inayodaiwa kutumiwa - hadi sasa hakuna kilichothibitishwa na mtazamaji yeyote. Maana kama kweli jinai la aina hii ingetokea ni jambo la kawaida kuita mara moja Msalaba Mwekundu au Umoja wa Mataifa kuthibitisha matumizi ya sumu.
Hadi hii haijatokea, hakuna sababu kuamini matangazo hayo.
Hii ni sawa na taarifa ta Ukraine eti Warusi waliwahi kutumia gesi ya sumu mwezi wa Disemba. hata huku hawakuchukua Msalaba Mwekundu wala Umoja wa Mataifa hivyo sikuamini madai ya Ukraine.
Unaona, ushabiki ni njia ya hakika kujipumbaza haraka. Tuepukane nao!
 
Taarifa hii nimeiona sehemu nyingi na mara nyingi,so I believe it is true.

cc:Mr. Kipanya
Nimeshaiona mkuu, lakini naomba tu nikutaharifu hakuna taifa lolote lililotangaza kupeleka vyuma chakavu ( silaha) kama huyo jamaa alivyodai.., mataifa ya kidemokrasia hayana uongo uongo kama mataifa ya kikomunist mliyozoea,kile kilichotangazwa ndicho kitakachopelekwa huko Ukraine.., kusema kwamba vifaru vilivyotangazwa kupelekwa huko ukraine ni vyuma chakavu tu ni dhihaka yenye lengo la kudunisha msaada unaotolewa na west kwa ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka Sana niliposoma hii statement👇
mataifa ya kidemokrasia hayana uongo uongo kama mataifa ya kikomunist
Kipanya hivi unajua kwamba Marekani inaitwa Empire of Lies?
 
Swala sio kuwa Super power iyo habar ipo ya kuifanya Ukraine kma North and South korea. Na zingatia siku Urusi akianguka jua kama ww na sisi sote huku Africa kuna asimia kubwa ya kuwa Watumwa wa hao unaodhangilia saivi. Zingatia tena kinachoendelea kiundani zaidi.....
 
Mwanaume kamili anapambana peke yake na hana maneno yeye ni kichapo tu, Viva Russia [emoji635] hawa ndo wanaume wanagawa kichapo kwa nchi tunazoambiwa ni matajiri duniani hata data zao za mchongo.
Kweli mkuu? Mwanaume kamili? Labda kwenye baa yako, baada ya chupa cha tano, ambako mwanaume wa kweli anamwambia sasa twende nje na tumalize jambo!!
Menginevyo kama ni mwanamke au mwanaume, ila mwenye akili atatafuta ushirikiano.
Ushirikiano ni tabia mojawapo la maendeleo ya kibiolojia; ukiwa na muda ujisomee kidogo kuhusu "evolutionary behaviour"; uwezo wa kushirikiana na kutumia akili ilimfanya homo sapiens kushinda akina Neanderthal waliokuwa bora kuhusu "uanaume kamili".
(btw: na Warusi hawafuati hui uanaume kamili maana muda wote walitafuta ushirikiano, kama si wa hiari pia kwa kulazimisha! )
 
Nimecheka Sana niliposoma hii statement👇

Kipanya hivi unajua kwamba Marekani inaitwa Empire of Lies?
Mkuu Mathanzua, inafurahisha kila safari kama mtu anayesambaza hapa hadithi za ajabu (kama vile Khazar Mafia, njama za wayahudi kutaka kutawala Dunia, kuhusu ubora wa mwongo mkuu Trump na kila porojo inayopatikana kwenye vilindi vya takataka ya wabaguzi wa Marekani) , basi kama mtu huyu anadokeza kidole kwa kile anachoita uwongo ilhali vidole 25 vinadokeza kwake mwenyewe!
Endelea kutufurahisha, mkuu!!!
 
The Church of England is considering whether to stop referring to God as “he”, after priests asked to be allowed to use gender-neutral terms instead.

The church said it would launch a new commission on the matter in the spring. Any potential alterations, which would mark a departure from traditional teachings dating back millennia, would have to be approved by synod, the Church’s decision-making body.

The Rt Rev Dr Michael Ipgrave, Bishop of Lichfield and vice-chair of the liturgical commission responsible for the matter, said the church had been “exploring the use of gendered language in relation to God for several years”.

Kidogodogo mtajua kwann wanapigana na Urusi.
 
Una akili ndogo sana. Yaani kupiga picha na hao we waona dili!!!. Duuu !!! Ama kweli kua uyaone
 
Una akili ndogo sana. Yaani kupiga picha na hao we waona dili!!!. Duuu !!! Ama kweli kua uyaone
Huo ndio ukweli japo unawauma..,usidhani kwamba huyo dikiteta anapenda kujifungua mwenyewe kwenye Kuta za clemlin..,la hasha.,na yeye anatamani kufanya matanuzi na kupiga selfie [emoji1702][emoji1702] na watoto wa mujini kama Lish sunak [emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…