Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Why hutaki mkeo atoke bila taarifa au kuaga?Pro Russia mna tatizo la basic reasoning,
Why Russia hataki Ukraine ajiunge EU au NATO?
Kwani Ukraine ni Mke wa Russia?Why hutaki mkeo atoke bila taarifa au kuaga?
Ukinijibu hili kwa ufasaha nitakujibu kwanini Ukraine hatakiwi kujiunga na hao mafedhuli.
Pande zote zenye maslahi na vitaRussia akae mezani au NATO wakae mezani na Russia.
Huo ni mfano mwepesi tu wa kukufanya uelewe ambacho kiko in between hao mahasimu wawili.Kwani Ukraine ni Mke wa Russia?
Mbona mnashallow reasoning
Mbona wengi sana? hadi makanda wakubwa wa Marekani wamekuwa wakinaswa huko. Hata yule kamanda aliyenaswa Mariopol umemusahau mara hii?Hayo majeshi ya Ujerumani, Marekani, Uingereza umeyaona huko Ukraine yakipambana na Urusi ?
Kwa maelezo yako haya tunapata ushaidi usiotia shaka kwamba operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa..,tunachukua hatua gani Sasa [emoji848]Mbona wengi sana? hadi makanda wakubwa wa Marekani wamekuwa wakinaswa huko. Hata yule kamanda aliyenaswa Mariopol umemusahau mara hii?
Nimeona video moja hajajifunza kilichotokea Kyiv, msururu wa vifaru na magari zaidi ya 30 yamewashwa....Russia amepokea kipigo kimoja kizito eneo hili
Hujawahi ona mtu anapigwa afu haamini kuwa aliyefikiria anamzidi ndo kampiga?Hayo majeshi ya Ujerumani, Marekani, Uingereza umeyaona huko Ukraine yakipambana na Urusi ?
Nilisoma hii habari nikasema ndo maana Himars haikosei na ndo maana hazijaharibiwa. Kumbe wanapewa coordinates ni wao kupiga tuThen why Russia havamii huko Marekani au sehemu hizo command zinatokea
Mkuu unachekesha! kama maelfu ya vifo na elfu nyingi ya vifaru, ndegevita n.k. ni "vyema sanaaaaaa", nisingependa kuona hali ilivyo "vyema sana"; kwa mantiki hii "vyema" pekee ingemaanisha jeshi la Ukraine imeshafika Moscow???SMO inaendelea vyema sanaaaa
Nawanao taka iishe hv punde wanakosea sana maana kuna malengo bado hayajafikiwa na yapo nje kabisa ya beto fild
Sent using Jamii Forums mobile app
According to you..(Ni sawa)..uko right.Kwa nini wanasita?
Hakukuwa na maana yoyote ya kuivamia Ukraine in first place.
Why US hakutaka CUBA waweke silaha za NYUKLIAPro Russia mna tatizo la basic reasoning,
Why Russia hataki Ukraine ajiunge EU au NATO?
Then why marekani hawapi UKRAINE silaha zakupiga kule RUSSIA sehemu hizo command zinatokeaThen why Russia havamii huko Marekani au sehemu hizo command zinatokea
Umepanic MKUU hao UKRAINE kupewa silaha nihaki yao acc to UN na RUSSIA anaheshimu sana sheria za UNHazitasaidia chochote ndio maana mlitaka zisije na mkatishia mikwara mbuzi kwamba nchi yoyote itakayotoa silaha itapigwa
Mtanena kwa lughaADs za Ukraine zitazidiwa leo maana si kwa haya mashambulizi
Hivi nyinyi mna matatizo Gani? Bwana Utam ,anamaanisha mafanikio ya kuyarudisha majeshi ya Urusi nyuma,au kuwasimamisha wasiendelee kusonga mbele kama sasa. ww unaanza kuzungumzia habari ya idadi vifaru na upuuzu mwningine?Mkuu ukiuliza silaha zilizofika ukraine tayari zilikuwa na mafanikio gani? Basi angalia picha zilizokusanywa na shirika la ORYX - Uholanzi; walithibitisha hadi sasa takriban vifaru 1000 vya Kirusi vilivyoharibika, pamoja na vile takriban 500 vilivyokamatwa na Ukraine baada ya askari wa Urusi kukimbia na kuviacha wakihofia kuchomwa ndani ya vifaru hivi.
Jumla hiyo ya 1500 ni vile tu vilivyoweza kuthibitishwa, uharibifu kwa jumla lazima ni juu zaidi.
Pamoja na Urusi kukosa hadi leo hii udhibiti wa anga juu ya Ukraine... kwa sababu Warusi wanahofia silaha hizo za utetezi dhidi ya ndege.
Inatosha je? au niongeze?
(Pamoja na jeshi lililosifiwa kupigana tangu miezi likijaribu kusogea mbele tena mita chache...)