kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ulitaka uwaone wakikenua kama ulivyoweka imoji za kukenua hapa ndio uwaone hawako kinyonge,sio??Naona wapo kinyonge halafu wengine wameshaomba ukimbizi kabisa[emoji1787][emoji1787]
Vipi criemia mmefikia wap? KiongoziHiyo ni kweli, maana Donbass yote itakuwa imekombolewa [emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Cha msingi danadana zinaendelea [emoji16]Dubu ameingia mjini Bakhmut anararua hadi mawe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123]
Ha ha haa,aisee unajua kukatisha watu tamaa.Kwanini SMO imalizike muda huu BOSS hii SMO hata PUT IN aliishasema ni long process
Kwahio vumilieni tu huenda tukaishi nayo kama ile ya SYRIA nk
Hii SMO haitakiwi kumalizika mapema inatakiwa iendelee sana ili RUSSIA izidi kuheshimika maana MSM kina BBC nawenzie walituaminisha kwamba RUSSIA hawez vita yamuda mrefu sasa anataka kushuhudisha kwamba hata wakitaka miaka 30 awe anapigana yupo tayari
SMO ni long process kwahio kama mnatarajia kumalizika hv punde POLENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda angetuambia USA ingetumia muda Gani kuuchukua mji huo katika mazingira kama hayo.Unaugulia ukiwa wapi nikuletee uji mjomba?
Hapa msemo wa stive nyerere unahusika kabisa 😂😂😂😂😂😂 (YAA NINI MIE)Ufaransa walitamka kbs kuwa kama Urusi watatumia nuclear wao hawatajibu au hawatakuwa miongoni mwa watakaojibu kwa nuclear.
France will not respond with nuclear weapons should Russia use them against Ukraine, French President Emmanuel Macron said.
Kuna watu wanafikiri nuclear ni silaha za kawaida.
Wasiwasi ndo akili. Hivi kujaribu kuirushia Russia nyuklia si kujimaliza huko we na uzao wa taifa lako?Hapa msemo wa stive nyerere unahusika kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (YAA NINI MIE)
Mfaransa mduanzi sana
Mkuu mimi nipo Moscow saivi naona masela wanacheza mziki na kucheka...Wasiwasi ndo akili. Hivi kujaribu kuirushia Russia nyuklia si kujimaliza huko we na uzao wa taifa lako?
Unatupa nyuklia kiss flani kapigwa! Sio chizi wewe?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Upo maeneo gani. Maana na mimi nipo hapa hapa. Jioni tutakuwa na kasherehe ketu kadogo ka watu kutoka Tanzania.Mkuu mimi nipo Moscow saivi naona masela wanacheza mziki na kucheka...
Hawana habari na vita ndogo kama hiyo ndio mana wameachiwa walinzi.
KK SECURITY na G4S SECURITY
Aisee!Hizi helmets hawakuvaa kama fashion show. Tutarajie ndege anga la Ukraine. Wakati huo vifaru vinakuja. Ukraine itapewa hata silaha za miaka 30 iliyopita na zitatoshaView attachment 2511213
Na ukiona uingereza kafanya kitu automatically wengine wanafuatisha.., uingereza ndiye alikuwa wa kwanza kutangaza kwamba anatuma vifaru vya Challenger huko Ukraine.., baada ya hapo shinikizo likapanda ghafla ujerumani naye akafuata nyayo zilezileHizi helmets hawakuvaa kama fashion show. Tutarajie ndege anga la Ukraine. Wakati huo vifaru vinakuja. Ukraine itapewa hata silaha za miaka 30 iliyopita na zitatoshaView attachment 2511213
Hiyo ni twice amount ya entire Russian defence budget ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tuStoltenberg: "NATO countries have already transferred $120 billion worth of all kinds of aid to Ukraine.
A similar European conflict could happen again in Asia as China rapidly expands its military capabilities, including nuclear".
Tanzania tulikwama wapi kupangilia mji vizuri kama hivi?[emoji635][emoji1255] What Bakhmut looks like from a bird's eye view.View attachment 2510806View attachment 2510808
Kwa muda mrefu sana wako hapoMkuu, vikosi vya Russia vipo karibu kabisa na katikati ya mji wa Bakhmut.
Russia wataka ifikapo terehe 24 mwaka mmoja baada ya kuingia Ukraine wawe wamechukua Bakhmut.