Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uwanja umepatikana sehemu nzuri Sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu wanajidai kumsaidia kwa upande mwingine wanazani eti Russia itafilisika kupitia hiyo vita kumbe kichapo kipo palepale.
Kitu russia wanafanya ni kwamba wamestuka kuwa NATO wanafanya kila namna ili urusi wachoke na wanawapanikisha ili waonyeshe strength [emoji123] yao ipo wapi kisiraha then ndio NATO waingie mazima kumchapa, yeye anacheza beat yao anawapelekea vibaraka wahangaike nao huku akiwa anausoma mchezo mzima kwa uzuri kabisa, I bet third [emoji289] war is on the way b'coz history inatuonyesha vita zote zilianza namna hii harafu swala lingine ni kwamba NATO hawaitaki hii aibu coz wameingia kwenye vita na mkubwa mwenzao so hawatokuwa tayari ku withdraw itaonekana wameshindwa kitu ambacho kitawapunguzia ushawishi kwa mataifa babaifu ya Africa[emoji288] na kwingineko wanakovuna rasilimali za wazawa bila huruma.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russia Has Lost Confidence In US Dollar — Official

Russia no longer has trust in the US currency because it has become an unreliable financial instrument, Finance Minister Anton Siluanov stated.

He pointed out that the US dollar, euro, and British pound – the main reserve currencies – had once been considered the top units of account. “The situation has shown that now this [dollar] is a completely unreliable instrument … Therefore, we have no confidence in this kind of unit of account. It is lost,” Siluanov told Russia’s Channel One.

He also pointed out that Russia has been switching to trade in other currencies, particularly “in rubles and, of course, currencies from other friendly countries, such as the yuan.”

Subscribe to RT
 
Mkuu unaiamini kweli? Tunabahatika kwa sababu kwa Kiswahili hatuna maswali hayo, maana Mungu si dume kisarufi. Basi Waingereza wabadilishe lugha watumie Kiswahili tatizo linajiondoa
 

❗️US-Norway Nord Stream Collusion Exposed — Report

Former NYT journalist Seymour Hersch has alleged that the White House plotted for months in collusion with Norway to blow up Nord Stream while keeping Congress in the dark.

He writes on his Substack how a specialist deep-diving team allegedly planted explosives on the pipelines under cover of a NATO exercise, with an advanced sonar system able to trigger the charges.

It’s then claimed that a task force of the Joint Chiefs of Staff, the CIA, and State and Treasury Department officials was convened in late 2021 to plot how to respond to an anticipated conflict in Ukraine. Still, their existence was reportedly kept strictly undercover, as a source Hersch cited admitted the sabotage plan was not “kiddie stuff.”

Biden exposed the plans publicly in February 2022 by declaring, "If Russia invades... there'll be no more Nord Stream 2,” the mission was downgraded from covert - which by law required Congress to be informed - to highly classified.

Subscribe to RT
 
TU 95, TU 160, TU 144, TU 23, Ni bombers zilizotengenezwa kwa kwa lengo la kushambulia adui mbali kutoka nyumbani. Eg TU 160 Ina uwezo wa kushambulia kutoka Russia umbali wa km 7000 hivi kwa nyuklia.
TU 95 Ni km 900+ conventional missiles
Vilevile TU 23 nk.
Bombers sio infantry supporting aircraft Kama su 25 ama A 10

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hata kule Allepo zilishambulia kutokea mbali ?....mbona zilionekana zikifanya 'carpet bombing' maeneo ya waasi au sababu hakukua na AD kule ?
 
EU ‘Sold Its Soul’ To Russia — Poland

The EU’s allowed its dependency on Russian energy to grow, much like a drug addict, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said at a conference.

Speaking in Warsaw, Morawiecki suggested that the EU got hooked on Russian natural resources, with Moscow doing its best to facilitate the addiction. “The dealer always gives the first dose for free or very cheap so that the addict comes for more and agrees to any price,” he said.

As a result, gas contracts with Russia “turned out to be a pact under which Europe sold its soul.” The continent was “so easily seduced by Russia” not through “demonic abilities” but because of its weakness.

He added that the West now stands at a crossroads: “either the victory of Russia and the defeat of the West or the renaissance of Western civilization.”

Subscribe to RT
 
Hata kule Allepo zilishambulia kutokea mbali ?....mbona zilionekana zikifanya 'carpet bombing' maeneo ya waasi au sababu hakukua na AD kule ?
Kutoka Russia Hadi Syria Ni maelfu ya km yenye ardhi za mataifa mengine. Isingekuwa rahisi kwa nchi yoyote kukubali makombora yapite juu yake yapige Syria.
Itakapotokea Kuna kitisho kikubwa Cha usalama wa Russia hasa vita ya kinyuklia itakayoangamiza dunia ,Hapo Russian bombers hazitaruka kumkaribia adui Bali zitapiga kutoka uwanja wa nyumbani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wala sio lugha swala ni dunia ya sasa walopewa nguvu ni mashoga.
Mkuu tafadhali tafakari kidogo. Katika swali ya ushoga hakuna tatizo la He- She (maana wako he-he au she-she). Hili kweli ni tatizo ya lugha hizo za kijinsia ambako Mungu alielezwa tangu karne kama dume na wakinadada wengine siku hizi wameanza kuuliza "Kwa nini".
Najua katika uwanja huu kuna fesheni kubwa kulia "shoga" kuhusu kila kitu kuanzia hali ya hewa hadi rangi ya shati, ila sioni inasaidia...
 
Hata kule Allepo zilishambulia kutokea mbali ?....mbona zilionekana zikifanya 'carpet bombing' maeneo ya waasi au sababu hakukua na AD kule ?
Syria kwa jumla walitumia vituo vya Kirusi nchini. Urusi ulikodi kituo cha Lattakia tangu miaka mingi, pamoja na vituo vingine ambako walifanya majaribio ya ndegevita zao... (Ila wameona sasa kuna tofauti kutupa mabomu kwenye migambo ya IS au kwenye wanajeshi wa Ukraine....) Nakumbuka safari moja walirusha kombora kutoka maowari kwenye bahari NYeusi kwa kibali cha Uturuki hadi Syria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…