MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Washaishiwa hao.Jiandaeni na sanctions, team putin kutoka mwembe ladu
- team putin mutatoboaaa?
EU's Von Der Leyen: New Russian sanctions will target Putin's propagandists
Nje ya mada miji ya wenzetu imejengeka sana kwakweliTanzania tulikwama wapi kupangilia mji vizuri kama hivi?
Kama Kuna kheson nyingine tofauti na Ile ya Ukraine tunaomba utufahamishe shekhe,Unaelewa na kufahamu what is going on in Kherson??? Unaifahamu na kuielewa jiografia ya Kherson?!! Pole, ndugu..
Ulitegemea aseme Americans rejected to join company,sio??[emoji631][emoji1255][emoji635]"After the release of the "Wagner" PMC advertisement aimed at the American audience, we received more than 10 million applications from US citizens wishing to join the ranks of the "Wagner" PMC to fight against NATO." - Yevgeny Viktorovich Prigozhin to a question from CNN
Ulitegemea aseme Americans rejected to join company,sio??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Si bado inaendelea kunyesha??? Bila shaka panapovuja patajulikana!Washaishiwa hao.
Muda wa kutumia vikwazo kama Siraha umeshapita muda wake.
Vikwazo haviathiri uchumi wa Taifa la Urusi kwa namna walivyokuwa wanatarajia ila vinawapiga na kuwafedhehesha wao wenyewe.
Wamebakia tu wanatafuta makombo kwa hii new package.
Kumbuka kwao mtu yoyote au shirika hadi taasisi zenye mawazo tofauti na wao basi Putin propagandists.
Uraaaa Uraaaaa
Yahovyo kwako tuuu kwao yamaana sababu wanaijenga upya wanavyoona inafaaaMwishowe anaishia kuchukua magofu na vifusi....strategia ya hovyo Sana hiyo.
Usisahau pia Biden alishawahi kusema kwamba wanaogopa makabiliano ya Moja kwa Moja na urusi..huku akiendelea kutuma mabilion ya misaada ya kijeshi Ukraine.., marekani ni kama nurse..,anakudunga sindano huku akiendelea kukupa maneno matamu[emoji28]"Putin isn't going to lose anything,... the Russians have a strategy. They know what they're doing."—Former US Army Colonel Douglas MacGregor says.
Tunataka wasamaria wajiingize kumsaidia kama walivyoingia kule SYRIA IRAQ na LIBYAUkraine ni Taifa dogo .
Lilikuwa chini ya Soviet Union.
Mataifa yote yakapata uhuru.
Soviet iliwekeza saana Ukraine, Sasa wanataka kujiunga na Uropa, kosa liko Wapi??
Wanaonewa sababu ni wadogo??
Moscow kavamia ameshidwa!!
Wasamaria wanatoa msaada kuwatoa utumwa wa Kikomnist, kosa liko Wapi??
Thanks!!
Vip ,hata huko maulipol wameshaanzisha mitaala ya shule za kirusi kama walivyokuwa wamefanya kheson city??[emoji12]Yahovyo kwako tuuu kwao yamaana sababu wanaijenga upya wanavyoona inafaaa
Hem kaiangaliae MAURIOPOL inavyozidi kupendeza
Sijui lini pale UKRONAZI watafanya kaunta ofesnsiv nangojea nione
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiuliza silaha zilizofika ukraine tayari zilikuwa na mafanikio gani? Basi angalia picha zilizokusanywa na shirika la ORYX - Uholanzi; walithibitisha hadi sasa takriban vifaru 1000 vya Kirusi vilivyoharibika, pamoja na vile takriban 500 vilivyokamatwa na Ukraine baada ya askari wa Urusi kukimbia na kuviacha wakihofia kuchomwa ndani ya vifaru hivi.Hizo silaha zitakazokuja kwamaoni yako na mawazo yako unahisi zitafanikiwa
A-kuyaondoa majeshi ya RUSSIA katika maeneo wanayoyadhibibi hapo UKRAINE
B-kuyaondoa kabisa majeshi ya RUSSIA hapo UKRAINE nakuyarejesha RUSSIA
Halaf zile silaha za awali walizopewa zimeenda wapi na kama zimeisha zimeleta mafanikio gani huko fild
Mwisho bila ya NATO kuingia mazima huko UKRAINE hakuna kitakacho badilika ila pia tusidanganyane UKRAINE imegeuka jehannam
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua tu nikwamba huko mashambani unapopasemea kunachangia GDP ya UKRAINE kwazaidi ya 40%Kwa Sasa Kuna AD za kila aina hapo Kyiv, ndege za adui sio tishio Tena labda huko mashambani maeneo ya mashariki....
Kwa hiyo mpaka Sasa wasamalia hawajaingilia!! Urusi bado anapigana na jirani yake Ukraine tu!!Tunataka wasamaria wajiingize kumsaidia kama walivyoingia kule SYRIA IRAQ na LIBYA
Bila hivyo wasamaria hawatakua nania njema maana msaada wao hauna unachokibadilisha wala nn
Senks
Sent using Jamii Forums mobile app
SMO inaendelea vyema sanaaaaHii Vita itabadilisha vitu vingi sanaView attachment 2511747
Hizo sehemu urusi kaachiwa kwa ajili ya kuendelea kumpigisha danadana kupitia sehemu hizo, maana akifurushwa mazima Ukraine it means vita inaisha.., hivyo lengo la kumpigisha danadana Mpaka kupata kilema Cha maisha litakuwa halijatimia!Usilolijua tu nikwamba huko mashambani unapopasemea kunachangia GDP ya UKRAINE kwazaidi ya 40%
Kwahio KIUCHUMI huko shambani nimali zaidi kuliko pale KIVU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hata viongozi wa urusi hambao wanawalalamikia west kila kukicha kwamba Wanafanya hii vita izidi kuwa ndeefu ,wanakosea! Sio??SMO inaendelea vyema sanaaaa
Nawanao taka iishe hv punde wanakosea sana maana kuna malengo bado hayajafikiwa na yapo nje kabisa ya beto fild
Sent using Jamii Forums mobile app