Almost nimejitahidi kujiepusha na ku comments messages zako.Sawa mrusi kutoka bonyokwa.., maana umewazidi wataalamu wote wa west walioweka prince cap!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kule Ukraine urusi hajaanza vita seriously huku majenelali wake zaidi ya 22 wakichinjwa.., Ili kupata tathimin ya hasara aliyolambishwa urusi inabidi uunganishe assets zote za majeshi ya Africa mashariki na KatiAiseee, kweli Russians ni Superpower... Yaani ratiba za drills za kijeshi zinaendelea kama kawaida.
Na ndio maana Putin amerudia kusema kwamba pale Ukraine vitu serious bado havijaanza... na ndio maana hii SMO wamewakabidhi Wagner Group.
Lakini Zelensky analia kwa kichapo cha Wagner Group...
Nashukuru unakiri Ukraine anafanya yote hayo kwasababu amevamiwa!Hujapinga hilo,Niletee hiyo taarifa ambayo Putin amezuia wanaume kutoka nje ya nchi!Mkuu kuhusu Wagner "unaamini"?? Imani kwenye msingi gani? Huajfuatilia habari za kijana wa tanzania Tarimo ? Alisaini na Wagner, alitoka gerezani na siku chche baadaye alikufa tayari. Mazoezi ya askari si chini ya miezi 2-3. Taja mfano mmoja ambako wafungwa wa Wagner wamepata mwezi 1 wa mafunzo tu!!! Wanapelekwa huko ili wafe wakichosha Waukraine.
Sheria ya kuzia wanaume wa umri wa jeshi wasitoke nchini ni kawaida kwa nchi katika hali ya vita. Urusi inatumia sheria ya aina hiyo pia, watu wenye umri fulani wanazuiliw sasa (baada ya Putin kushtuka walipokimbia lakhi za watu alipoanzisha conscription ya kwanza, sasa amefunga mlango huu).
Ukishambuliwa utafanya mengi ya kujitetea, ukishambulia heri jiandae vizuri zaidi.
Hizo asserts labda ulizonazo we getho kwako haupo serious.Kule Ukraine urusi hajaanza vita seriously huku majenelali wake zaidi ya 22 wakichinjwa.., Ili kupata tathimin ya hasara aliyolambishwa urusi inabidi uunganishe assets zote za majeshi ya Africa mashariki na Kati
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nitaendelea kukujibu tu maadam naendelea kuuona uharo wako hapa.., ukiona unakerwa Kuna option ya ignore!!Almost nimejitahidi kujiepusha na ku comments messages zako.
Sababu ya msingi ni kwamba wewe huna Logic Reasoning.
Kwa hiyo jitahidi kuto comment pia messages zangu...because i get irrigated.
Mkuu mkaushie tu mazima,Mimi baada ya kuona sio mtu wa kujenga naye hoja nimempuuza na taarifa nilimpa ila yeye kila siku anakomaa kuniquote!Almost nimejitahidi kujiepusha na ku comments messages zako.
Sababu ya msingi ni kwamba wewe huna Logic Reasoning.
Kwa hiyo jitahidi kuto comment pia messages zangu...because i get irrigated.
Wewe endelea kujizima data tu, lakini tambua ya kwamba hasara aliyolambishwa urusi Kwa mwaka mmoja imezidi maradufu hasara aliyoipata marekani kwa kipindi Cha miaka 20 huko Afghanistan..,huoni kwamba hili ni janga??Hizo asserts labda ulizonazo we getho kwako haupo serious.
Hii sio hali iyoyoko Ukraine mkuu.Nchi inaweza kununua silaha from anywhere as long as it is defending its' interests,that is fine.Hivi kongo anavyopigana na waasi anapotumia silaha za Russia na China inamaana nchi hizo pia zinapigana tumia akili bro
Kuwajibu nyie kwa hoja ni matumizi mabaya ya akili..,nyie mnatakiwa mjibiwe kifashist kulingana na jinsi mnavyotetea ufashist..,hata mkiletewa ukweli mtafanya kila liwezekanalo Ili kuugeuza ukweli kuwa uongo!Mkuu mkaushie tu mazima,Mimi baada ya kuona sio mtu wa kujenga naye hoja nimempuuza na taarifa nilimpa ila yeye kila siku anakomaa kuniquote!
Piga chini,jibu watu ambao mnaweza kubadilishana maarifa au ambao Kuna kitu unaweza kujifunza kwao!
Twende taratibu. Kwanza lete wewe uthibitisho mmoja kwamba wafungwa wa gerezani walipewa hata mwezi 1 wa mafunzo.Nashukuru unakiri Ukraine anafanya yote hayo kwasababu amevamiwa!Hujapinga hilo,Niletee hiyo taarifa ambayo Putin amezuia wanaume kutoka nje ya nchi!
Ukraine angekuwa anapigana kwa niaba ya NATO usingemuona zelensiky akiangaika kuomba silaha kwa hayo mataifa ya NATO.., angekuwa anapewa tu bila hata kuwabembeleza kama tunavyoona!!Hii sio hali iyoyoko Ukraine mkuu.Nchi inaweza kununua silaha from anywhere,that is fine.The fact is Ukrainian soldiers are fighting in Ukraine as NATO soldiers,on behalf of NATO.They receive all training and amour from the West so as to implement the wider agenda of the NWO agaisnt Russia and humanity.That is why it is called a proxy war.The Ukrainian soldiers are not defending Ukrainian interests,but NWO interests.
From now on these are the type of wars the NWO will fight.No more sending home grown soldiers abroad,they will use mercenaries.The West is infact using the Ukrainian army as mercenaries!And in future they will increasingly use groups like Warner group,White Helmets,Black Water etc.to fight foreign wars.
Kwa hiyo Kwa kuwa wametoa maoni kwa kuifavour Russia,basi NWT sio chombo kwa ajili ya kuandika propaganda za west [emoji28]Pole pole Watasema Ukweli
The NYT, for the first time, has admitted that "Ukraine is losing."
Ukraine isn't winning even in western propaganda media anymore.
US mpaka waliiomba China kwa siri amwombe Putin asiivamie Ukraine. China akaenda kuichongea US kwa Urusi.Kama US na washirika wake wangekuwa wanataka vita,wasingemsihi Putin asitishe uvamizi wake kipindi kile.., lakini badala yake Putin akawa mkaidi na kuona vita ndio njia sahihi ya kutatua suala hili!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Simple logic kama hii inawapiga chenga.Ukraine angekuwa anapigana kwa niaba ya NATO usingemuona zelensiky akiangaika kuomba silaha kwa hayo mataifa ya NATO.., angekuwa anapewa tu bila hata kuwabembeleza kama tunavyoona!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe USA alifanya juhudi kuzuia urusi asiivamie Ukraine,sio?? Basi USA asiendelee kulaumiwa kwa hiyo vita ya urusi na Ukraine maana alifanya juhudi kuvizuia lakini bahati mbaya ikashindikana!!US mpaka waliiomba China kwa siri amwombe Putin asiivamie Ukraine. China akaenda kuichongea US kwa Urusi.
Ni ajabu sana!Simple logic kama hii inawapiga chenga.
[emoji16][emoji23][emoji16]Zelensky called the Russian missiles flying over the airspace of Romania and Moldova a "NATO challenge." Earlier, Romania denied the entry of the invasion of Russian missiles into the airspace of the state.
Jitambue kidogo zelensky anaona kila anachopewa hakimtoshi na ndio maana anafosi kila mara, leo hii analalamika urusi katuma makombora yameharibu miundombinu hivyo dunia imzuie urusi, anasahau kua air defence alizopewa zilikua na lengo la kumzuia huyo urusi lakini imeshindikana.Ukraine angekuwa anapigana kwa niaba ya NATO usingemuona zelensiky akiangaika kuomba silaha kwa hayo mataifa ya NATO.., angekuwa anapewa tu bila hata kuwabembeleza kama tunavyoona!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani Kipanya ufahamu wako ni mdogo sana,si wanadanganya wadanganyika kama wewe.The fact is that Ukrainian soldiers are fighting in Ukraine as NATO soldiers,on behalf of NATO.They receive all training,pay and amour from the West,kama ambavyo wangewapa askari wao,so as to implement the wider agenda of the NWO agaisnt Russia and humanity.Simply hawataki tena kupokea majeneza ya watoto wao waliokufa kwenye vita abroad.That is why the war in Ukraine against Russia is called a proxy war.The Ukrainian soldiers are not defending Ukrainian interests,but Western interests.Ukraine angekuwa anapigana kwa niaba ya NATO usingemuona zelensiky akiangaika kuomba silaha kwa hayo mataifa ya NATO.., angekuwa anapewa tu bila hata kuwabembeleza kama tunavyoona!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app