Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kwahaya maneno hapa inaonesha ndani ya UKRAINE kuna siri kubwa mnoooooMwamba Putin,
Reminder -
The question must be why is NATO are afraid of Russia China relationship? well,as the leaders had said it before,their have to be a fair world order based on international rules,not on western made rules,which will only benefit the west but for the rules which will equally benefit all nation's in world.
The special operations in Ukraine is all about this .In military manifesto,there is an international rule(indivisible security),the obligation to not strengthen security at the expense of security of other states, but NATO preferred it's western made rules over international rules, now they are using Ukraine and Taiwan to strengthen their security in the expenses of Russia and china
Sanctions 11327 zimefell sijui labda hiyo ya 11328Jiandaeni na sanctions, team putin kutoka mwembe ladu
- team putin mutatoboaaa?
EU's Von Der Leyen: New Russian sanctions will target Putin's propagandists
Unakadliaje kufell kwa sanctions wakati bado zinaendelea kuwekwa?? Wakiweka sanctions Mpaka ikawa hamna sanction yoyote ya ziada ndio tunaweza kupata hitimisho!Sanctions 11327 zimefell sijui labda hiyo ya 11328
Ukumbuke tayar wameanza kuziondoa baadhi wao wenyewe
Kwahiyo hapa tuko pamoja kwamba Ukraine anapigana peke yake?Hizo silaha zitakazokuja kwamaoni yako na mawazo yako unahisi zitafanikiwa
A-kuyaondoa majeshi ya RUSSIA katika maeneo wanayoyadhibibi hapo UKRAINE
B-kuyaondoa kabisa majeshi ya RUSSIA hapo UKRAINE nakuyarejesha RUSSIA
Halaf zile silaha za awali walizopewa zimeenda wapi na kama zimeisha zimeleta mafanikio gani huko fild
Mwisho bila ya NATO kuingia mazima huko UKRAINE hakuna kitakacho badilika ila pia tusidanganyane UKRAINE imegeuka jehannam
Sent using Jamii Forums mobile app
CNN wamechota habari kutoka kwenye blog ya oryx. Habari hii iliandikwa February 24, 2022 nawaandishi akiwemo Jakub Janovsky ambaye amenukuliwa na CNN. Kwanza huyu J J, taarifa zake ni kizungumkuti, kujulikana.
Aisee!Kabisa, watakipewa hata second generation za F-16 tu, Tornado au mirage 2000 hapo Ukraine patageuka janga kwa Mvamizi.
Sasa hivi wanahamisha magoli TU.Mnaishi kwa matumaini sikuhizi, Russia ni kina kirefu.
Ha ha haa.King Charz ndo Nani Sasa mkuu? King Charz ile imebaki kuwa alama na nembo TU ya taifa lililokua la utawala wa kifalme la Uingereza. Charz Leo Hana athari yoyote kisiasa ama kijeshi. Aghalabu kwa miaka ya karibuni zimezuka kelele kutoka kwa wananchi kadhaa wa kadha wa Uingereza Kwamba kwanini Serikali inatumia fedha nyingi kuihudumia familia ile?
Nb.
Kichapo kitazidi kuongezeka kadiri mtoto anavyozidi kulewa kwa wingi wa bangi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
katika viumbe ambao nina hamu sana ya kukutana nao ana kwa ana...basi ni ww Bwana Ki-rat..., manaake kila nikijaribu ku kugoogle....,sikupatii kabisa...haiwezekan hata kidogo kwa binadamu wa kawaida akajitoa ufahamu wa kiwango hiki..., lazima utakuwa na kautofauti ... !!!...Unakadliaje kufell kwa sanctions wakati bado zinaendelea kuwekwa?? Wakiweka sanctions Mpaka ikawa hamna sanction yoyote ya ziada ndio tunaweza kupata hitimisho!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe ajabu kwa kiasi fulani amepata pata.Ila Zelensky ana omba omba sana aiseee.
Amekuwa omba omba.
Hata hivyo basi Hakuna haja ya f 16 kufika huko Kama TU AD Ni kitisho hivyoKwa Sasa Kuna AD za kila aina hapo Kyiv, ndege za adui sio tishio Tena labda huko mashambani maeneo ya mashariki....
Mkuu je unamtaja Trump kwa kutuambia CNN inaleta habari za kweli tu ??????????????CNN wamechota habari kutoka kwenye blog ya oryx. Habari hii iliandikwa February 24, 2022 nawaandishi akiwemo Jakub Janovsky ambaye amenukuliwa na CNN. Kwanza huyu J J, taarifa zake ni kizungumkuti, kujulikana.
Baada y kufika hapa, nikaijiwa na maelezo ya Rais wa zamani wa Marekani, Trump. Trump alisema CNN ni waongo, wanatoa news!!!!!
Huo Ni uandishi wa kifasihi. Kama uliwahi kusoma fasihi utaelewa nilikuwa nikimaanisha Nini? Humo utagundua swali langu si swali tu Bali Ni mwangwi tu wa nilichotaka kueleza chini.Mkuu ni ajabu kidogo unauliza swali (mfalme Charles ana umuhimu gani), unatoa jibu (ndiye alama na nembo ya taifa) halafu unazidi kuuliza kama hujaelewa jibu lako!
Ndiyo, ukifika mjini kuna maana kusalimu nembo ya taifa. Usingesafiri kumwona yeye tu, lakini kumwona kunaongeza uzito wa ziara yako-
Ni mbumbumbu tu atakaebisha hasara iliyopatikana kutokana na mgogoro huu hasa kwa Russia.Tukianza na vikwazo na hata ishu ya watu na silaha zilizoteketea vitani.
NATO anasaidia kupigana mpaka atangaze rasmi ndio tutasema yupo rasmiKwahiyo hapa tuko pamoja kwamba Ukraine anapigana peke yake?
Maana kuna wengine wenye mahaba husema Nato ndio wanaopigana na Urusi.